• barua pepe
  • Maswali ya Mara kwa Mara
  • Wasiliana Nasi
Mwanza Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Prime Minister's Office Regional Administration and Local Government
Mkoa wa Mwanza

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Dira na Mwelekeo
    • Historia ya Mkoa
    • Muundo
  • Wilaya
    • Babati
    • Mbulu
    • Hanang
    • Kiteto
    • Simanjiro
  • Idara
    • Utawala na Rasilimali Watu
    • Planning and Management
    • Fedha na Uhasibu
    • Ukaguzi wa Ndani
    • ununuzi na Ugavi
    • Uchumi na Uzalishaji
    • Miundombinu
    • Serikali za Mitaa
    • Social Welfare
    • Tehama
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
  • Machapisho
    • Fomu
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
  • Investments
    • Investment One
    • Investment Two
    • Investment Three
    • Investment Four
    • Investment Five
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Matangazo
    • Maktaba ya Picha
    • Sports and Games
    • Hotuba
    • Taarifa Kwa vyombo vya habari
    • Maktaba ya Video

RAS Mwanza afunga Wiki ya Huduma za Maabara kwa kuwataka Vijana kuchangamkia Masomo ya Sayansi.

Posted on: May 6th, 2022

Katibu Tawala wa Mkoa wa Mwanza,Ngusa Samike amefunga wiki ya Huduma za Maabara Mkoani humo kwa kutoa wito kwa vijana kusomea masomo ya Sayansi  ili waweze kupata fursa ya kujiajiri na kuajiriwa.


Katibu Tawala huyo amesema mkazo na mazingira mazuri yawekwe Shuleni Vijana wachangamkie masomo hayo kwani bado Taifa linawahitaji aina hii ya Wataalamu wa Huduma za Maabara.


"Kumekuwa na kasumba ya kuamini masomo ya Sayansi ni magumu la hasha! hebu tuanze kubadilika" amesisitiza Katibu Tawala Samike



Aidha amesema taarifa aliyopata ya Wananchi waliojitokeza ni zaidi ya watu elfu mbili  waliopata huduma mbalimbali inaridhisha na kuwapa ari wao kama Serikali kujipanga zaidi mwakani.


Amewahimiza Wananchi kuendelea kuona umuhimu wa kupata huduma za kiuchunguzi kabla ya kutumia dawa ili kupata usahihi wa kile wanachotakiwa kutibiwa.


Kaimu Mganga Mkuu wa Mkoa wa Mwanza,Esther Maliki amesema Wiki ya Huduma za Maabara imekuwa na faida kwa Wananchi kwani wamepata huduma za kiuchunguzi na ushauri, pia chanjo ya Maradhi mbalimbali ikiwemo Uviko 19 na homa ya Ini.


Aidha Mwenyekiti wa Chama cha Wanasayansi wa Maabara za Afya Tanzania,Betrand Msemwa amesema upande wa Maradhi yasiyoambukiza kama Kisukari jumla ya Wananchi 238 wamejitokeza na 15 waligundulika na tatizo hilo wakati uchangiaji wa Damu salama waliojitokeza ni watu 64.


Wiki ya Huduma za Maabara huadhimishwa kila mwaka mwishoni mwa Aprili ambapo Mkoa wa Mwanza

ulianza Maadhimisho hayo Mei 2 mwaka huu yakifunguliwa na Mkuu wa Mkoa huo Mhe.Mhandisi Robert Gabriel.

Latest Announcements

  • Tangazo la kukutana na Mhe. Mkuu wa Mkoa wa Mwanza kwa shida mbalimbali.

    soma zaidi
  • TANGAZO LA NANENANE TAREHE 8.8.2025

    soma zaidi
  • View More

Habari Mpya

  • SIKU 100 ZA RAIS DKT. SAMIA: UKEREWE YAPATA AJIRA 127
  • RC MTANDA AWASILI WILAYANI UKEREWE KWA ZIARA YA KIKAZI
  • MWANZA YAIMARISHA UTETEZI WA WATU WENYE ULEMAVU
  • SERIKALI YAAHIDI KUENDELEA KUTOA USHIRIKIANO KWA WADAU WA SEKTA YA BIASHARA
  • CHOROKO KWENYE RAMANI YA UCHUMI WA TAIFA
  • soma zaidi

Wasiliana Nasi

Prime Minister's Office Regional Administration and Local Government Mkoa wa Mwanza
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, Mkoa wa Mwanza, 2 Regional Drive
S.L.P: 119, Mwanza.
Simu: 028-2501037
Barua Pepe: ras@mwanza.go.tz
Simu ya Mkononi: 028-2501037
Balewa/Machemba Road Street
S.L.P: S.L.P 1333, Mwanza
Simu: +255 28 250 1375
Barua Pepe: cd@mwanzacc.go.tz
Simu ya Mkononi: 0768520195
Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela
S.L.P: S.L.P 735, Mwanza
Simu: + 255 736 200910
Barua Pepe: md@ilemelamc.go.tz
Simu ya Mkononi:
Halmashauri ya Wilaya ya Magu
S.L.P: S.L.P 200, Magu
Simu: 028-2530035/2530003
Barua Pepe: ded@magudc.go.tz
Simu ya Mkononi:

Viunganishi vya Haraka

  • Maswali Yaulizwayo Mara kwa Mara
  • Makusanyo ya Ndani ya Halmashauri za Mkoa wa Mwanza
  • PReM
  • Fomu ya Ugonjwa
  • Opras fomu
  • Miongozo ya mfumo wa bajeti na Mipango
  • FFARS User Guidelines
  • OFISI MTANDAO

Viunganishi Linganishi

  • Tamisemi
  • Utumishi
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Salary Slips Portal
  • Tovuti ya Sekreatarieti ya Ajira Tanzania
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu Tanzania
  • Tovuti ya Ikulu
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Rasmi ya Wananchi
  • Tovuti Kuu ya Takwimu Huria

Social Media

  • Like us on Facebook
  • Follow us on Twitter
  • Find us on Youtube
  • Follow us on Instagram

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.

  • Kanusho
  • Sera ya faragha
  • Maswali ya Mara kwa Mara
  • Ramani ya Tovuti