• barua pepe
  • Maswali ya Mara kwa Mara
  • Wasiliana Nasi
Mwanza Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Prime Minister's Office Regional Administration and Local Government
Mkoa wa Mwanza

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Dira na Mwelekeo
    • Historia ya Mkoa
    • Muundo
  • Wilaya
    • Babati
    • Mbulu
    • Hanang
    • Kiteto
    • Simanjiro
  • Idara
    • Utawala na Rasilimali Watu
    • Planning and Management
    • Fedha na Uhasibu
    • Ukaguzi wa Ndani
    • ununuzi na Ugavi
    • Uchumi na Uzalishaji
    • Miundombinu
    • Serikali za Mitaa
    • Social Welfare
    • Tehama
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
  • Machapisho
    • Fomu
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
  • Investments
    • Investment One
    • Investment Two
    • Investment Three
    • Investment Four
    • Investment Five
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Matangazo
    • Maktaba ya Picha
    • Sports and Games
    • Hotuba
    • Taarifa Kwa vyombo vya habari
    • Maktaba ya Video

RC MTANDA AWAPOKEA WAJUMBE KUTOKA BARAZA LA WAWAKILISHI Z'BAR

Posted on: November 18th, 2024

RC MTANDA AWAPOKEA WAJUMBE KUTOKA BARAZA LA WAWAKILISHI Z'BAR.


Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. Said Mtanda leo Novemba 18, 2024 amewapokea wajumbe kutoka Baraza la wawakilishi la Serikali ya Mapinduzi Zanzibar ambao ni wajumbe wa kamati ya huduma ya ustawi wa jamii na kuonesha imani kile walichokuja kujifunza kitaongeza maendeleo kwa wananchi wanao wawakilisha.

Akizungumza na ujumbe huo Ofisini kwake, Mkuu huyo wa Mkoa amebainisha Mwanza kuna miradi mingi ya afya hivyo watapata fursa nzuri ya kujifunza namna inayotekelezwa na pia namna ya kukabiliana na changamoto zinazojitokeza.

"Hii ni ziara muhimu sana,maana kamati yenu inagusa maisha ya watu kwa upande wa afya, hapa Mwanza tuna jumla ya wilaya saba kunakotekelezwa miradi mingi ya afya,naamini mtakachojifunza mtakwenda kuishauri kwa hekima Wizara ya afya na hatimaye kuwepo na tija kwa wananchi",Mtanda alipokuwa akitoa taarifa fupi ya Mkoa wa Mwanza  kwa wajumbe wa Baraza la wawakilishi.

Kwa upande wake Mwenyekiti wa kamati hiyo Mhe.Sabiha Filfil Thani amesema ziara yao ya siku nne mkoani Mwanza watapata mengi ya kujifunza na kwenda kuishauri Serikali ili kuboresha zaidi sekta ya afya.

Mganda Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Dkt.Jesica Lebba amesema kufanya vizuri katika miradi mingi ya afya inayoletwa na Serikali ya awamu ya sita mkoani Mwanza kumechangiwa na wajumbe hao wa Baraza la wawakilishi kuja mkoani humo kupata nafasi ya kujifunza.

Latest Announcements

  • Tangazo la kukutana na Mhe. Mkuu wa Mkoa wa Mwanza kwa shida mbalimbali.

    soma zaidi
  • TANGAZO LA NANENANE TAREHE 8.8.2025

    soma zaidi
  • View More

Habari Mpya

  • SIKU 100 ZA RAIS DKT. SAMIA: UKEREWE YAPATA AJIRA 127
  • RC MTANDA AWASILI WILAYANI UKEREWE KWA ZIARA YA KIKAZI
  • MWANZA YAIMARISHA UTETEZI WA WATU WENYE ULEMAVU
  • SERIKALI YAAHIDI KUENDELEA KUTOA USHIRIKIANO KWA WADAU WA SEKTA YA BIASHARA
  • CHOROKO KWENYE RAMANI YA UCHUMI WA TAIFA
  • soma zaidi

Wasiliana Nasi

Prime Minister's Office Regional Administration and Local Government Mkoa wa Mwanza
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, Mkoa wa Mwanza, 2 Regional Drive
S.L.P: 119, Mwanza.
Simu: 028-2501037
Barua Pepe: ras@mwanza.go.tz
Simu ya Mkononi: 028-2501037
Balewa/Machemba Road Street
S.L.P: S.L.P 1333, Mwanza
Simu: +255 28 250 1375
Barua Pepe: cd@mwanzacc.go.tz
Simu ya Mkononi: 0768520195
Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela
S.L.P: S.L.P 735, Mwanza
Simu: + 255 736 200910
Barua Pepe: md@ilemelamc.go.tz
Simu ya Mkononi:
Halmashauri ya Wilaya ya Magu
S.L.P: S.L.P 200, Magu
Simu: 028-2530035/2530003
Barua Pepe: ded@magudc.go.tz
Simu ya Mkononi:

Viunganishi vya Haraka

  • Maswali Yaulizwayo Mara kwa Mara
  • Makusanyo ya Ndani ya Halmashauri za Mkoa wa Mwanza
  • PReM
  • Fomu ya Ugonjwa
  • Opras fomu
  • Miongozo ya mfumo wa bajeti na Mipango
  • FFARS User Guidelines
  • OFISI MTANDAO

Viunganishi Linganishi

  • Tamisemi
  • Utumishi
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Salary Slips Portal
  • Tovuti ya Sekreatarieti ya Ajira Tanzania
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu Tanzania
  • Tovuti ya Ikulu
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Rasmi ya Wananchi
  • Tovuti Kuu ya Takwimu Huria

Social Media

  • Like us on Facebook
  • Follow us on Twitter
  • Find us on Youtube
  • Follow us on Instagram

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.

  • Kanusho
  • Sera ya faragha
  • Maswali ya Mara kwa Mara
  • Ramani ya Tovuti