• barua pepe
  • Maswali ya Mara kwa Mara
  • Wasiliana Nasi
Mwanza Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Prime Minister's Office Regional Administration and Local Government
Mkoa wa Mwanza

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Dira na Mwelekeo
    • Historia ya Mkoa
    • Muundo
  • Wilaya
    • Babati
    • Mbulu
    • Hanang
    • Kiteto
    • Simanjiro
  • Idara
    • Utawala na Rasilimali Watu
    • Planning and Management
    • Fedha na Uhasibu
    • Ukaguzi wa Ndani
    • ununuzi na Ugavi
    • Uchumi na Uzalishaji
    • Miundombinu
    • Serikali za Mitaa
    • Social Welfare
    • Tehama
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
  • Machapisho
    • Fomu
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
  • Investments
    • Investment One
    • Investment Two
    • Investment Three
    • Investment Four
    • Investment Five
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Matangazo
    • Maktaba ya Picha
    • Sports and Games
    • Hotuba
    • Taarifa Kwa vyombo vya habari
    • Maktaba ya Video

RC .Mwanza aongoza Mafunzo Watumishi wa Halmashauri ya Misungwi namna ya utoaji fedha za Mikopo

Posted on: May 13th, 2022

Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe.Mhandisi Robert Gabriel ameongoza mafunzo kwa Watumishi wa Halmashauri ya Misungwi yanayohusu namna ya utoaji na matumizi sahihi ya fedha za  Mikopo ya asilimia kumi zinazotolewa na Halmashauri kwa Makundi maalum.


Zoezi hilo la Mafunzo linafanyika ikiwa ni maelekezo yake aliyotoa Aprili 25 mwaka huu baada ya kutangaza kusimamisha utoaji wa Mikopo hiyo  kutokana na kubainika Halmashauri kufanya ubadhirifu wa fedha wakati wa utoaji wa Mikopo hiyo.


Mafunzo hayo yanayotolewa na timu ya Wataalamu wa masuala ya Miradi na Tathmini,TAKUKURU na Maafisa Maendeleo ya Jamii kutoka ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Mwanza,yamelenga kuwaelimisha sheria na kanuni za namna ya utoaji wa Mikopo hiyo.


Mkuu wa Mkoa Mhandisi Gabriel amesema fedha hizo za Mikopo ipo ndani ya Ilani ya Uchaguzi kuyalenga Makundi maalum kujikwamua na tatizo la ajira.


"Wilaya hii ya Misungwi ni miongoni mwa zilizopata tatizo la ubadhirifu wa utoaji wa Mikopo, fedha iliyorejeshwa hadi sasa ni Milioni 57 bado Bilioni 4.3" amesema Mkuu huyo wa Mkoa.



Kwa upande wake Mkuu wa Dawati la kuzuia rushwa Mkoa wa Mwanza,Stella Bukulu amesema katika uchunguzi wao wamebaini mapungufu mengi kwa Idara zilizohusika na utoaji wa Mikopo hiyo ama kwa kutokujua au uzembe.


Prudence Sempa ambaye ni Mtaalamu wa masuala ya Miradi na Tathmini kutoka Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, amefafanua Sheria kadhaa kwa Vikundi vinavyotaka fedha za Mikopo.


Washiriki wa mafunzo hayo ni Kamati za fedha na mipango,Wakuu wa Idara kutoka Halmashauri ya Misungwi,pamoja na Watendaji kata wote kutoka ndani ya Halmashauri hiyo.

Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe.Mhandisi Robert Gabriel anasimamia mafunzo hayo kwa Halmashauri zote za Mkoa wa Mwanza baada ya kubainika ubadhirifu wa fedha za mikopo za asilimia kumi ambazo zimewalenga Makundi ya Vijana,Wanawake na watu wenye ulemavu..


Latest Announcements

  • Tangazo la kukutana na Mhe. Mkuu wa Mkoa wa Mwanza kwa shida mbalimbali.

    soma zaidi
  • TANGAZO LA NANENANE TAREHE 8.8.2025

    soma zaidi
  • View More

Habari Mpya

  • SIKU 100 ZA RAIS DKT. SAMIA: UKEREWE YAPATA AJIRA 127
  • RC MTANDA AWASILI WILAYANI UKEREWE KWA ZIARA YA KIKAZI
  • MWANZA YAIMARISHA UTETEZI WA WATU WENYE ULEMAVU
  • SERIKALI YAAHIDI KUENDELEA KUTOA USHIRIKIANO KWA WADAU WA SEKTA YA BIASHARA
  • CHOROKO KWENYE RAMANI YA UCHUMI WA TAIFA
  • soma zaidi

Wasiliana Nasi

Prime Minister's Office Regional Administration and Local Government Mkoa wa Mwanza
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, Mkoa wa Mwanza, 2 Regional Drive
S.L.P: 119, Mwanza.
Simu: 028-2501037
Barua Pepe: ras@mwanza.go.tz
Simu ya Mkononi: 028-2501037
Balewa/Machemba Road Street
S.L.P: S.L.P 1333, Mwanza
Simu: +255 28 250 1375
Barua Pepe: cd@mwanzacc.go.tz
Simu ya Mkononi: 0768520195
Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela
S.L.P: S.L.P 735, Mwanza
Simu: + 255 736 200910
Barua Pepe: md@ilemelamc.go.tz
Simu ya Mkononi:
Halmashauri ya Wilaya ya Magu
S.L.P: S.L.P 200, Magu
Simu: 028-2530035/2530003
Barua Pepe: ded@magudc.go.tz
Simu ya Mkononi:

Viunganishi vya Haraka

  • Maswali Yaulizwayo Mara kwa Mara
  • Makusanyo ya Ndani ya Halmashauri za Mkoa wa Mwanza
  • PReM
  • Fomu ya Ugonjwa
  • Opras fomu
  • Miongozo ya mfumo wa bajeti na Mipango
  • FFARS User Guidelines
  • OFISI MTANDAO

Viunganishi Linganishi

  • Tamisemi
  • Utumishi
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Salary Slips Portal
  • Tovuti ya Sekreatarieti ya Ajira Tanzania
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu Tanzania
  • Tovuti ya Ikulu
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Rasmi ya Wananchi
  • Tovuti Kuu ya Takwimu Huria

Social Media

  • Like us on Facebook
  • Follow us on Twitter
  • Find us on Youtube
  • Follow us on Instagram

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.

  • Kanusho
  • Sera ya faragha
  • Maswali ya Mara kwa Mara
  • Ramani ya Tovuti