• barua pepe
  • Maswali ya Mara kwa Mara
  • Wasiliana Nasi
Mwanza Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Prime Minister's Office Regional Administration and Local Government
Mkoa wa Mwanza

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Dira na Mwelekeo
    • Historia ya Mkoa
    • Muundo
  • Wilaya
    • Babati
    • Mbulu
    • Hanang
    • Kiteto
    • Simanjiro
  • Idara
    • Utawala na Rasilimali Watu
    • Planning and Management
    • Fedha na Uhasibu
    • Ukaguzi wa Ndani
    • ununuzi na Ugavi
    • Uchumi na Uzalishaji
    • Miundombinu
    • Serikali za Mitaa
    • Social Welfare
    • Tehama
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
  • Machapisho
    • Fomu
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
  • Investments
    • Investment One
    • Investment Two
    • Investment Three
    • Investment Four
    • Investment Five
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Matangazo
    • Maktaba ya Picha
    • Sports and Games
    • Hotuba
    • Taarifa Kwa vyombo vya habari
    • Maktaba ya Video

RAS Mwanza afanya ukaguzi Sekta ya Afya Wilayani Ukerewe,ahimiza umakini kazini

Posted on: May 18th, 2022

Katibu Tawala wa Mkoa wa Mwanza Ngusa Samike ameendelea na ziara ya ukaguzi Sekta ya Afya Wilaya za Mkoa huo, akiwa Wilayani Ukerewe amewataka Waganga Wakuu wa Wilaya kuongeza umakini  katika majukumu yao.


Katibu Tawala Samike akiwa Kisiwa cha Ilugwa Wilayani Ukerewe amesema  amebaini  tatizo la uagizaji dawa kiholela,kutokuwepo na kumbukumbu sahihi za matumizi ya dawa na kuchina kwa dawa kutokana na kukaa muda mrefu bila kutumika.



"Waganga Wakuu nawaambia katika hili sitakuwa na huruma hatua za kinidhamu ni lazima zitachukuliwa haiwezekani Serikali ipate hasara na wahusika mpo"


Mganga Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Dktr Thomas Rutachunzibwa amesema maelekezo yote ya Katibu Tawala wameyapokea na kuyafanyia kazi.


Naye Mganga Mkuu wa Wilaya ya Ukerewe Dktr Getera Nyange amesema changamoto zote zilizobainika wamejipanga kuzitatua kwa kuwajengea uwezo baadhi ya Watumishi husika.


Kuhusu Ukatili dhidi ya Wanawake na Watoto, ameikumbusha Jamii kushikamana ili kuitokomeza hali hiyo kwani wingi wa watoto wanaoishi katika mazingira magumu umechangiwa na kupotea kwa msingi imara wa malezi.


Aidha Katibu Tawala Ngusa Samike amewakumbusha Wakandarasi wanaoendelea na Miradi ya ujenzi ya Vituo vya Afya kuzingatia suala la Mazingira kwa kutokata Miti.

Latest Announcements

  • Tangazo la kukutana na Mhe. Mkuu wa Mkoa wa Mwanza kwa shida mbalimbali.

    soma zaidi
  • TANGAZO LA NANENANE TAREHE 8.8.2025

    soma zaidi
  • View More

Habari Mpya

  • SIKU 100 ZA RAIS DKT. SAMIA: UKEREWE YAPATA AJIRA 127
  • RC MTANDA AWASILI WILAYANI UKEREWE KWA ZIARA YA KIKAZI
  • MWANZA YAIMARISHA UTETEZI WA WATU WENYE ULEMAVU
  • SERIKALI YAAHIDI KUENDELEA KUTOA USHIRIKIANO KWA WADAU WA SEKTA YA BIASHARA
  • CHOROKO KWENYE RAMANI YA UCHUMI WA TAIFA
  • soma zaidi

Wasiliana Nasi

Prime Minister's Office Regional Administration and Local Government Mkoa wa Mwanza
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, Mkoa wa Mwanza, 2 Regional Drive
S.L.P: 119, Mwanza.
Simu: 028-2501037
Barua Pepe: ras@mwanza.go.tz
Simu ya Mkononi: 028-2501037
Balewa/Machemba Road Street
S.L.P: S.L.P 1333, Mwanza
Simu: +255 28 250 1375
Barua Pepe: cd@mwanzacc.go.tz
Simu ya Mkononi: 0768520195
Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela
S.L.P: S.L.P 735, Mwanza
Simu: + 255 736 200910
Barua Pepe: md@ilemelamc.go.tz
Simu ya Mkononi:
Halmashauri ya Wilaya ya Magu
S.L.P: S.L.P 200, Magu
Simu: 028-2530035/2530003
Barua Pepe: ded@magudc.go.tz
Simu ya Mkononi:

Viunganishi vya Haraka

  • Maswali Yaulizwayo Mara kwa Mara
  • Makusanyo ya Ndani ya Halmashauri za Mkoa wa Mwanza
  • PReM
  • Fomu ya Ugonjwa
  • Opras fomu
  • Miongozo ya mfumo wa bajeti na Mipango
  • FFARS User Guidelines
  • OFISI MTANDAO

Viunganishi Linganishi

  • Tamisemi
  • Utumishi
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Salary Slips Portal
  • Tovuti ya Sekreatarieti ya Ajira Tanzania
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu Tanzania
  • Tovuti ya Ikulu
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Rasmi ya Wananchi
  • Tovuti Kuu ya Takwimu Huria

Social Media

  • Like us on Facebook
  • Follow us on Twitter
  • Find us on Youtube
  • Follow us on Instagram

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.

  • Kanusho
  • Sera ya faragha
  • Maswali ya Mara kwa Mara
  • Ramani ya Tovuti