• barua pepe
  • Maswali ya Mara kwa Mara
  • Wasiliana Nasi
Mwanza Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Prime Minister's Office Regional Administration and Local Government
Mkoa wa Mwanza

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Dira na Mwelekeo
    • Historia ya Mkoa
    • Muundo
  • Wilaya
    • Babati
    • Mbulu
    • Hanang
    • Kiteto
    • Simanjiro
  • Idara
    • Utawala na Rasilimali Watu
    • Planning and Management
    • Fedha na Uhasibu
    • Ukaguzi wa Ndani
    • ununuzi na Ugavi
    • Uchumi na Uzalishaji
    • Miundombinu
    • Serikali za Mitaa
    • Social Welfare
    • Tehama
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
  • Machapisho
    • Fomu
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
  • Investments
    • Investment One
    • Investment Two
    • Investment Three
    • Investment Four
    • Investment Five
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Matangazo
    • Maktaba ya Picha
    • Sports and Games
    • Hotuba
    • Taarifa Kwa vyombo vya habari
    • Maktaba ya Video

Rushwa

Posted on: April 11th, 2022

Mkuu wa Wilaya ya Ilemela Mkoani Mwanza Mhe,Hassan Masala amewataka Walimu na Viongozi wa Skauti wanaoendelea kupata Mafunzo ya kutokomeza rushwa Mkoani humo kutumia nafasi hiyo vyema kuelimisha Jamii ili kujenga vizazi vyenye weledi wa kulijenga Taifa

Mkuu huyo wa Wilaya ametoa kauli hiyo kwa niaba yake na Katibu Tawala wa Wilaya ya Ilemela,Said Kitinga wakati akifunga Mafunzo ya kutokomeza rushwa kwa Walimu walezi na Viongozi wa Skauti  Wilayani humo amewakumbusha Washiriki hao rushwa ni adui wa haki hivyo haina budi kupingwa kwa nguvu zote.


Amesema kwa kutambua mchango wa Walimu katika uelimishaji Jamii huku Vijana nao wakiwa ndiyo nguvu kazi ya Taifa,Makundi hayo yataleta matokeo chanya  kwa Jamii baada ya kupata mafunzo hayo.


Kamanda wa Takukuru Wilaya ya Ilemela,Nobert  Ndika amesema bado Jamii inahitaji elimu ya mara kwa mara kuhusu aina za rushwa na madhara yake.

Mkuu wa Dawati la Uelimishaji kutoka Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na rushwa Wilayani Ilemela,Doreen Ntongani amesema Jamii ikipata uelewa wa kutosha kuhusiana na ubaya wa rushwa ni dhahiri nchi itakuwa na watu wenye kuheshimu majukumu yao bila kuwanyanyasa wengine, huku baadhi ya washiriki wakiipongeza Serikali ya awamu ya sita chini ya Mhe Rai's Samia Suluhu Hassan kwa jitihada zake za kutaka kuwa na Jamii yenye kuishi kistaarabu


Mafunzo hayo ya kutokomeza rushwa yanayofanyika nchi nzima,yalizinduliwa Kitaifa Mkoani Dodoma mwaka Jana na Mhe Rai's Samia Suluhu Hassan na kuendelea ngazi ya Mkoa na Wilaya nchini kote.


Taasisi ya kuzuia na Kupambana na rushwa, Takukuru pamoja na Chama cha Skauti Taifa wamepewa jukumu hilo la kutoa Mafunzo hayo.

Latest Announcements

  • Tangazo la kukutana na Mhe. Mkuu wa Mkoa wa Mwanza kwa shida mbalimbali.

    soma zaidi
  • TANGAZO LA NANENANE TAREHE 8.8.2025

    soma zaidi
  • View More

Habari Mpya

  • SIKU 100 ZA RAIS DKT. SAMIA: UKEREWE YAPATA AJIRA 127
  • RC MTANDA AWASILI WILAYANI UKEREWE KWA ZIARA YA KIKAZI
  • MWANZA YAIMARISHA UTETEZI WA WATU WENYE ULEMAVU
  • SERIKALI YAAHIDI KUENDELEA KUTOA USHIRIKIANO KWA WADAU WA SEKTA YA BIASHARA
  • CHOROKO KWENYE RAMANI YA UCHUMI WA TAIFA
  • soma zaidi

Wasiliana Nasi

Prime Minister's Office Regional Administration and Local Government Mkoa wa Mwanza
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, Mkoa wa Mwanza, 2 Regional Drive
S.L.P: 119, Mwanza.
Simu: 028-2501037
Barua Pepe: ras@mwanza.go.tz
Simu ya Mkononi: 028-2501037
Balewa/Machemba Road Street
S.L.P: S.L.P 1333, Mwanza
Simu: +255 28 250 1375
Barua Pepe: cd@mwanzacc.go.tz
Simu ya Mkononi: 0768520195
Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela
S.L.P: S.L.P 735, Mwanza
Simu: + 255 736 200910
Barua Pepe: md@ilemelamc.go.tz
Simu ya Mkononi:
Halmashauri ya Wilaya ya Magu
S.L.P: S.L.P 200, Magu
Simu: 028-2530035/2530003
Barua Pepe: ded@magudc.go.tz
Simu ya Mkononi:

Viunganishi vya Haraka

  • Maswali Yaulizwayo Mara kwa Mara
  • Makusanyo ya Ndani ya Halmashauri za Mkoa wa Mwanza
  • PReM
  • Fomu ya Ugonjwa
  • Opras fomu
  • Miongozo ya mfumo wa bajeti na Mipango
  • FFARS User Guidelines
  • OFISI MTANDAO

Viunganishi Linganishi

  • Tamisemi
  • Utumishi
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Salary Slips Portal
  • Tovuti ya Sekreatarieti ya Ajira Tanzania
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu Tanzania
  • Tovuti ya Ikulu
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Rasmi ya Wananchi
  • Tovuti Kuu ya Takwimu Huria

Social Media

  • Like us on Facebook
  • Follow us on Twitter
  • Find us on Youtube
  • Follow us on Instagram

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.

  • Kanusho
  • Sera ya faragha
  • Maswali ya Mara kwa Mara
  • Ramani ya Tovuti