• barua pepe
  • Maswali ya Mara kwa Mara
  • Wasiliana Nasi
Mwanza Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Prime Minister's Office Regional Administration and Local Government
Mkoa wa Mwanza

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Dira na Mwelekeo
    • Historia ya Mkoa
    • Muundo
  • Wilaya
    • Babati
    • Mbulu
    • Hanang
    • Kiteto
    • Simanjiro
  • Idara
    • Utawala na Rasilimali Watu
    • Planning and Management
    • Fedha na Uhasibu
    • Ukaguzi wa Ndani
    • ununuzi na Ugavi
    • Uchumi na Uzalishaji
    • Miundombinu
    • Serikali za Mitaa
    • Social Welfare
    • Tehama
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
  • Machapisho
    • Fomu
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
  • Investments
    • Investment One
    • Investment Two
    • Investment Three
    • Investment Four
    • Investment Five
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Matangazo
    • Maktaba ya Picha
    • Sports and Games
    • Hotuba
    • Taarifa Kwa vyombo vya habari
    • Maktaba ya Video

SERIKALI MBIONI KUUNDA BARAZA LA KUWASAIDIA VIJANA KATIKA SANAA:WAZIRI

Posted on: September 26th, 2024

SERIKALI MBIONI KUUNDA BARAZA LA KUWASAIDIA VIJANA KATIKA SANAA:WAZIRI

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu - Kazi Vijana Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Ridhiwani Kikwete amesema Serikali ya Jamuhuri ya muungano wa Tanzania chini ya ofisi yake imejapanga kuunda baraza la vijana ambalo litawasaidia  katika kupunguza  changamoto za ajira na kusaidi katika upatikanaji wa fursa za kiuchumi.

Amesema hayo Septemba 26, 2024 wakati akizungumza na viongozi wa makundi mbali mbali ya Vijana katika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Mwanza kwa lengo la kuwahamasisha Vijana kushiriki katika uchaguzi wa Serikali za mitaa unaotarajia kufanyika Novemba 27, 2024.

Amesema Wizara yake inakwenda kufanya kazi na wizara mbali mbali ili kuhakikisha wanatengeneza fursa za kisanaa kwa vijana ili waweze kuzitangaza na kuzionesha kazi za sanaa zinazofanywa na vijana.

"Baraza hili la vijana litakapoundwa ndiyo litakwenda kuwa mwarobaini kwa vijana katika kuendeleza mambo yao na kupitia vituo tamizi ambavyo vitawekezwa baadhi ya maeneo". Amesema Mhe. Kikwete.

"Tunakwenda kufanya kazi na Wizara ya Michezo, Wizara na Utalii ili kufaidisha kazi za wasanii na kuwasaidia wasanii kuondoka katika wimbi kubwa la umasikini". Amesema Mhe. Kikwete.

Naye Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. Said Mtanda  amesema Ofisi yake inajipanga ili kuweza kuwasikiliza wasanii wa Mkoa huo na kuweka mikakati ya kuiendeleza sanaa yao.

"Nimeisha waelekeza watu wangu hapa wanaosimamia michezo kutengeneza ratiba ya kukaa na makundi  mbali mbali ya wasanii ili Mkuu wa Mkoa aweze kujua na aweze kuwa na mchango katika makundi yenu" Amesema Mhe. Mtanda.

Sambamba na hayo Mhe. Mtanda amewataka Vijana kujitokeza kwa wingi kujiandikisha na  kushiriki katika uchaguzi wa Serikali za mitaa.

Latest Announcements

  • Tangazo la kukutana na Mhe. Mkuu wa Mkoa wa Mwanza kwa shida mbalimbali.

    soma zaidi
  • TANGAZO LA NANENANE TAREHE 8.8.2025

    soma zaidi
  • View More

Habari Mpya

  • SIKU 100 ZA RAIS DKT. SAMIA: UKEREWE YAPATA AJIRA 127
  • RC MTANDA AWASILI WILAYANI UKEREWE KWA ZIARA YA KIKAZI
  • MWANZA YAIMARISHA UTETEZI WA WATU WENYE ULEMAVU
  • SERIKALI YAAHIDI KUENDELEA KUTOA USHIRIKIANO KWA WADAU WA SEKTA YA BIASHARA
  • CHOROKO KWENYE RAMANI YA UCHUMI WA TAIFA
  • soma zaidi

Wasiliana Nasi

Prime Minister's Office Regional Administration and Local Government Mkoa wa Mwanza
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, Mkoa wa Mwanza, 2 Regional Drive
S.L.P: 119, Mwanza.
Simu: 028-2501037
Barua Pepe: ras@mwanza.go.tz
Simu ya Mkononi: 028-2501037
Balewa/Machemba Road Street
S.L.P: S.L.P 1333, Mwanza
Simu: +255 28 250 1375
Barua Pepe: cd@mwanzacc.go.tz
Simu ya Mkononi: 0768520195
Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela
S.L.P: S.L.P 735, Mwanza
Simu: + 255 736 200910
Barua Pepe: md@ilemelamc.go.tz
Simu ya Mkononi:
Halmashauri ya Wilaya ya Magu
S.L.P: S.L.P 200, Magu
Simu: 028-2530035/2530003
Barua Pepe: ded@magudc.go.tz
Simu ya Mkononi:

Viunganishi vya Haraka

  • Maswali Yaulizwayo Mara kwa Mara
  • Makusanyo ya Ndani ya Halmashauri za Mkoa wa Mwanza
  • PReM
  • Fomu ya Ugonjwa
  • Opras fomu
  • Miongozo ya mfumo wa bajeti na Mipango
  • FFARS User Guidelines
  • OFISI MTANDAO

Viunganishi Linganishi

  • Tamisemi
  • Utumishi
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Salary Slips Portal
  • Tovuti ya Sekreatarieti ya Ajira Tanzania
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu Tanzania
  • Tovuti ya Ikulu
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Rasmi ya Wananchi
  • Tovuti Kuu ya Takwimu Huria

Social Media

  • Like us on Facebook
  • Follow us on Twitter
  • Find us on Youtube
  • Follow us on Instagram

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.

  • Kanusho
  • Sera ya faragha
  • Maswali ya Mara kwa Mara
  • Ramani ya Tovuti