RC MAKALLA AMPOKEA WAZIRI MKUU MHE:MAJALIWA AKIELEKEA MARA
RC MAKALLA AMPOKEA WAZIRI MKUU MHE:MAJALIWA AKIELEKEA MARA
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe.CPA Amos MAKALLA leo Februari 25,2024 kwenye uwanja wa ndege Mkoani humo amempokea Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa akitokea Mpanda kuelekea mkoani Mara kwa ziara ya kikazi.

Akiwa kwenye uwanja wa ndege Mkoani Mwanza Mhe.Waziri Mkuu amepokewa na viongozi waandamizi wa Serikali na Chama cha Mapinduzi na kufanya nao mazungumzo mafupi kabla ya kuendelea na safari yake.

.
