• barua pepe
  • Maswali ya Mara kwa Mara
  • Wasiliana Nasi
Mwanza Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Prime Minister's Office Regional Administration and Local Government
Mkoa wa Mwanza

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Dira na Mwelekeo
    • Historia ya Mkoa
    • Muundo
  • Wilaya
    • Babati
    • Mbulu
    • Hanang
    • Kiteto
    • Simanjiro
  • Idara
    • Utawala na Rasilimali Watu
    • Planning and Management
    • Fedha na Uhasibu
    • Ukaguzi wa Ndani
    • ununuzi na Ugavi
    • Uchumi na Uzalishaji
    • Miundombinu
    • Serikali za Mitaa
    • Social Welfare
    • Tehama
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
  • Machapisho
    • Fomu
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
  • Investments
    • Investment One
    • Investment Two
    • Investment Three
    • Investment Four
    • Investment Five
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Matangazo
    • Maktaba ya Picha
    • Sports and Games
    • Hotuba
    • Taarifa Kwa vyombo vya habari
    • Maktaba ya Video

RC Malima aivunja Kamati ya usimamizi ya Jengo la abiria uwanja wa Ndege Mwanza

Posted on: August 7th, 2022

Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe Adam Malima ameivunja Kamati ya usimamizi ya ujenzi wa Jengo la abiria la uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwanza kutokana na ubadhirifu wa fedha za Mradi huo.

Akizungumza  leo na wahusika wa Mradi huo wa Jengo la abiria mara baada ya kulifanyia ukaguzi Mkuu huyo wa Mkoa amesema baada ya kuivunja kitakachofuata ni kupata taarifa za kina za kila muhusika ili kujirudhisha uwezo wao.

"Hainiingii akilini kuona taarifa inayosema Mkandarasi Mshauri Berno Balinamomi amepata kazi hiyo bila mkataba kwa zaidi ya Shilingi milioni mia moja na kufanyika malipo yaliyopitiliza gharama halisi" amesema Mkuu huyo wa Mkoa.

Amesema huyo Mkandarasi Mshauri licha ya kulipwa pesa nyingi amefanya makosa mengi katika ujenzi huo kiasi cha kupoteza sifa ya Jengo hilo kuwa na hadhi ya Kimataifa.

Amesema baada ya kuivunja Kamati hiyo atashirikiana na Katibu Tawala wa Mkoa Balanda Elikana kuunda Kamati mpya itakayowashirikisha Wataalamu wa ujenzi na  viongozi wa vyombo vya Ulinzi na usalama.

Mhe Malima amemtaka Mkandarasi huyo kurekebisha kasoro zote na Jengo hilo kumalizika haraka ili Mkoa wa Mwanza ambao upo Kimkakati upokee Watalii wanaozidi kuvutiwa na Vivutio vingi vya Kitalii vilivyopo Mkoani humo na Mbuga ya Serengeti.

Jengo la abiria lenye gharama ya zaidi ya Shilingi Bilioni 13 linalojengwa kwa kuchangiwa gharama na Halmashauri mbili za Nyamagana iliyotoa zaidi ya Shilingi Bilioni 2 na Ilemela iliyotoa zaidi ya Shilingi Bilioni 1 na nyingine kuongezwa na Serikali Kuu hadi sasa zimeshatumika Shilingi Bilioni 8.

Latest Announcements

  • Tangazo la kukutana na Mhe. Mkuu wa Mkoa wa Mwanza kwa shida mbalimbali.

    soma zaidi
  • TANGAZO LA NANENANE TAREHE 8.8.2025

    soma zaidi
  • View More

Habari Mpya

  • SIKU 100 ZA RAIS DKT. SAMIA: UKEREWE YAPATA AJIRA 127
  • RC MTANDA AWASILI WILAYANI UKEREWE KWA ZIARA YA KIKAZI
  • MWANZA YAIMARISHA UTETEZI WA WATU WENYE ULEMAVU
  • SERIKALI YAAHIDI KUENDELEA KUTOA USHIRIKIANO KWA WADAU WA SEKTA YA BIASHARA
  • CHOROKO KWENYE RAMANI YA UCHUMI WA TAIFA
  • soma zaidi

Wasiliana Nasi

Prime Minister's Office Regional Administration and Local Government Mkoa wa Mwanza
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, Mkoa wa Mwanza, 2 Regional Drive
S.L.P: 119, Mwanza.
Simu: 028-2501037
Barua Pepe: ras@mwanza.go.tz
Simu ya Mkononi: 028-2501037
Balewa/Machemba Road Street
S.L.P: S.L.P 1333, Mwanza
Simu: +255 28 250 1375
Barua Pepe: cd@mwanzacc.go.tz
Simu ya Mkononi: 0768520195
Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela
S.L.P: S.L.P 735, Mwanza
Simu: + 255 736 200910
Barua Pepe: md@ilemelamc.go.tz
Simu ya Mkononi:
Halmashauri ya Wilaya ya Magu
S.L.P: S.L.P 200, Magu
Simu: 028-2530035/2530003
Barua Pepe: ded@magudc.go.tz
Simu ya Mkononi:

Viunganishi vya Haraka

  • Maswali Yaulizwayo Mara kwa Mara
  • Makusanyo ya Ndani ya Halmashauri za Mkoa wa Mwanza
  • PReM
  • Fomu ya Ugonjwa
  • Opras fomu
  • Miongozo ya mfumo wa bajeti na Mipango
  • FFARS User Guidelines
  • OFISI MTANDAO

Viunganishi Linganishi

  • Tamisemi
  • Utumishi
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Salary Slips Portal
  • Tovuti ya Sekreatarieti ya Ajira Tanzania
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu Tanzania
  • Tovuti ya Ikulu
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Rasmi ya Wananchi
  • Tovuti Kuu ya Takwimu Huria

Social Media

  • Like us on Facebook
  • Follow us on Twitter
  • Find us on Youtube
  • Follow us on Instagram

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.

  • Kanusho
  • Sera ya faragha
  • Maswali ya Mara kwa Mara
  • Ramani ya Tovuti