• barua pepe
  • Maswali ya Mara kwa Mara
  • Wasiliana Nasi
Mwanza Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Prime Minister's Office Regional Administration and Local Government
Mkoa wa Mwanza

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Dira na Mwelekeo
    • Historia ya Mkoa
    • Muundo
  • Wilaya
    • Babati
    • Mbulu
    • Hanang
    • Kiteto
    • Simanjiro
  • Idara
    • Utawala na Rasilimali Watu
    • Planning and Management
    • Fedha na Uhasibu
    • Ukaguzi wa Ndani
    • ununuzi na Ugavi
    • Uchumi na Uzalishaji
    • Miundombinu
    • Serikali za Mitaa
    • Social Welfare
    • Tehama
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
  • Machapisho
    • Fomu
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
  • Investments
    • Investment One
    • Investment Two
    • Investment Three
    • Investment Four
    • Investment Five
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Matangazo
    • Maktaba ya Picha
    • Sports and Games
    • Hotuba
    • Taarifa Kwa vyombo vya habari
    • Maktaba ya Video

RC Mwanza awapiga marufuku Wamachinga waliovamia maeneo awataka kutii Sheria bila Shuruti.

Posted on: April 27th, 2022

Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe Mhandisi Robert Gabriel amesema kuanzia  Aprili 27 2022 Kikundi cha watu wachache Wamachinga waliovamia maeneo ya katikati ya Jiji warejee waliopangiwa tofauti na hapo Sheria itafuata mkondo wake.


Akizungumza na vyombo vya Habari Mkoani Mwanza,Mhandisi Gabriel  amekitaka Kikundi hicho cha watu wakorofi wanaosambaza taarifa potofu na kurejea maeneo yaliyokatazwa waache mara moja na kutii Sheria bila Shuruti.


"Hali imeanza kuwa mbaya katika baadhi ya maeneo kutokana na baadhi ya Wamachinga kufanyabiashara maeneo yasiyo rasmi kiasi cha kuleta usumbufu kwa Wananchi" amesema Mkuu huyo wa Mkoa.


Amesema Kikundi hicho kinapotosha taarifa kuwa Mkoa umeliondoa Jeshi la Akiba siyo kweli bali walioondolewa ni wale wachache waliokiuka taratibu za majukumu yao.


Naye Katibu Mkuu wa Shirikisho la Wamachinga nchini,Venatus Anatory amesema kitendo hicho wamekilaani kwani kisipochukuliwa hatua za Kisheria kitasababisha sura ya miji kuharibika

"Nimekuja Mwanza na kujiridhidha na maeneo rasmi waliyopangiwa Wamachinga,hivyo naunga mkono hatua za Kisheria kwa wale wanaokiuka taratibu hizo" amesema Kiongozi huyo wa Wamachinga.


Mkoa wa Mwanza upo mbioni kujenga Masoko ya kisasa ya Wafanyabiashara wakubwa, wakati na wale wadogo,mpango ambao utakamilika ndani ya miaka michache ijayo.

Latest Announcements

  • Tangazo la kukutana na Mhe. Mkuu wa Mkoa wa Mwanza kwa shida mbalimbali.

    soma zaidi
  • TANGAZO LA NANENANE TAREHE 8.8.2025

    soma zaidi
  • View More

Habari Mpya

  • SIKU 100 ZA RAIS DKT. SAMIA: UKEREWE YAPATA AJIRA 127
  • RC MTANDA AWASILI WILAYANI UKEREWE KWA ZIARA YA KIKAZI
  • MWANZA YAIMARISHA UTETEZI WA WATU WENYE ULEMAVU
  • SERIKALI YAAHIDI KUENDELEA KUTOA USHIRIKIANO KWA WADAU WA SEKTA YA BIASHARA
  • CHOROKO KWENYE RAMANI YA UCHUMI WA TAIFA
  • soma zaidi

Wasiliana Nasi

Prime Minister's Office Regional Administration and Local Government Mkoa wa Mwanza
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, Mkoa wa Mwanza, 2 Regional Drive
S.L.P: 119, Mwanza.
Simu: 028-2501037
Barua Pepe: ras@mwanza.go.tz
Simu ya Mkononi: 028-2501037
Balewa/Machemba Road Street
S.L.P: S.L.P 1333, Mwanza
Simu: +255 28 250 1375
Barua Pepe: cd@mwanzacc.go.tz
Simu ya Mkononi: 0768520195
Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela
S.L.P: S.L.P 735, Mwanza
Simu: + 255 736 200910
Barua Pepe: md@ilemelamc.go.tz
Simu ya Mkononi:
Halmashauri ya Wilaya ya Magu
S.L.P: S.L.P 200, Magu
Simu: 028-2530035/2530003
Barua Pepe: ded@magudc.go.tz
Simu ya Mkononi:

Viunganishi vya Haraka

  • Maswali Yaulizwayo Mara kwa Mara
  • Makusanyo ya Ndani ya Halmashauri za Mkoa wa Mwanza
  • PReM
  • Fomu ya Ugonjwa
  • Opras fomu
  • Miongozo ya mfumo wa bajeti na Mipango
  • FFARS User Guidelines
  • OFISI MTANDAO

Viunganishi Linganishi

  • Tamisemi
  • Utumishi
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Salary Slips Portal
  • Tovuti ya Sekreatarieti ya Ajira Tanzania
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu Tanzania
  • Tovuti ya Ikulu
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Rasmi ya Wananchi
  • Tovuti Kuu ya Takwimu Huria

Social Media

  • Like us on Facebook
  • Follow us on Twitter
  • Find us on Youtube
  • Follow us on Instagram

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.

  • Kanusho
  • Sera ya faragha
  • Maswali ya Mara kwa Mara
  • Ramani ya Tovuti