• barua pepe
  • Maswali ya Mara kwa Mara
  • Wasiliana Nasi
Mwanza Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Prime Minister's Office Regional Administration and Local Government
Mkoa wa Mwanza

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Dira na Mwelekeo
    • Historia ya Mkoa
    • Muundo
  • Wilaya
    • Babati
    • Mbulu
    • Hanang
    • Kiteto
    • Simanjiro
  • Idara
    • Utawala na Rasilimali Watu
    • Planning and Management
    • Fedha na Uhasibu
    • Ukaguzi wa Ndani
    • ununuzi na Ugavi
    • Uchumi na Uzalishaji
    • Miundombinu
    • Serikali za Mitaa
    • Social Welfare
    • Tehama
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
  • Machapisho
    • Fomu
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
  • Investments
    • Investment One
    • Investment Two
    • Investment Three
    • Investment Four
    • Investment Five
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Matangazo
    • Maktaba ya Picha
    • Sports and Games
    • Hotuba
    • Taarifa Kwa vyombo vya habari
    • Maktaba ya Video

RC MAKALLA AHIMIZA KUHARAKISHWA MAENDELEO YA WANANCHI MAGU

Posted on: June 27th, 2023

RC MAKALLA AHIMIZA KUHARAKISHWA MAENDELEO YA WANANCHI MAGU


*Aagiza miradi ya maendeleo ikamilike kwa wakati, ubora na ilingane na thamani ya fedha*


*Ataka iwepo ratiba maalum ya ufuatiliaji wa Miradi*


*Aipongeza Halmashauri ya Magu kwa kuwa na hoja chache*



Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. CPA. Amos Makalla ameitaka Menejimenti ya Halmashauri ya Wilaya ya Magu kuisimamia miradi ya maendeleo ili kutimiza matarajio ya wananchi.


Mhe. CPA. Makalla amesema hayo leo Juni 27, 2023 wakati wa Mkutano wake wa mwisho wa Baraza la Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Magu kwa ajili ya kujadili hoja za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) za Mwaka 2021/22  zinazoishi Tarehe 30 Juni 2022.

" Tukasimamie miradi ya maendeleo ibadilike kutokukamilika kwa miradi hiyo tunafifisha imani ya wananchi tutumie matarajio ya wananchi kama tulivyo ahidi kuhakikisha inakamilika kwa kiwango kinachotakiwa kwa thamani ya fedha  kwa kufanya hivyo tutaendelea kuwatendea haki wananchi wetu," RC Makalla.

"Wekeni ratiba ya kukagua miradi mbalimbali inayotekelezwa menejimenti tekelezeni yale ambayo yanaelekezwa katika ilani Chama cha Mapinduzi CCM, Madiwani wamekamilisha wajibu wao ni kazi ya menejimenti yale mliyoyaahidi katika vikao vya kujibu hoja kuyatekeleza kila mmoja katika eneo lake.

Aidha, Mkuu huyo wa Mkoa ameitaka Halmashauri hiyo kuendelea kutoa ushirikiano kwa ofisi ya CAG katika kila hatua ili ukaguzi ujao kusiwe na hoja pia kumtumia vizuri mkaguzi wa ndani katika kuhakikisha wanazimaliza hoja.

Vilevile RC. Makalla ametoa rai kwa Halmashauri ya Wilaya ya Magu Kufanyia kazi taarifa za mkaguzi wa ndani ili kupunguza hoja na Menejimenti kutoa ushirikiano wa kutosha kwa wakaguzi ili waweze kupata hati safi.

Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Magu Mhe. Mpandalume Simon amesema wanakwenda kutufanyia kazi mpango kazi ambao utaenda kujibu hoja zote za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG).

Naye, Kaimu Mkaguzi Mkuu wa Nje wa Mkoa wa Mwanza Waziri Shabani kwa niaba ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) amesema anatambua ushirikiano alioupata kutoka kwa wafanyakazi na menejimenti ya Halmashauri ya wilaya ya magu wakati wa ukaguzi.

Latest Announcements

  • Tangazo la kukutana na Mhe. Mkuu wa Mkoa wa Mwanza kwa shida mbalimbali.

    soma zaidi
  • TANGAZO LA NANENANE TAREHE 8.8.2025

    soma zaidi
  • View More

Habari Mpya

  • SIKU 100 ZA RAIS DKT. SAMIA: UKEREWE YAPATA AJIRA 127
  • RC MTANDA AWASILI WILAYANI UKEREWE KWA ZIARA YA KIKAZI
  • MWANZA YAIMARISHA UTETEZI WA WATU WENYE ULEMAVU
  • SERIKALI YAAHIDI KUENDELEA KUTOA USHIRIKIANO KWA WADAU WA SEKTA YA BIASHARA
  • CHOROKO KWENYE RAMANI YA UCHUMI WA TAIFA
  • soma zaidi

Wasiliana Nasi

Prime Minister's Office Regional Administration and Local Government Mkoa wa Mwanza
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, Mkoa wa Mwanza, 2 Regional Drive
S.L.P: 119, Mwanza.
Simu: 028-2501037
Barua Pepe: ras@mwanza.go.tz
Simu ya Mkononi: 028-2501037
Balewa/Machemba Road Street
S.L.P: S.L.P 1333, Mwanza
Simu: +255 28 250 1375
Barua Pepe: cd@mwanzacc.go.tz
Simu ya Mkononi: 0768520195
Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela
S.L.P: S.L.P 735, Mwanza
Simu: + 255 736 200910
Barua Pepe: md@ilemelamc.go.tz
Simu ya Mkononi:
Halmashauri ya Wilaya ya Magu
S.L.P: S.L.P 200, Magu
Simu: 028-2530035/2530003
Barua Pepe: ded@magudc.go.tz
Simu ya Mkononi:

Viunganishi vya Haraka

  • Maswali Yaulizwayo Mara kwa Mara
  • Makusanyo ya Ndani ya Halmashauri za Mkoa wa Mwanza
  • PReM
  • Fomu ya Ugonjwa
  • Opras fomu
  • Miongozo ya mfumo wa bajeti na Mipango
  • FFARS User Guidelines
  • OFISI MTANDAO

Viunganishi Linganishi

  • Tamisemi
  • Utumishi
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Salary Slips Portal
  • Tovuti ya Sekreatarieti ya Ajira Tanzania
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu Tanzania
  • Tovuti ya Ikulu
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Rasmi ya Wananchi
  • Tovuti Kuu ya Takwimu Huria

Social Media

  • Like us on Facebook
  • Follow us on Twitter
  • Find us on Youtube
  • Follow us on Instagram

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.

  • Kanusho
  • Sera ya faragha
  • Maswali ya Mara kwa Mara
  • Ramani ya Tovuti