RC MTANDA AFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA INDIA,AKARIBISHA UWEKEZAJI
RC MTANDA AFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA INDIA,AKARIBISHA UWEKEZAJI
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. Said Mtanda leo Novemba 18, 2024 Ofisini kwake amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa India Nchini Tanzania Mhe. Bishwadip Dey na katika mazunguzmo hayo wamekubalina kushirikiana katika masuala ya elimu, uwekezaji na Viwanda.