RC MTANDA AKITETA JAMBO NA KATIBU MKUU WA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. Said Mtanda akiteta jambo na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Bi. Edith Mwaje pamoja na Katibu Mtendaji wa Kamisheni ya Bonde la Ziwa Victoria, Dkt. Masinde Bwire waliozuru ofisini kwake kwa salamu na mazungumzo mafupi.



