• barua pepe
  • Maswali ya Mara kwa Mara
  • Wasiliana Nasi
Mwanza Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Prime Minister's Office Regional Administration and Local Government
Mkoa wa Mwanza

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Dira na Mwelekeo
    • Historia ya Mkoa
    • Muundo
  • Wilaya
    • Babati
    • Mbulu
    • Hanang
    • Kiteto
    • Simanjiro
  • Idara
    • Utawala na Rasilimali Watu
    • Planning and Management
    • Fedha na Uhasibu
    • Ukaguzi wa Ndani
    • ununuzi na Ugavi
    • Uchumi na Uzalishaji
    • Miundombinu
    • Serikali za Mitaa
    • Social Welfare
    • Tehama
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
  • Machapisho
    • Fomu
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
  • Investments
    • Investment One
    • Investment Two
    • Investment Three
    • Investment Four
    • Investment Five
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Matangazo
    • Maktaba ya Picha
    • Sports and Games
    • Hotuba
    • Taarifa Kwa vyombo vya habari
    • Maktaba ya Video

Serikali yatoa vitabu 38,891 Shule za Msingi Ukerewe

Posted on: August 7th, 2018

Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe.John Mongella amekabidhi vitabu 38,891 vya darasa la nne kwa shule zote za msingi Wilayani Ukerewe.

Akiongea katika makabidhiano hayo Mhe.Mongella amesema Ofisi ya Rais TAMISEMI imeendelea kutilia mkazo juu ya elimu na kuona umuhimu wa kuhakikisha wanafunzi wote wanapata elimu stahiki na kutoa vitabu kwa wanafunzi wa darasa la nne kwa shule zote Mkoa wa Mwanza.

"Vitabu vilivyotolewa ni 6,482 kwa kila somo kwa masomo ya Hisabati,Kiinhereza,Kiswahili, Uraia na Maadili,Sayansi na Teknolojia na Maarifa ya Jamii hii inapelekea jumla ya vitabu 38,891,"alisema Mongella.

Kwa upande wake Afisa Elimu Msingi Ukerewe Mwl.Reginald Peter Richard akizungumzia hali ya elimu  katika Wilaya hiyo amesema hali inaenda inabadirika kutoka walipokuwa kwani mwaka 2017 walifaulu kwa 52.7% lakini kwa mwaka 2018 kwa matokeo ya Mock yaliyotoka mwezi huu mwanzoni wamepanda kwa 61.5%.

"Malengo yetu ya Wilaya  ni kufikia asilimia 80 na tumeishajipanga na tutafikia aailimia hizo kwani kwa kila shule sasa hivi tumeweka kambi kulingana na jografia kikata na kuunganisha shule 3

kama mikakati ya kuboresha  na kuonfoa daraja "D" na "E" na kufaulu kwa A B C na lazma tutafikia huko,"alisema Mwl.Reginald.

Naye Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Ukerewe Bw.Frank S.Bahati ameishukuru Serikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia kwa Rais wake Mhe. Dkt.John Magufuli kwa kuliana hili na kuwaletea vitabu ili kupunguza tatizo la upungufu  wa vitabu katika Shule za Msingi.

"Sisi kama Wilaya tunaahidi kuvitunza vitabu hivi na kuvitumia kwa malengo tarajiwa ili kuinua kiwango cha ufaulu katika Wilaya yetu,"alisema Bahati.

Latest Announcements

  • Tangazo la kukutana na Mhe. Mkuu wa Mkoa wa Mwanza kwa shida mbalimbali.

    soma zaidi
  • TANGAZO LA NANENANE TAREHE 8.8.2025

    soma zaidi
  • View More

Habari Mpya

  • SIKU 100 ZA RAIS DKT. SAMIA: UKEREWE YAPATA AJIRA 127
  • RC MTANDA AWASILI WILAYANI UKEREWE KWA ZIARA YA KIKAZI
  • MWANZA YAIMARISHA UTETEZI WA WATU WENYE ULEMAVU
  • SERIKALI YAAHIDI KUENDELEA KUTOA USHIRIKIANO KWA WADAU WA SEKTA YA BIASHARA
  • CHOROKO KWENYE RAMANI YA UCHUMI WA TAIFA
  • soma zaidi

Wasiliana Nasi

Prime Minister's Office Regional Administration and Local Government Mkoa wa Mwanza
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, Mkoa wa Mwanza, 2 Regional Drive
S.L.P: 119, Mwanza.
Simu: 028-2501037
Barua Pepe: ras@mwanza.go.tz
Simu ya Mkononi: 028-2501037
Balewa/Machemba Road Street
S.L.P: S.L.P 1333, Mwanza
Simu: +255 28 250 1375
Barua Pepe: cd@mwanzacc.go.tz
Simu ya Mkononi: 0768520195
Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela
S.L.P: S.L.P 735, Mwanza
Simu: + 255 736 200910
Barua Pepe: md@ilemelamc.go.tz
Simu ya Mkononi:
Halmashauri ya Wilaya ya Magu
S.L.P: S.L.P 200, Magu
Simu: 028-2530035/2530003
Barua Pepe: ded@magudc.go.tz
Simu ya Mkononi:

Viunganishi vya Haraka

  • Maswali Yaulizwayo Mara kwa Mara
  • Makusanyo ya Ndani ya Halmashauri za Mkoa wa Mwanza
  • PReM
  • Fomu ya Ugonjwa
  • Opras fomu
  • Miongozo ya mfumo wa bajeti na Mipango
  • FFARS User Guidelines
  • OFISI MTANDAO

Viunganishi Linganishi

  • Tamisemi
  • Utumishi
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Salary Slips Portal
  • Tovuti ya Sekreatarieti ya Ajira Tanzania
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu Tanzania
  • Tovuti ya Ikulu
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Rasmi ya Wananchi
  • Tovuti Kuu ya Takwimu Huria

Social Media

  • Like us on Facebook
  • Follow us on Twitter
  • Find us on Youtube
  • Follow us on Instagram

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.

  • Kanusho
  • Sera ya faragha
  • Maswali ya Mara kwa Mara
  • Ramani ya Tovuti