• barua pepe
  • Maswali ya Mara kwa Mara
  • Wasiliana Nasi
Mwanza Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Prime Minister's Office Regional Administration and Local Government
Mkoa wa Mwanza

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Dira na Mwelekeo
    • Historia ya Mkoa
    • Muundo
  • Wilaya
    • Babati
    • Mbulu
    • Hanang
    • Kiteto
    • Simanjiro
  • Idara
    • Utawala na Rasilimali Watu
    • Planning and Management
    • Fedha na Uhasibu
    • Ukaguzi wa Ndani
    • ununuzi na Ugavi
    • Uchumi na Uzalishaji
    • Miundombinu
    • Serikali za Mitaa
    • Social Welfare
    • Tehama
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
  • Machapisho
    • Fomu
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
  • Investments
    • Investment One
    • Investment Two
    • Investment Three
    • Investment Four
    • Investment Five
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Matangazo
    • Maktaba ya Picha
    • Sports and Games
    • Hotuba
    • Taarifa Kwa vyombo vya habari
    • Maktaba ya Video

RC Malima awaalika wakazi wa Mwanza na Mikoa jirani kufika Sekou Toure kupata vipimo na matibabu kutoka kwa Madaktari Bingwa

Posted on: December 2nd, 2022


Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Mhe. Adam Malima amewaalika wananchi waishio Mkoani humo na jirani kuitikia wito wa kupata vipimo vya magonjwa mbalimbali kwenye viwanja vya Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Sekou Toure kuanzia Disemba 05 -09, 2022.

Mhe. Malima amesema kwa siku zote hizo tano kutakua na Madaktari Bingwa kutoka Sekou Toure kwa kushirikiana na Hospitali ya Kanda ya Bugando ambapo watafanya vipimo bure kwa wananchi katika magonjwa mbalimbali kuanzia saa 2 asubuhi hadi 12 jioni.

Aidha, amesema wananchi watapata nafasi ya kuangaliwa afya zao na kupata ushauri wa kitaalamu dhidi ya Magonjwa mbalimbali na kwamba matibabu yatafanyika kwa gharama nafuu na bima mbalimbali za afya zitapokelewa kwa matibabu.

Vilevile, ametoa wito kwa wananchi kuwa na bima za afya kwani magonjwa hayabishi hodi na yanatokea wakati mtu hana fedha hivyo mwananchi akiwa na bima itamsaidia kupata huduma bora.

Hata hivyo, ametumia wasaa huo kutoa wito kwa wataalamu hao wa afya kutoa elimu kwa umma dhidi ya magonjwa mbalimbali hasa yanayowakabili zaidi wananchi wa kanda ya ziwa ili jamii iweze kubaini na kujikinga nayo.

"Kuanzia wiki ijayo kwa kushirikiana na hospitali ya Bugando, kwenye Hospitali yetu tutakua na kambi ya Madaktari bingwa kwa kada Mbalimbali ambao watatoa huduma  kama za Upasuaji, Uzazi, Watoto, akina mama na watoto, Mionzi, Meno, macho, Damu, mfumo wa Chakula na afya ya akili hivyo nawakaribisha wananchi wote kufika kwa wingi kupata huduma." Dkt. Bahati Msaki, Mganga Mfawidhi Sekou Toure.

Latest Announcements

  • Tangazo la kukutana na Mhe. Mkuu wa Mkoa wa Mwanza kwa shida mbalimbali.

    soma zaidi
  • TANGAZO LA NANENANE TAREHE 8.8.2025

    soma zaidi
  • View More

Habari Mpya

  • SIKU 100 ZA RAIS DKT. SAMIA: UKEREWE YAPATA AJIRA 127
  • RC MTANDA AWASILI WILAYANI UKEREWE KWA ZIARA YA KIKAZI
  • MWANZA YAIMARISHA UTETEZI WA WATU WENYE ULEMAVU
  • SERIKALI YAAHIDI KUENDELEA KUTOA USHIRIKIANO KWA WADAU WA SEKTA YA BIASHARA
  • CHOROKO KWENYE RAMANI YA UCHUMI WA TAIFA
  • soma zaidi

Wasiliana Nasi

Prime Minister's Office Regional Administration and Local Government Mkoa wa Mwanza
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, Mkoa wa Mwanza, 2 Regional Drive
S.L.P: 119, Mwanza.
Simu: 028-2501037
Barua Pepe: ras@mwanza.go.tz
Simu ya Mkononi: 028-2501037
Balewa/Machemba Road Street
S.L.P: S.L.P 1333, Mwanza
Simu: +255 28 250 1375
Barua Pepe: cd@mwanzacc.go.tz
Simu ya Mkononi: 0768520195
Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela
S.L.P: S.L.P 735, Mwanza
Simu: + 255 736 200910
Barua Pepe: md@ilemelamc.go.tz
Simu ya Mkononi:
Halmashauri ya Wilaya ya Magu
S.L.P: S.L.P 200, Magu
Simu: 028-2530035/2530003
Barua Pepe: ded@magudc.go.tz
Simu ya Mkononi:

Viunganishi vya Haraka

  • Maswali Yaulizwayo Mara kwa Mara
  • Makusanyo ya Ndani ya Halmashauri za Mkoa wa Mwanza
  • PReM
  • Fomu ya Ugonjwa
  • Opras fomu
  • Miongozo ya mfumo wa bajeti na Mipango
  • FFARS User Guidelines
  • OFISI MTANDAO

Viunganishi Linganishi

  • Tamisemi
  • Utumishi
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Salary Slips Portal
  • Tovuti ya Sekreatarieti ya Ajira Tanzania
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu Tanzania
  • Tovuti ya Ikulu
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Rasmi ya Wananchi
  • Tovuti Kuu ya Takwimu Huria

Social Media

  • Like us on Facebook
  • Follow us on Twitter
  • Find us on Youtube
  • Follow us on Instagram

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.

  • Kanusho
  • Sera ya faragha
  • Maswali ya Mara kwa Mara
  • Ramani ya Tovuti