• barua pepe
  • Maswali ya Mara kwa Mara
  • Wasiliana Nasi
Mwanza Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Prime Minister's Office Regional Administration and Local Government
Mkoa wa Mwanza

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Dira na Mwelekeo
    • Historia ya Mkoa
    • Muundo
  • Wilaya
    • Babati
    • Mbulu
    • Hanang
    • Kiteto
    • Simanjiro
  • Idara
    • Utawala na Rasilimali Watu
    • Planning and Management
    • Fedha na Uhasibu
    • Ukaguzi wa Ndani
    • ununuzi na Ugavi
    • Uchumi na Uzalishaji
    • Miundombinu
    • Serikali za Mitaa
    • Social Welfare
    • Tehama
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
  • Machapisho
    • Fomu
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
  • Investments
    • Investment One
    • Investment Two
    • Investment Three
    • Investment Four
    • Investment Five
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Matangazo
    • Maktaba ya Picha
    • Sports and Games
    • Hotuba
    • Taarifa Kwa vyombo vya habari
    • Maktaba ya Video

RC MAKALLA APOKEA UGENI KUTOKA CHUO CHA ULINZI CHA TAIFA

Posted on: January 8th, 2024

RC MAKALLA APOKEA UGENI KUTOKA CHUO CHA ULINZI CHA TAIFA


*Kutembea Miradi ya Kimkakati Mkoani humo*


*Asema Mwanza inaongoza kwa kukuza kiuchumi*


*Ampongeza Mhe. Rais kutekeleza Miradi ya Kimkakati*


Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. CPA Amos Makalla leo Januari 08, 2024 amepokea Ugeni wa Ujumbe wa Kozi ya 12 ya Chuo cha Taifa cha Ulinzi Tanzania (NDC) walio kwenye ziara ya kimafunzo ya wiki moja mkoani humo.


Akizungumza na Ujumbe huo kwenye Ujumbi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, Makalla amewapongeza kwa Kazi nzuri wanayofanya na kuchagua Mwanza kuwa sehemu ya mafunzo kwani Mkoa huo una maeneo mengi ya kujifunza hususani masuala ya Usalama.

Vilevile, amebainisha kwao kuwa Mwanza ni mkoa unaokua kwa kasi kiuchumi na kwamba Miradi ya Kimkakati inayoendelea kutekelezwa pamoja na uboreshaji wa Uwanja wa Ndege Kuwa wa kimataifa itaifanya Mwanza kuwa kitovu cha Uchumi.

Mkuu wa Chuo Meja Jenerali Wilbert Augustine Ibuge amebainisha kuwa Ujumbe huo umekuja Mwanza kuona miradi ya kimkakati inayotekelezwa Nchini ambayo inaonesha nia kubwa ya kuboresha kuwa na Usalama wa Maendeleo.

Aidha, ametumia wasaa huo kuipongeza Halmashauri ya Jiji la Mwanza kwa kubuni Miradi mikubwa inayolenga kukua biashara na kupata Uhimilivu wa Mapato hususani Stendi ya Nyegezi pamoja na Soko kubwa la Kimkakati ya Mjini kati.

Vilevile, ametaja Miradi kama Reli ya Kisasa (SGR) lakini pia hata Meli ya MV Mwanza pamoja na Uwanja wa ndege unaoboreshwa ili kufikia hadhi ya kimataifa yote tutaifikia katika kuhakikisha wanafunzi wanaona utekelezaji wake huku wakilinganisha na elimu waipatayo Darasani.

Latest Announcements

  • Tangazo la kukutana na Mhe. Mkuu wa Mkoa wa Mwanza kwa shida mbalimbali.

    soma zaidi
  • TANGAZO LA NANENANE TAREHE 8.8.2025

    soma zaidi
  • View More

Habari Mpya

  • SIKU 100 ZA RAIS DKT. SAMIA: UKEREWE YAPATA AJIRA 127
  • RC MTANDA AWASILI WILAYANI UKEREWE KWA ZIARA YA KIKAZI
  • MWANZA YAIMARISHA UTETEZI WA WATU WENYE ULEMAVU
  • SERIKALI YAAHIDI KUENDELEA KUTOA USHIRIKIANO KWA WADAU WA SEKTA YA BIASHARA
  • CHOROKO KWENYE RAMANI YA UCHUMI WA TAIFA
  • soma zaidi

Wasiliana Nasi

Prime Minister's Office Regional Administration and Local Government Mkoa wa Mwanza
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, Mkoa wa Mwanza, 2 Regional Drive
S.L.P: 119, Mwanza.
Simu: 028-2501037
Barua Pepe: ras@mwanza.go.tz
Simu ya Mkononi: 028-2501037
Balewa/Machemba Road Street
S.L.P: S.L.P 1333, Mwanza
Simu: +255 28 250 1375
Barua Pepe: cd@mwanzacc.go.tz
Simu ya Mkononi: 0768520195
Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela
S.L.P: S.L.P 735, Mwanza
Simu: + 255 736 200910
Barua Pepe: md@ilemelamc.go.tz
Simu ya Mkononi:
Halmashauri ya Wilaya ya Magu
S.L.P: S.L.P 200, Magu
Simu: 028-2530035/2530003
Barua Pepe: ded@magudc.go.tz
Simu ya Mkononi:

Viunganishi vya Haraka

  • Maswali Yaulizwayo Mara kwa Mara
  • Makusanyo ya Ndani ya Halmashauri za Mkoa wa Mwanza
  • PReM
  • Fomu ya Ugonjwa
  • Opras fomu
  • Miongozo ya mfumo wa bajeti na Mipango
  • FFARS User Guidelines
  • OFISI MTANDAO

Viunganishi Linganishi

  • Tamisemi
  • Utumishi
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Salary Slips Portal
  • Tovuti ya Sekreatarieti ya Ajira Tanzania
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu Tanzania
  • Tovuti ya Ikulu
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Rasmi ya Wananchi
  • Tovuti Kuu ya Takwimu Huria

Social Media

  • Like us on Facebook
  • Follow us on Twitter
  • Find us on Youtube
  • Follow us on Instagram

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.

  • Kanusho
  • Sera ya faragha
  • Maswali ya Mara kwa Mara
  • Ramani ya Tovuti