• barua pepe
  • Maswali ya Mara kwa Mara
  • Wasiliana Nasi
Mwanza Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Prime Minister's Office Regional Administration and Local Government
Mkoa wa Mwanza

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Dira na Mwelekeo
    • Historia ya Mkoa
    • Muundo
  • Wilaya
    • Babati
    • Mbulu
    • Hanang
    • Kiteto
    • Simanjiro
  • Idara
    • Utawala na Rasilimali Watu
    • Planning and Management
    • Fedha na Uhasibu
    • Ukaguzi wa Ndani
    • ununuzi na Ugavi
    • Uchumi na Uzalishaji
    • Miundombinu
    • Serikali za Mitaa
    • Social Welfare
    • Tehama
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
  • Machapisho
    • Fomu
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
  • Investments
    • Investment One
    • Investment Two
    • Investment Three
    • Investment Four
    • Investment Five
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Matangazo
    • Maktaba ya Picha
    • Sports and Games
    • Hotuba
    • Taarifa Kwa vyombo vya habari
    • Maktaba ya Video

RAS BALANDYA AWATAKA MAAFISA USAFIRISHAJI KUBORESHA HUDUMA ZAO

Posted on: August 28th, 2025

Katibu Tawala Mkoa wa Mwanza Ndugu Balandya Elikana amewataka maafisa usafirishaji (madereva na makondakta) kuboresha na kuimalisha huduma zao kwa wananchi kwakua sekta ya usafiri na usafirishaji ina mchango mkubwa katika kukuza uchumi wa mkoa.

Wito huo ameutoa  leo Agosti 28, 2025 katika ukumbi wa ofisi ya Mkuu wa Mkoa wakati akifungua Semina kwa maafisa usafirisha yenye lengo la kutoa elimu kuhusiana na maswala ya uwekezaji.

Aidha, amewasihi washiriki wa semina hiyo kutumia uwezo watakaojengewa  waweze kuzitambua fursa za uwekezaji zilizopo katika sekta yao na kuweza kuendana na mabadiliko ya teknolojia.

“Niwaombe sana wadau katika sekta ya usafiri na usafirishaji kuendana na mabadiliko ya teknolojia ili kuwezesha na kuwa na manufaa makubwa katika sekta hii ya usafiri na usafirishaji”. Amesema Ndg. Balandya.

“Katika sekta hii kuna changamoto ya kukatisha ruti na kupeleka tunawasumbua abiria pamoja na bidhaa kwahiyo niwaombe tuachane na hii tabia ya kukatisha ruti”. Amesema Ndg. Balandya.

Naye, Meneja wa leseni kutoka LATRA Bw. Leo Ngowi amebainisha kuwa lengo kuu la mafunzo hayo ni kuwajengea uwezo wa kuendana na ukuaji wa Mji na ongezeko la watu katika Mkoa wa Mwanza.

“Kama tunavyofahamu Mkoa wa Mwanza unaongezeko la watu wengi  kati ya miji inayoendeleakukua kwa kasi na serikali inaendelea kuwekeza katika sekta hii hivo ni lazima tuweze kujiandaa ili tuweze iuwahudumia watu ambao watakua wanaingia katika Mkoa wetu.

Semina hiyo kwa maafisa usafirishaji (Madereva na Makondakta) imeandaliwa na Mamlaka ya Masoko ya Mitaji na Dhamana Tanzania (CMSA).

Latest Announcements

  • Tangazo la kukutana na Mhe. Mkuu wa Mkoa wa Mwanza kwa shida mbalimbali.

    soma zaidi
  • TANGAZO LA NANENANE TAREHE 8.8.2025

    soma zaidi
  • View More

Habari Mpya

  • SIKU 100 ZA RAIS DKT. SAMIA: UKEREWE YAPATA AJIRA 127
  • RC MTANDA AWASILI WILAYANI UKEREWE KWA ZIARA YA KIKAZI
  • MWANZA YAIMARISHA UTETEZI WA WATU WENYE ULEMAVU
  • SERIKALI YAAHIDI KUENDELEA KUTOA USHIRIKIANO KWA WADAU WA SEKTA YA BIASHARA
  • CHOROKO KWENYE RAMANI YA UCHUMI WA TAIFA
  • soma zaidi

Wasiliana Nasi

Prime Minister's Office Regional Administration and Local Government Mkoa wa Mwanza
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, Mkoa wa Mwanza, 2 Regional Drive
S.L.P: 119, Mwanza.
Simu: 028-2501037
Barua Pepe: ras@mwanza.go.tz
Simu ya Mkononi: 028-2501037
Balewa/Machemba Road Street
S.L.P: S.L.P 1333, Mwanza
Simu: +255 28 250 1375
Barua Pepe: cd@mwanzacc.go.tz
Simu ya Mkononi: 0768520195
Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela
S.L.P: S.L.P 735, Mwanza
Simu: + 255 736 200910
Barua Pepe: md@ilemelamc.go.tz
Simu ya Mkononi:
Halmashauri ya Wilaya ya Magu
S.L.P: S.L.P 200, Magu
Simu: 028-2530035/2530003
Barua Pepe: ded@magudc.go.tz
Simu ya Mkononi:

Viunganishi vya Haraka

  • Maswali Yaulizwayo Mara kwa Mara
  • Makusanyo ya Ndani ya Halmashauri za Mkoa wa Mwanza
  • PReM
  • Fomu ya Ugonjwa
  • Opras fomu
  • Miongozo ya mfumo wa bajeti na Mipango
  • FFARS User Guidelines
  • OFISI MTANDAO

Viunganishi Linganishi

  • Tamisemi
  • Utumishi
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Salary Slips Portal
  • Tovuti ya Sekreatarieti ya Ajira Tanzania
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu Tanzania
  • Tovuti ya Ikulu
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Rasmi ya Wananchi
  • Tovuti Kuu ya Takwimu Huria

Social Media

  • Like us on Facebook
  • Follow us on Twitter
  • Find us on Youtube
  • Follow us on Instagram

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.

  • Kanusho
  • Sera ya faragha
  • Maswali ya Mara kwa Mara
  • Ramani ya Tovuti