RC MTANDA APOKEA UJUMBE KUTOKA CHUO CHA ULINZI WA TAIFA (NDC)
Leo Oktoba 21, 2025 Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. Said Mtanda amepokea ujumbe wa Brig Jenerali MK Matunda kutoka Chuo cha Ulinzi wa Taifa (NDC) Aliyemtembelea ofisini kwake Jijini Mwanza kwa ajili ya maandalizi ya mafunzo kwa vitendo kwa wanafunzi wa Chuo cha Ulinzi wa Taifa.

Mafunzo hayo yanatarajiwa kuanza mapema mwezi januari 2026.
