• barua pepe
  • Maswali ya Mara kwa Mara
  • Wasiliana Nasi
Mwanza Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Prime Minister's Office Regional Administration and Local Government
Mkoa wa Mwanza

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Dira na Mwelekeo
    • Historia ya Mkoa
    • Muundo
  • Wilaya
    • Babati
    • Mbulu
    • Hanang
    • Kiteto
    • Simanjiro
  • Idara
    • Utawala na Rasilimali Watu
    • Planning and Management
    • Fedha na Uhasibu
    • Ukaguzi wa Ndani
    • ununuzi na Ugavi
    • Uchumi na Uzalishaji
    • Miundombinu
    • Serikali za Mitaa
    • Social Welfare
    • Tehama
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
  • Machapisho
    • Fomu
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
  • Investments
    • Investment One
    • Investment Two
    • Investment Three
    • Investment Four
    • Investment Five
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Matangazo
    • Maktaba ya Picha
    • Sports and Games
    • Hotuba
    • Taarifa Kwa vyombo vya habari
    • Maktaba ya Video

RC MTANDA ATOA UFAFANUZI JUU YA CHANGAMOTO YA MAJI

Posted on: September 23rd, 2025

Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. Said Mtanda amewaomba radhi wananchi wa mkoa huo juu ya changamoto ya ukosekanaji  maji iliyojitokeza kuanzia tarehe 19 Septemba, tatizo ambalo lilitokana na kuyumba kwa umeme katika chanzo cha maji Butimba.

Amesema hayo wakati akizungumza na waandishi wa habari mapema leo Septemba 23, 2025 ofisini baada ya kusikiliza kero za wananchi zoezi ambalo linafanyika kila siku za jumanne.

Mhe. Mtanda amesema tayari mamlaka husika imeshaanza kushughulikia tatizo hilo ambalo mpaka sasa ukarabati umefikia asilimia 80 na  baadhi ya maeneo tayari maji yameshaanza kutoka.

"Sasahivi tumefikia asilimia 80 ya marekebisho ya mitambo iliyopata athari kwahiyo kuanzia leo maji yataanza kutoka katika baadhi ya maeneo" Amesema  Mhe. Mtanda.

Aidha Mhe. Mtanda amesema serikali ipo kwenye mchakato wa kupanua mradi wa maji wa Capripoint uliofikia asilimia 35 mpaka sasa ambao ulikua ukizalisha maji Lita Millioni 90 na baada ya marekebisho utazalisha maji Lita Millioni 138.

"Tunaendelea na upanuzi wa mradi wa maji na miundombinu ambapo tunaomradi wa maji wa Capripoint ambao ulikua ukizalisha maji Lita Millioni 90 na baada ya marekebisho utazalisha maji Lita Millioni 138 kwa sasa tupo asilimia 35 ya marekebisho yake.

Mamlaka ya maji mkoa wa Mwanza (MAUWASA) ilitoa taarifa kwa wananchi wa maeneo ya Mkuyuni, Nyegezi, Mkolani na Msituni juu ya upungufu wa maji katika chanzo cha maji Butimba ambao ulitokana na kuyumba kwa umeme, mradi huo unauwezo wa kuzalisha maji lita Millioni 48.

Latest Announcements

  • Tangazo la kukutana na Mhe. Mkuu wa Mkoa wa Mwanza kwa shida mbalimbali.

    soma zaidi
  • TANGAZO LA NANENANE TAREHE 8.8.2025

    soma zaidi
  • View More

Habari Mpya

  • SIKU 100 ZA RAIS DKT. SAMIA: UKEREWE YAPATA AJIRA 127
  • RC MTANDA AWASILI WILAYANI UKEREWE KWA ZIARA YA KIKAZI
  • MWANZA YAIMARISHA UTETEZI WA WATU WENYE ULEMAVU
  • SERIKALI YAAHIDI KUENDELEA KUTOA USHIRIKIANO KWA WADAU WA SEKTA YA BIASHARA
  • CHOROKO KWENYE RAMANI YA UCHUMI WA TAIFA
  • soma zaidi

Wasiliana Nasi

Prime Minister's Office Regional Administration and Local Government Mkoa wa Mwanza
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, Mkoa wa Mwanza, 2 Regional Drive
S.L.P: 119, Mwanza.
Simu: 028-2501037
Barua Pepe: ras@mwanza.go.tz
Simu ya Mkononi: 028-2501037
Balewa/Machemba Road Street
S.L.P: S.L.P 1333, Mwanza
Simu: +255 28 250 1375
Barua Pepe: cd@mwanzacc.go.tz
Simu ya Mkononi: 0768520195
Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela
S.L.P: S.L.P 735, Mwanza
Simu: + 255 736 200910
Barua Pepe: md@ilemelamc.go.tz
Simu ya Mkononi:
Halmashauri ya Wilaya ya Magu
S.L.P: S.L.P 200, Magu
Simu: 028-2530035/2530003
Barua Pepe: ded@magudc.go.tz
Simu ya Mkononi:

Viunganishi vya Haraka

  • Maswali Yaulizwayo Mara kwa Mara
  • Makusanyo ya Ndani ya Halmashauri za Mkoa wa Mwanza
  • PReM
  • Fomu ya Ugonjwa
  • Opras fomu
  • Miongozo ya mfumo wa bajeti na Mipango
  • FFARS User Guidelines
  • OFISI MTANDAO

Viunganishi Linganishi

  • Tamisemi
  • Utumishi
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Salary Slips Portal
  • Tovuti ya Sekreatarieti ya Ajira Tanzania
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu Tanzania
  • Tovuti ya Ikulu
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Rasmi ya Wananchi
  • Tovuti Kuu ya Takwimu Huria

Social Media

  • Like us on Facebook
  • Follow us on Twitter
  • Find us on Youtube
  • Follow us on Instagram

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.

  • Kanusho
  • Sera ya faragha
  • Maswali ya Mara kwa Mara
  • Ramani ya Tovuti