• barua pepe
  • Maswali ya Mara kwa Mara
  • Wasiliana Nasi
Mwanza Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Prime Minister's Office Regional Administration and Local Government
Mkoa wa Mwanza

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Dira na Mwelekeo
    • Historia ya Mkoa
    • Muundo
  • Wilaya
    • Babati
    • Mbulu
    • Hanang
    • Kiteto
    • Simanjiro
  • Idara
    • Utawala na Rasilimali Watu
    • Planning and Management
    • Fedha na Uhasibu
    • Ukaguzi wa Ndani
    • ununuzi na Ugavi
    • Uchumi na Uzalishaji
    • Miundombinu
    • Serikali za Mitaa
    • Social Welfare
    • Tehama
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
  • Machapisho
    • Fomu
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
  • Investments
    • Investment One
    • Investment Two
    • Investment Three
    • Investment Four
    • Investment Five
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Matangazo
    • Maktaba ya Picha
    • Sports and Games
    • Hotuba
    • Taarifa Kwa vyombo vya habari
    • Maktaba ya Video

Serikali yaipongeza Hospitali ya Sekou Toure kwa huduma bora

Posted on: July 4th, 2022

Serikali imetoa pongezi kwa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa ya Sekou Toure kwa uboreshaji wa huduma na ameagiza hali hiyo iwe endelevu kwa faida ya Wananchi.

Naibu Waziri wa Afya Dkt Godwin Mollei leo amefanya ziara fupi Hospitalini hapo Kwa kutembelea jengo jipya la huduma za Mama na Mtoto na kufanya kikao na Watumishi wake.

Amesema kumekuwa na mabadiliko chanya siku hadi siku wakati Serikali ikiendelea kufanya maboresho kwenye kila sehemu yenye uhitaji.

"Nimekuwa nikiifuatilia Hospitali  hii nasema wazi kabisa mmebadilika na hongereni sana, hali hii inamtia moyo hata Rais wetu Mhe Samia Suluhu Hassan ambaye amekuwa mstari wa mbele kupigania Maendeleo ya Taifa letu" amesema Mhe Mollel.

Aidha Mhe Mollel amezipongeza asasi zisizo za Kiserikali zinazofanya kazi chini ya Wizara ya Afya ambazo zimekuwa chachu ya Maendeleo katika Sekta ya Afya nchini.

Kwa upande wake Mganga Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Dkt Thomas Rutachunzibwa amesema wadau wa Maendeleo Mkoani humo wamekuwa nguzo muhimu katika Miradi ya Afya hasa sehemu za vijijini na kufanya huduma hiyo kuwa rahisi kwa kutoa elimu na tiba.

Mkurugenzi kutoka Shirika la Americares wanaojihusisha na Mradi wa Uzazi Staha, John Fulli amesema kwa kutambua umuhimu wa Sekta ya Afya wataendelea  kushirikiana na Serikali ili kufikia malengo yaliyokusidiwa.

Naibu Waziri Dktr Godwin Mollel yupo Mkoani Mwanza kwa ziara ya kukagua Miradi ya Sekta ya Afya na kuzungumza na Watumishi wake.

Latest Announcements

  • Tangazo la kukutana na Mhe. Mkuu wa Mkoa wa Mwanza kwa shida mbalimbali.

    soma zaidi
  • TANGAZO LA NANENANE TAREHE 8.8.2025

    soma zaidi
  • View More

Habari Mpya

  • SIKU 100 ZA RAIS DKT. SAMIA: UKEREWE YAPATA AJIRA 127
  • RC MTANDA AWASILI WILAYANI UKEREWE KWA ZIARA YA KIKAZI
  • MWANZA YAIMARISHA UTETEZI WA WATU WENYE ULEMAVU
  • SERIKALI YAAHIDI KUENDELEA KUTOA USHIRIKIANO KWA WADAU WA SEKTA YA BIASHARA
  • CHOROKO KWENYE RAMANI YA UCHUMI WA TAIFA
  • soma zaidi

Wasiliana Nasi

Prime Minister's Office Regional Administration and Local Government Mkoa wa Mwanza
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, Mkoa wa Mwanza, 2 Regional Drive
S.L.P: 119, Mwanza.
Simu: 028-2501037
Barua Pepe: ras@mwanza.go.tz
Simu ya Mkononi: 028-2501037
Balewa/Machemba Road Street
S.L.P: S.L.P 1333, Mwanza
Simu: +255 28 250 1375
Barua Pepe: cd@mwanzacc.go.tz
Simu ya Mkononi: 0768520195
Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela
S.L.P: S.L.P 735, Mwanza
Simu: + 255 736 200910
Barua Pepe: md@ilemelamc.go.tz
Simu ya Mkononi:
Halmashauri ya Wilaya ya Magu
S.L.P: S.L.P 200, Magu
Simu: 028-2530035/2530003
Barua Pepe: ded@magudc.go.tz
Simu ya Mkononi:

Viunganishi vya Haraka

  • Maswali Yaulizwayo Mara kwa Mara
  • Makusanyo ya Ndani ya Halmashauri za Mkoa wa Mwanza
  • PReM
  • Fomu ya Ugonjwa
  • Opras fomu
  • Miongozo ya mfumo wa bajeti na Mipango
  • FFARS User Guidelines
  • OFISI MTANDAO

Viunganishi Linganishi

  • Tamisemi
  • Utumishi
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Salary Slips Portal
  • Tovuti ya Sekreatarieti ya Ajira Tanzania
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu Tanzania
  • Tovuti ya Ikulu
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Rasmi ya Wananchi
  • Tovuti Kuu ya Takwimu Huria

Social Media

  • Like us on Facebook
  • Follow us on Twitter
  • Find us on Youtube
  • Follow us on Instagram

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.

  • Kanusho
  • Sera ya faragha
  • Maswali ya Mara kwa Mara
  • Ramani ya Tovuti