• barua pepe
  • Maswali ya Mara kwa Mara
  • Wasiliana Nasi
Mwanza Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Prime Minister's Office Regional Administration and Local Government
Mkoa wa Mwanza

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Dira na Mwelekeo
    • Historia ya Mkoa
    • Muundo
  • Wilaya
    • Babati
    • Mbulu
    • Hanang
    • Kiteto
    • Simanjiro
  • Idara
    • Utawala na Rasilimali Watu
    • Planning and Management
    • Fedha na Uhasibu
    • Ukaguzi wa Ndani
    • ununuzi na Ugavi
    • Uchumi na Uzalishaji
    • Miundombinu
    • Serikali za Mitaa
    • Social Welfare
    • Tehama
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
  • Machapisho
    • Fomu
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
  • Investments
    • Investment One
    • Investment Two
    • Investment Three
    • Investment Four
    • Investment Five
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Matangazo
    • Maktaba ya Picha
    • Sports and Games
    • Hotuba
    • Taarifa Kwa vyombo vya habari
    • Maktaba ya Video

RC Mwanza aadhimisha Siku ya Wauguzi Duniani kwa kuhimiza Lishe bora kwa mama na mtoto

Posted on: May 26th, 2022

Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe.Mhandisi Robert Gabriel ameadhimisha siku ya Wauguzi Duniani akiwataka wakina mama wajawazito kuzingatia kanuni zote za afya ili kulinda afya zao na mtoto.


Akiwa mgeni rasmi katika Maadhimisho hayo yaliyofanyika ki-Mkoa kituo cha Afya Buzuruga Wilayani Ilemela Mkoani Mwanza,Mhe Gabriel amesema Afya ya mama na mtoto itaimarika kwa kuzingatia kufika vituoni ambapo huko atapata tiba sahihi na ushauri wa kitaalam.


"Mama zangu nimefurahi kuwaona hapa natambua leo ni siku yenu ya kuja kupata matibabu na maendeleo ya afya zenu,zingatieni sana lishe bora kuepuka Utapiamlo"


Akiwa kituo cha Afya Buzuruga Mkuu huyo wa Mkoa ametembelea  kuona shughuli mbalimbali za Wauguzi na kuwakumbusha kuzingatia viapo vyao katika utendaji wao wa kazi wa kila siku.


Mganga Mkuu wa Mkoa wa Mwanza,Dktr Thomas Rutachunzibwa amesema Wauguzi ndiyo uti wa mgongo katka Sekta ya Afya hivyo amewakumbusha kufanya kazi kwa kuzingatia viapo vyao wakati Serikali ikiendelea kuzifanyia kazi changamoto za mazingira yao ya kazi.

Naye Makamu wa Rais wa Chama cha Wauguzi nchini TANNA, Ibrahim Mgoo ameiomba Serikali kuendelea kuwekeza kwa Wauguzi kwa kuwajengea uwezo ikiwemo kuwaendeleza kitaaluma.

Kwa upande wake Katibu wa Chama cha Wauguzi Mkoa wa Mwanza,Martha Mkinga amesema bado muuguzi mmoja anawahudumia wateja kuanzia 20 hadi 30 badala ya 6 hadi 8 wanaendelea kuamini Serikali itaifanyia kazi changamoto hiyo.

Maadhimisho ya siku ya Wauguzi Duniani Kitaifa yamefanyika  Mei 22 mwaka huu Mkoani Kilimanjaro kauli mbiu yake ikiwa ni WAUGUZI SAUTI INAYOONGOZA WEKEZA KWENYE UUGUZI NA HESHIMU HAKI KULINDA AFYA KWA WOTE.

Latest Announcements

  • Tangazo la kukutana na Mhe. Mkuu wa Mkoa wa Mwanza kwa shida mbalimbali.

    soma zaidi
  • TANGAZO LA NANENANE TAREHE 8.8.2025

    soma zaidi
  • View More

Habari Mpya

  • SIKU 100 ZA RAIS DKT. SAMIA: UKEREWE YAPATA AJIRA 127
  • RC MTANDA AWASILI WILAYANI UKEREWE KWA ZIARA YA KIKAZI
  • MWANZA YAIMARISHA UTETEZI WA WATU WENYE ULEMAVU
  • SERIKALI YAAHIDI KUENDELEA KUTOA USHIRIKIANO KWA WADAU WA SEKTA YA BIASHARA
  • CHOROKO KWENYE RAMANI YA UCHUMI WA TAIFA
  • soma zaidi

Wasiliana Nasi

Prime Minister's Office Regional Administration and Local Government Mkoa wa Mwanza
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, Mkoa wa Mwanza, 2 Regional Drive
S.L.P: 119, Mwanza.
Simu: 028-2501037
Barua Pepe: ras@mwanza.go.tz
Simu ya Mkononi: 028-2501037
Balewa/Machemba Road Street
S.L.P: S.L.P 1333, Mwanza
Simu: +255 28 250 1375
Barua Pepe: cd@mwanzacc.go.tz
Simu ya Mkononi: 0768520195
Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela
S.L.P: S.L.P 735, Mwanza
Simu: + 255 736 200910
Barua Pepe: md@ilemelamc.go.tz
Simu ya Mkononi:
Halmashauri ya Wilaya ya Magu
S.L.P: S.L.P 200, Magu
Simu: 028-2530035/2530003
Barua Pepe: ded@magudc.go.tz
Simu ya Mkononi:

Viunganishi vya Haraka

  • Maswali Yaulizwayo Mara kwa Mara
  • Makusanyo ya Ndani ya Halmashauri za Mkoa wa Mwanza
  • PReM
  • Fomu ya Ugonjwa
  • Opras fomu
  • Miongozo ya mfumo wa bajeti na Mipango
  • FFARS User Guidelines
  • OFISI MTANDAO

Viunganishi Linganishi

  • Tamisemi
  • Utumishi
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Salary Slips Portal
  • Tovuti ya Sekreatarieti ya Ajira Tanzania
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu Tanzania
  • Tovuti ya Ikulu
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Rasmi ya Wananchi
  • Tovuti Kuu ya Takwimu Huria

Social Media

  • Like us on Facebook
  • Follow us on Twitter
  • Find us on Youtube
  • Follow us on Instagram

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.

  • Kanusho
  • Sera ya faragha
  • Maswali ya Mara kwa Mara
  • Ramani ya Tovuti