• barua pepe
  • Maswali ya Mara kwa Mara
  • Wasiliana Nasi
Mwanza Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Prime Minister's Office Regional Administration and Local Government
Mkoa wa Mwanza

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Dira na Mwelekeo
    • Historia ya Mkoa
    • Muundo
  • Wilaya
    • Babati
    • Mbulu
    • Hanang
    • Kiteto
    • Simanjiro
  • Idara
    • Utawala na Rasilimali Watu
    • Planning and Management
    • Fedha na Uhasibu
    • Ukaguzi wa Ndani
    • ununuzi na Ugavi
    • Uchumi na Uzalishaji
    • Miundombinu
    • Serikali za Mitaa
    • Social Welfare
    • Tehama
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
  • Machapisho
    • Fomu
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
  • Investments
    • Investment One
    • Investment Two
    • Investment Three
    • Investment Four
    • Investment Five
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Matangazo
    • Maktaba ya Picha
    • Sports and Games
    • Hotuba
    • Taarifa Kwa vyombo vya habari
    • Maktaba ya Video

RAS Mwanza aipongeza Kamati ya Amani ya Mkoa huo kwa kuandaa Mafunzo ya Sensa

Posted on: June 28th, 2022

Katibu Tawala wa Mkoa wa Mwanza Ngusa Samike ameipongeza Kamati ya Amani ya Mkoa kwa kuiunga mkono Serikali  katika kuhamasisha zoezi la Sensa ya Watu na Makazi na kutaka iendelee hivyo katika mambo mengine ya Kitaifa.

Akifungua mafunzo kuhusu Sensa inayowashirikisha Viongozi wa Dini kutoka Wilaya za Mkoa wa Mwanza,Ngusa amesema Wananchi wana kila sababu ya kushiriki zoezi hilo kwa Maendeleo ya Taifa letu.

"Mmefanya Jambo zuri kamati ya Amani ya Mkoa kutoa mafunzo haya, Sensa ni muhimu sana kwa Serikali kupanga mipango ya Maendeleo tuna imani Wananchi watahamasika kushiriki kuhesabiwa" amesema Samike

"Nawashauri pia kwenye nyumba zenu za ibada wahamasisheni waumini kwa kuweka mabango yenye ujumbe wa Sensa lengo likiwa wananchi washiriki kikamilifu" amesema Ngusa

Ngusa amesema wapo baadhi wenye uelewa mdogo au kuingia shaka  kuhusu Sensa lakini kwa kupeana elimu hii ni fursa nzuri ya kubadilishana uzoefu kati yenu Viongozi wa Dini na Serikali na hatimaye Wananchi watapata uelewa wa kutosha kuhusu umuhimu wa Sensa na Makazi.

Mwenyekiti wa Kamati ya Amani ya Mkoa wa Mwanza Sheikh Hassan Kebeke amesema mafunzo hayo ni matokeo ya kuitikia wito wa Mhe Rais Samia Suluhu Hassan wa kuwataka Viongozi wa Dini kuhamasisha Sensa.


Naye Mwenyekiti Mwenza wa Kamati ya Amani Askofu Charles Sekelwa amebainisha hata maandiko matakatifu yanatufundisha kuhusu Sensa hivyo wajibu wao kama Viongozi wa Dini kuendelea kuwaelimisha waumini wao.

Mafunzo hayo yanawashirikisha Viongozi wa Dini kutoka Wilaya zote za Mkoa wa Mwanza na yanatolewa na Katibu Tawala Msaidizi Mipango na Uratibu Joachim Otaru.

Sensa ya Watu na Makazi itafanyika nchi nzima Agosti 23 mwaka huu kwa wale walio lala ndani ya mipaka wa Tanzania.

Latest Announcements

  • Tangazo la kukutana na Mhe. Mkuu wa Mkoa wa Mwanza kwa shida mbalimbali.

    soma zaidi
  • TANGAZO LA NANENANE TAREHE 8.8.2025

    soma zaidi
  • View More

Habari Mpya

  • SIKU 100 ZA RAIS DKT. SAMIA: UKEREWE YAPATA AJIRA 127
  • RC MTANDA AWASILI WILAYANI UKEREWE KWA ZIARA YA KIKAZI
  • MWANZA YAIMARISHA UTETEZI WA WATU WENYE ULEMAVU
  • SERIKALI YAAHIDI KUENDELEA KUTOA USHIRIKIANO KWA WADAU WA SEKTA YA BIASHARA
  • CHOROKO KWENYE RAMANI YA UCHUMI WA TAIFA
  • soma zaidi

Wasiliana Nasi

Prime Minister's Office Regional Administration and Local Government Mkoa wa Mwanza
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, Mkoa wa Mwanza, 2 Regional Drive
S.L.P: 119, Mwanza.
Simu: 028-2501037
Barua Pepe: ras@mwanza.go.tz
Simu ya Mkononi: 028-2501037
Balewa/Machemba Road Street
S.L.P: S.L.P 1333, Mwanza
Simu: +255 28 250 1375
Barua Pepe: cd@mwanzacc.go.tz
Simu ya Mkononi: 0768520195
Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela
S.L.P: S.L.P 735, Mwanza
Simu: + 255 736 200910
Barua Pepe: md@ilemelamc.go.tz
Simu ya Mkononi:
Halmashauri ya Wilaya ya Magu
S.L.P: S.L.P 200, Magu
Simu: 028-2530035/2530003
Barua Pepe: ded@magudc.go.tz
Simu ya Mkononi:

Viunganishi vya Haraka

  • Maswali Yaulizwayo Mara kwa Mara
  • Makusanyo ya Ndani ya Halmashauri za Mkoa wa Mwanza
  • PReM
  • Fomu ya Ugonjwa
  • Opras fomu
  • Miongozo ya mfumo wa bajeti na Mipango
  • FFARS User Guidelines
  • OFISI MTANDAO

Viunganishi Linganishi

  • Tamisemi
  • Utumishi
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Salary Slips Portal
  • Tovuti ya Sekreatarieti ya Ajira Tanzania
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu Tanzania
  • Tovuti ya Ikulu
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Rasmi ya Wananchi
  • Tovuti Kuu ya Takwimu Huria

Social Media

  • Like us on Facebook
  • Follow us on Twitter
  • Find us on Youtube
  • Follow us on Instagram

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.

  • Kanusho
  • Sera ya faragha
  • Maswali ya Mara kwa Mara
  • Ramani ya Tovuti