• barua pepe
  • Maswali ya Mara kwa Mara
  • Wasiliana Nasi
Mwanza Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Prime Minister's Office Regional Administration and Local Government
Mkoa wa Mwanza

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Dira na Mwelekeo
    • Historia ya Mkoa
    • Muundo
  • Wilaya
    • Babati
    • Mbulu
    • Hanang
    • Kiteto
    • Simanjiro
  • Idara
    • Utawala na Rasilimali Watu
    • Planning and Management
    • Fedha na Uhasibu
    • Ukaguzi wa Ndani
    • ununuzi na Ugavi
    • Uchumi na Uzalishaji
    • Miundombinu
    • Serikali za Mitaa
    • Social Welfare
    • Tehama
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
  • Machapisho
    • Fomu
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
  • Investments
    • Investment One
    • Investment Two
    • Investment Three
    • Investment Four
    • Investment Five
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Matangazo
    • Maktaba ya Picha
    • Sports and Games
    • Hotuba
    • Taarifa Kwa vyombo vya habari
    • Maktaba ya Video

PROF. NAGU AWAPONGEZA MWANZA KWA KUWEKA MIFUMO, ATAKA ITUMIKE KUBORESHA HUDUMA

Posted on: July 5th, 2025

Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais -TAMISEMI (Afya) Prof. Tumaini Nagu amewataka watumishi wa afya mkoani Mwanza kutumia mifumo iliyosimikwa katika vituo vya afya kwa lengo la kuboresha na kutoa huduma bora katika Jamii.


Amesema hayo leo julai 5, 2025 katika ukumbi wa Mkuu wa mkoa Mwanza alipokuwa akifanya tathimini ya Ziara  yake ya siku mbili aliyoifanya mkoani humo huku akiwataka watumishi hao kuboresha huduma kwa wananchi.

“Niwapongeze kwa kazi kusimamia miradi vizuri na kusimika mifumo katika vituo vyenu kwa asilimia 99, lakini hakikisheni inatumika ili isaidie kuonesha huduma zetu,” amesema Prof. Nagu.


Vile vile, ametumia wasaa huo kuwataka watumishi wa afya mkoani humo kukusanya mapato ya ndani kutokana na huduma wanazotoa katika jamii pia amewaasa kutumia  mifumo vizuri kwa lengo la kuepuka changamoto mbalimbali.

Hata hivyo, Prof. Nagu amewaomba watumishi wa afya kutumia lugha za staha kwa wagonjwa na kuzingatia maadili, muongozo na busara hasa pale wanapokuwa wanahudumia wagonjwa katika vituo vyao vya huduma kwa wananchi.

Naye, Mganga mkuu wa Mkoa Mwanza Dkt. Jesca Lebba ameishukuru serikali ya awamu ya sita kwa kuchagiza maendeleo katika Mkoa wa Mwanza hasa katika upatikanaji wa vifaa tiba, Magari ya uhakika ya kusambaza chanjo, ongezeko la wahudumu na hata uboreshaji wa makazi ya wafanyakazi wa Idara hiyo.


Kadhalika, amewapongeza watumishi wa idara ya afya Mkoa wa Mwanza kwa Utendaji kazi wao uliotukuka katika kipindi chote pasipo kukata tamaa.


Latest Announcements

  • Tangazo la kukutana na Mhe. Mkuu wa Mkoa wa Mwanza kwa shida mbalimbali.

    soma zaidi
  • TANGAZO LA NANENANE TAREHE 8.8.2025

    soma zaidi
  • View More

Habari Mpya

  • SIKU 100 ZA RAIS DKT. SAMIA: UKEREWE YAPATA AJIRA 127
  • RC MTANDA AWASILI WILAYANI UKEREWE KWA ZIARA YA KIKAZI
  • MWANZA YAIMARISHA UTETEZI WA WATU WENYE ULEMAVU
  • SERIKALI YAAHIDI KUENDELEA KUTOA USHIRIKIANO KWA WADAU WA SEKTA YA BIASHARA
  • CHOROKO KWENYE RAMANI YA UCHUMI WA TAIFA
  • soma zaidi

Wasiliana Nasi

Prime Minister's Office Regional Administration and Local Government Mkoa wa Mwanza
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, Mkoa wa Mwanza, 2 Regional Drive
S.L.P: 119, Mwanza.
Simu: 028-2501037
Barua Pepe: ras@mwanza.go.tz
Simu ya Mkononi: 028-2501037
Balewa/Machemba Road Street
S.L.P: S.L.P 1333, Mwanza
Simu: +255 28 250 1375
Barua Pepe: cd@mwanzacc.go.tz
Simu ya Mkononi: 0768520195
Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela
S.L.P: S.L.P 735, Mwanza
Simu: + 255 736 200910
Barua Pepe: md@ilemelamc.go.tz
Simu ya Mkononi:
Halmashauri ya Wilaya ya Magu
S.L.P: S.L.P 200, Magu
Simu: 028-2530035/2530003
Barua Pepe: ded@magudc.go.tz
Simu ya Mkononi:

Viunganishi vya Haraka

  • Maswali Yaulizwayo Mara kwa Mara
  • Makusanyo ya Ndani ya Halmashauri za Mkoa wa Mwanza
  • PReM
  • Fomu ya Ugonjwa
  • Opras fomu
  • Miongozo ya mfumo wa bajeti na Mipango
  • FFARS User Guidelines
  • OFISI MTANDAO

Viunganishi Linganishi

  • Tamisemi
  • Utumishi
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Salary Slips Portal
  • Tovuti ya Sekreatarieti ya Ajira Tanzania
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu Tanzania
  • Tovuti ya Ikulu
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Rasmi ya Wananchi
  • Tovuti Kuu ya Takwimu Huria

Social Media

  • Like us on Facebook
  • Follow us on Twitter
  • Find us on Youtube
  • Follow us on Instagram

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.

  • Kanusho
  • Sera ya faragha
  • Maswali ya Mara kwa Mara
  • Ramani ya Tovuti