• barua pepe
  • Maswali ya Mara kwa Mara
  • Wasiliana Nasi
Mwanza Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Prime Minister's Office Regional Administration and Local Government
Mkoa wa Mwanza

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Dira na Mwelekeo
    • Historia ya Mkoa
    • Muundo
  • Wilaya
    • Babati
    • Mbulu
    • Hanang
    • Kiteto
    • Simanjiro
  • Idara
    • Utawala na Rasilimali Watu
    • Planning and Management
    • Fedha na Uhasibu
    • Ukaguzi wa Ndani
    • ununuzi na Ugavi
    • Uchumi na Uzalishaji
    • Miundombinu
    • Serikali za Mitaa
    • Social Welfare
    • Tehama
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
  • Machapisho
    • Fomu
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
  • Investments
    • Investment One
    • Investment Two
    • Investment Three
    • Investment Four
    • Investment Five
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Matangazo
    • Maktaba ya Picha
    • Sports and Games
    • Hotuba
    • Taarifa Kwa vyombo vya habari
    • Maktaba ya Video

RAS MWANZA ATOA RAI KWA WAFANYABIASHARA WADOGOWADOGO

Posted on: February 16th, 2024

RAS MWANZA ATOA RAI KWA WAFANYABIASHARA WADOGOWADOGO


*Awataka maafisa husika  kushirikiana kikamilifu na kuwajibika katika kuwahudumia wafanyabiashara wadogo wadogo.


*awataka  kufanya utambuzi na usajili na kutekeleza maagizo kwa kuzingatia mafunzo waliyopewa


Katibu Tawala wa mkoa wa Mwanza Ndg. Balandya Elikana leo Februari 16, 2024 amezindua mafunzo ya siku moja ya utambuzi, usajili na utoaji vitambulisho kwa wafanya biashara wadogowadogo mkoani Mwanza mfumo huo unaofahamika kama Wafanyabiashara wadogowadogo.

Akizungumza na maafisa Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wanawake na Makundi maalumu, maafisa biashara na maafisa Tehama pamoja na washiriki mbalimbali katika ukumbi mdogo wa Ofisi ya mkuu wa mkoa,Mtendaji huyo wa Mkoa amewataka Maafisa hao kuongeza juhudi ya uwajibikaji ili wafanyabiashara hao wapate fursa mbalimbali

Amebainisha hayo kutokana na kuwepo kwa idadi kubwa ya wafanya biashra wadogowadogo wambao hawatambuliki hivyo amewataka maafisa hao  kuwasajili pamoja na kuwapa vitambulisho wafanya biashara hao.

“Tumekuwa na idadi kubwa ya wafanyabiashara wadogowadogo na Serikali imekuwa ikitoa maelekezo mbalimbali,agenda ya Serikali ni kuhakikisha wafanya biashara wanapatiwa fursa mbalimbali na mikopo pamoja na kuwatambua na kuwapanga ili wazidi kufanya biashara zao kwa urahisi” Amesema Balandya

Hata hivyo ameongeza kueleza umuhimu wa mafunzo hayo ambayo yamelenga kuleta mageuzi mbalimbali kwa wafanyabiashara huku akiwataka maafisa jamii hao kushirikiana pamoja ili kuweza kufanikisha zoezi hilo huku akiamini juhudi zao katika  utendaji wao wa kazi

Nae Afisa maendeleo ya jamii,mkoa wa Mwanza Bi.Janeth Shishila ameeleza kuwa zoezi zima la mafunzo hayo ni kurahisisha utambuzi wa idadi ya wafanyabiashara, huku akiwahakikishia wafanyabiashara hao kuwa zoezi hilo halitakuwa na athari zozote katika jamii

“Zoezi hili linafaida kwa wamachinga wadogowadogo kwa kuanza kupata kanzi data na kufahamu walipo na shughuli wanazozifanya” Amesema bi. Janet

Latest Announcements

  • Tangazo la kukutana na Mhe. Mkuu wa Mkoa wa Mwanza kwa shida mbalimbali.

    soma zaidi
  • TANGAZO LA NANENANE TAREHE 8.8.2025

    soma zaidi
  • View More

Habari Mpya

  • SIKU 100 ZA RAIS DKT. SAMIA: UKEREWE YAPATA AJIRA 127
  • RC MTANDA AWASILI WILAYANI UKEREWE KWA ZIARA YA KIKAZI
  • MWANZA YAIMARISHA UTETEZI WA WATU WENYE ULEMAVU
  • SERIKALI YAAHIDI KUENDELEA KUTOA USHIRIKIANO KWA WADAU WA SEKTA YA BIASHARA
  • CHOROKO KWENYE RAMANI YA UCHUMI WA TAIFA
  • soma zaidi

Wasiliana Nasi

Prime Minister's Office Regional Administration and Local Government Mkoa wa Mwanza
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, Mkoa wa Mwanza, 2 Regional Drive
S.L.P: 119, Mwanza.
Simu: 028-2501037
Barua Pepe: ras@mwanza.go.tz
Simu ya Mkononi: 028-2501037
Balewa/Machemba Road Street
S.L.P: S.L.P 1333, Mwanza
Simu: +255 28 250 1375
Barua Pepe: cd@mwanzacc.go.tz
Simu ya Mkononi: 0768520195
Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela
S.L.P: S.L.P 735, Mwanza
Simu: + 255 736 200910
Barua Pepe: md@ilemelamc.go.tz
Simu ya Mkononi:
Halmashauri ya Wilaya ya Magu
S.L.P: S.L.P 200, Magu
Simu: 028-2530035/2530003
Barua Pepe: ded@magudc.go.tz
Simu ya Mkononi:

Viunganishi vya Haraka

  • Maswali Yaulizwayo Mara kwa Mara
  • Makusanyo ya Ndani ya Halmashauri za Mkoa wa Mwanza
  • PReM
  • Fomu ya Ugonjwa
  • Opras fomu
  • Miongozo ya mfumo wa bajeti na Mipango
  • FFARS User Guidelines
  • OFISI MTANDAO

Viunganishi Linganishi

  • Tamisemi
  • Utumishi
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Salary Slips Portal
  • Tovuti ya Sekreatarieti ya Ajira Tanzania
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu Tanzania
  • Tovuti ya Ikulu
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Rasmi ya Wananchi
  • Tovuti Kuu ya Takwimu Huria

Social Media

  • Like us on Facebook
  • Follow us on Twitter
  • Find us on Youtube
  • Follow us on Instagram

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.

  • Kanusho
  • Sera ya faragha
  • Maswali ya Mara kwa Mara
  • Ramani ya Tovuti