RC MTANDA,RAS BALANDYA WAFANYA MAZUNGUMZO NA KM UCHUKUZI PROF.KAHYARARA
RC MTANDA,RAS BALANDYA WAFANYA MAZUNGUMZO NA KM UCHUKUZI PROF.KAHRARA
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. Said Mtanda akiwa na Katibu Tawala Mkoa wa Mwanza Bw. Balandya Elikana kwa pamoja wamekutana na kufanya mazungumzo na Katibu Mkuu Wizara ya Uchukuzi Prof. Godius Walter Kahyarara mazungumzo yaliyofanyika katika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Jijini Mwanza leo Februari 19, 2025.


