RC MTANDA AMPOKEA LEO OFISINI KWAKE WAZIRI SIMBACHAWENE NA KUFANYA MAZUNGUMZO MAFUPI
Mkuu wa Mko wa Mwanza Mhe. Said Mtanda mapema leo Mei 24, 2024 amempokea ofisini kwake Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. George Simbachawene ambaye yupo Mkoani Mwanza kwa ziara ya kikazi.


