RC Malima atoa Mhadhara usalama wa kiuchumi Chuo cha ukamanda na unadhimu Duluti Arusha
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe.Adam Malima Desemba 15, 2022 amepokelewa Chuo cha Ukamanda na Unadhimu Kilichopo Duluti Mkoani Arusha kwa ajili ya kutoa Mhadhara kuhusu Usalama wa Kiuchumi, Chuo hicho kinamilikiwa na JWTZ ambapo wanafunzi wake wanatoka ndani na nje ya Nchi.
















