RC MTANDA AAHIDI USHIRIKIANO NA TAASISI YA NYERERE FOUNDATION
RC MTANDA AAHIDI USHIRIKIANO NA TAASISI YA NYERERE FOUNDATION
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. Said Mtanda amekutana na viongozi wa Nyerere Foundation wakiongozwa na Joseph Butiku, leo Oktoba 9, 2024 Ofisini kwake walipokuja kumtembelea, huku akiwaahidi ushirikiano wa kutosha na Taasisi hiyo.