• barua pepe
  • Maswali ya Mara kwa Mara
  • Wasiliana Nasi
Mwanza Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Prime Minister's Office Regional Administration and Local Government
Mkoa wa Mwanza

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Dira na Mwelekeo
    • Historia ya Mkoa
    • Muundo
  • Wilaya
    • Babati
    • Mbulu
    • Hanang
    • Kiteto
    • Simanjiro
  • Idara
    • Utawala na Rasilimali Watu
    • Planning and Management
    • Fedha na Uhasibu
    • Ukaguzi wa Ndani
    • ununuzi na Ugavi
    • Uchumi na Uzalishaji
    • Miundombinu
    • Serikali za Mitaa
    • Social Welfare
    • Tehama
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
  • Machapisho
    • Fomu
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
  • Investments
    • Investment One
    • Investment Two
    • Investment Three
    • Investment Four
    • Investment Five
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Matangazo
    • Maktaba ya Picha
    • Sports and Games
    • Hotuba
    • Taarifa Kwa vyombo vya habari
    • Maktaba ya Video

RC MTANDA : TUTAFANIKIWA KUKABILIANA NA DAWA ZA KULEVYA ENDAPO USHIRIKIANO UTAIMARISHWA

Posted on: June 28th, 2024

RC MTANDA : TUTAFANIKIWA KUKABILIANA NA DAWA ZA KULEVYA ENDAPO USHIRIKIANO UTAIMARISHWA

Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. Said Mtanda amesema tutafanikiwa kukabiliana na kuondokana na tatizo la biashara na matumizi ya dawa za kulevya ikiwa tutashirikiana wote kwa pamoja yaani Serikali, mashirika ya kiraia, sekta binafsi na jamii kiujumla kuijenga jamii isiyotumia dawa za kulevya.


Mhe. Mtanda ametoa rai hiyo wakati akiwahutubia wanachi waliohudhuria katika uzinduzi wa maadhimisho ya siku ya Kitaifa ya kupiga vita dawa za kulevya leo Juni28,  2024 katika uwanja wa Nyamagana uliopo Jijini Mwanza.

"Ninaomba tuungane wote katika mapambano dhidi ya dawa za kulevya, tusikubali dawa za kulevya ziharibu jamii yetu, Kwa pamoja tunaweza kulikabili janga hili".Mkuu wa Mkoa

Aidha Mkuu wa Mkoa ameendelea kusema Serikali ya awamu ya sita chini ya Rais shupavu Dkt. Samia imedhamiria kwa dhati kupambana na tatizo la dawa za kulevya kwa nguvu zote, hali hiyo inatokana na utashi wa kisiasa ambapo amesema Serikali inatekeleza kwa vitendo ilani ya uchaguzi wa Chama cha Mapinduzi ya mwaka 2022/2025 ibara ya 245 (a)-(e).

"Ilani imeielekeza Serikali kuchukua hatua za kupambana na uzalishaji, usambazaji, uuzaji, na utumiaji wa dawa za kulevya".Mtanda

Mkuu huyo wa Mkoa amesema maadhimisho hayo yamepangwa kufanyika kuanzia leo Juni 28- 30  2024 lengo ni kutoa fursa kwa wananchi wa Mkoa wa Mwanza na Watanzania kwa pamoja kutafakari, kutambua, na kukabiliana na tatizo hilo ikiwemo jamii kupewa elimu zaidi juu ya athari za dawa za kulevya na namna tiba zinavyotolewa kwa waathirika wa dawa za kulevya.

Maadhimisho ya mwaka 2024 yanaongozwa na kauli mbiu isemayo "Wekeza kwenye Kinga na Tiba Kudhibiti Dawa za Kulevya" ambapo inasisitiza elimu kwa jamii ili iweze kufahamu madhara ya dawa za kulevya na kushirikisha jamii katika kutatua changamoyo zinazotokana na dawa za kulevya.

Latest Announcements

  • Tangazo la kukutana na Mhe. Mkuu wa Mkoa wa Mwanza kwa shida mbalimbali.

    soma zaidi
  • TANGAZO LA NANENANE TAREHE 8.8.2025

    soma zaidi
  • View More

Habari Mpya

  • SIKU 100 ZA RAIS DKT. SAMIA: UKEREWE YAPATA AJIRA 127
  • RC MTANDA AWASILI WILAYANI UKEREWE KWA ZIARA YA KIKAZI
  • MWANZA YAIMARISHA UTETEZI WA WATU WENYE ULEMAVU
  • SERIKALI YAAHIDI KUENDELEA KUTOA USHIRIKIANO KWA WADAU WA SEKTA YA BIASHARA
  • CHOROKO KWENYE RAMANI YA UCHUMI WA TAIFA
  • soma zaidi

Wasiliana Nasi

Prime Minister's Office Regional Administration and Local Government Mkoa wa Mwanza
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, Mkoa wa Mwanza, 2 Regional Drive
S.L.P: 119, Mwanza.
Simu: 028-2501037
Barua Pepe: ras@mwanza.go.tz
Simu ya Mkononi: 028-2501037
Balewa/Machemba Road Street
S.L.P: S.L.P 1333, Mwanza
Simu: +255 28 250 1375
Barua Pepe: cd@mwanzacc.go.tz
Simu ya Mkononi: 0768520195
Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela
S.L.P: S.L.P 735, Mwanza
Simu: + 255 736 200910
Barua Pepe: md@ilemelamc.go.tz
Simu ya Mkononi:
Halmashauri ya Wilaya ya Magu
S.L.P: S.L.P 200, Magu
Simu: 028-2530035/2530003
Barua Pepe: ded@magudc.go.tz
Simu ya Mkononi:

Viunganishi vya Haraka

  • Maswali Yaulizwayo Mara kwa Mara
  • Makusanyo ya Ndani ya Halmashauri za Mkoa wa Mwanza
  • PReM
  • Fomu ya Ugonjwa
  • Opras fomu
  • Miongozo ya mfumo wa bajeti na Mipango
  • FFARS User Guidelines
  • OFISI MTANDAO

Viunganishi Linganishi

  • Tamisemi
  • Utumishi
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Salary Slips Portal
  • Tovuti ya Sekreatarieti ya Ajira Tanzania
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu Tanzania
  • Tovuti ya Ikulu
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Rasmi ya Wananchi
  • Tovuti Kuu ya Takwimu Huria

Social Media

  • Like us on Facebook
  • Follow us on Twitter
  • Find us on Youtube
  • Follow us on Instagram

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.

  • Kanusho
  • Sera ya faragha
  • Maswali ya Mara kwa Mara
  • Ramani ya Tovuti