• barua pepe
  • Maswali ya Mara kwa Mara
  • Wasiliana Nasi
Mwanza Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Prime Minister's Office Regional Administration and Local Government
Mkoa wa Mwanza

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Dira na Mwelekeo
    • Historia ya Mkoa
    • Muundo
  • Wilaya
    • Babati
    • Mbulu
    • Hanang
    • Kiteto
    • Simanjiro
  • Idara
    • Utawala na Rasilimali Watu
    • Planning and Management
    • Fedha na Uhasibu
    • Ukaguzi wa Ndani
    • ununuzi na Ugavi
    • Uchumi na Uzalishaji
    • Miundombinu
    • Serikali za Mitaa
    • Social Welfare
    • Tehama
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
  • Machapisho
    • Fomu
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
  • Investments
    • Investment One
    • Investment Two
    • Investment Three
    • Investment Four
    • Investment Five
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Matangazo
    • Maktaba ya Picha
    • Sports and Games
    • Hotuba
    • Taarifa Kwa vyombo vya habari
    • Maktaba ya Video

RC MTANDA ATOA WITO USHIRIKIANO WA SEKTA BINAFSI NA UMMA KATIKA KUKUZA UCHUMI

Posted on: March 14th, 2025

RC MTANDA ATOA WITO  USHIRIKIANO WA SEKTA BINAFSI NA UMMA KATIKA KUKUZA UCHUMI


Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. Said Mtanda amefungua mkutano wa Baraza la biashara la Mkoa na kuhimiza ushirikiano baina ya sekta binafsi na umma ili kukuza uchumi wa Mkoa na Taifa kwa ujumla.

Akizungumza na wajumbe wa baraza hilo leo Machi 14, 2025 katika mkutano uliofanyika kwenye ukumbi wa Ofisi ya mkuu wa mkoa,,Mtanda amesema siri ya mafanikio ya ukuaji wa uchumi ni ushirikiano na kutatua changamoto zinazojitokeza kwa pamoja na siyo kukimbilia sehemu zisizo na msaada.

"Ofisi ya mkuu wa mkoa ndiyo mahali mwafaka wa kufikisha kero au changamoto zinazotishia kukwamisha shughuli za kibiashara,msikimbilie kwenye vyombo vya habari huo siyo uamuzi sahihi," Mtanda

Kuhusu uchumi wa Mkoa wa Mwanza ambao kwa mujibu wa takwimu ya mwaka 2020-23 Mkoa huo umechangia Tshs Trilioni 13.5,Mkuu huyo wa Mkoa amebainisha Serikali imewekeza miradi ya kimkakati ya Tshs Trilioni 5.6 hivyo itakapokamilika uchumi utazidi kupiga hatua.

"Tuna miradi iliyo mbioni kukamilika ikiwemo Daraja la JP Magufuli,Meli mpya ya Mv Mwanza na upanuzi wa uwanja wa ndege,vyote hivyo vikikamilika wigo wa biashara kutoka nchi jirani utapanuka na kuongeza uchangiaji wa pato la Taifa, ambapo sasa Mwanza inachangia 7.2% ukiwa ni Mkoa wa pili baada ya Dar-e-s Salaam inayoongoza kwa kumchangia 17% "Mkuu wa Mkoa.

Kwa upande wake Mtendaji mkuu wa Baraza la biashara la Taifa Dr.Godwill Wanga ameipongeza Serikali kwa kwa kutoa fursa zaidi za uwekezaji kwa sekta binafsi hali ambayo imeifanya sekta hiyo kuzidi kupiga hatua na kuongeza ajira.

"Miaka ya nyuma sekta binafsi ilikuwa inachangia 30% lakini sasa inachangia 60% na Serikali 40% hii ni hatua ya kujivunia,"Mtendaji mkuu.

Latest Announcements

  • Tangazo la kukutana na Mhe. Mkuu wa Mkoa wa Mwanza kwa shida mbalimbali.

    soma zaidi
  • TANGAZO LA NANENANE TAREHE 8.8.2025

    soma zaidi
  • View More

Habari Mpya

  • SIKU 100 ZA RAIS DKT. SAMIA: UKEREWE YAPATA AJIRA 127
  • RC MTANDA AWASILI WILAYANI UKEREWE KWA ZIARA YA KIKAZI
  • MWANZA YAIMARISHA UTETEZI WA WATU WENYE ULEMAVU
  • SERIKALI YAAHIDI KUENDELEA KUTOA USHIRIKIANO KWA WADAU WA SEKTA YA BIASHARA
  • CHOROKO KWENYE RAMANI YA UCHUMI WA TAIFA
  • soma zaidi

Wasiliana Nasi

Prime Minister's Office Regional Administration and Local Government Mkoa wa Mwanza
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, Mkoa wa Mwanza, 2 Regional Drive
S.L.P: 119, Mwanza.
Simu: 028-2501037
Barua Pepe: ras@mwanza.go.tz
Simu ya Mkononi: 028-2501037
Balewa/Machemba Road Street
S.L.P: S.L.P 1333, Mwanza
Simu: +255 28 250 1375
Barua Pepe: cd@mwanzacc.go.tz
Simu ya Mkononi: 0768520195
Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela
S.L.P: S.L.P 735, Mwanza
Simu: + 255 736 200910
Barua Pepe: md@ilemelamc.go.tz
Simu ya Mkononi:
Halmashauri ya Wilaya ya Magu
S.L.P: S.L.P 200, Magu
Simu: 028-2530035/2530003
Barua Pepe: ded@magudc.go.tz
Simu ya Mkononi:

Viunganishi vya Haraka

  • Maswali Yaulizwayo Mara kwa Mara
  • Makusanyo ya Ndani ya Halmashauri za Mkoa wa Mwanza
  • PReM
  • Fomu ya Ugonjwa
  • Opras fomu
  • Miongozo ya mfumo wa bajeti na Mipango
  • FFARS User Guidelines
  • OFISI MTANDAO

Viunganishi Linganishi

  • Tamisemi
  • Utumishi
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Salary Slips Portal
  • Tovuti ya Sekreatarieti ya Ajira Tanzania
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu Tanzania
  • Tovuti ya Ikulu
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Rasmi ya Wananchi
  • Tovuti Kuu ya Takwimu Huria

Social Media

  • Like us on Facebook
  • Follow us on Twitter
  • Find us on Youtube
  • Follow us on Instagram

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.

  • Kanusho
  • Sera ya faragha
  • Maswali ya Mara kwa Mara
  • Ramani ya Tovuti