• barua pepe
  • Maswali ya Mara kwa Mara
  • Wasiliana Nasi
Mwanza Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Prime Minister's Office Regional Administration and Local Government
Mkoa wa Mwanza

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Dira na Mwelekeo
    • Historia ya Mkoa
    • Muundo
  • Wilaya
    • Babati
    • Mbulu
    • Hanang
    • Kiteto
    • Simanjiro
  • Idara
    • Utawala na Rasilimali Watu
    • Planning and Management
    • Fedha na Uhasibu
    • Ukaguzi wa Ndani
    • ununuzi na Ugavi
    • Uchumi na Uzalishaji
    • Miundombinu
    • Serikali za Mitaa
    • Social Welfare
    • Tehama
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
  • Machapisho
    • Fomu
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
  • Investments
    • Investment One
    • Investment Two
    • Investment Three
    • Investment Four
    • Investment Five
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Matangazo
    • Maktaba ya Picha
    • Sports and Games
    • Hotuba
    • Taarifa Kwa vyombo vya habari
    • Maktaba ya Video

Taasisi za Bima zaaswa kujikita maeneo ya vijijini

Posted on: September 26th, 2019

Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, John Mongella  ameziagiza taasisizinazojihusisha na masuala ya  bima nchini kujikita zaidi maeneo yavijijini kutoa elimu badala ya kupigana vikumbo  mjini  wakigombaniawateja ambako  wananchi wana uelewa na kipato cha kujitibu mudawowote.

Agizo hilo alilitoa jana  wakati wa ufunguzi wa maonyesho ya bimayanayofanyika kitaifa mkoani Mwanza katika viwanja vya  jengo labiashara la kimataifa la Rocky City Mall ambapo alisema anashangazwa kuonataasisi za bina zikiendelea  kupambana katikati ya mjini wakativijijini kuna uhitaji mkubwa.

"Kama tunavyojua sekta ya bima ni sekta nyeti, muhimu na ina mchangokwenye uchumi wa taifa,  ninatambua kuwa taasisihizi  zinafanya kazi kubwa  kwa ni  bima yenyeweina faida nyingi sana kwa sababu ili biashara na shughuli zote za uzalishajimali ziwe na uhakika wa usalama kimsingi zinatakiwa kukatiwa bima.

"Hivyo niwaombe  endeleeni  kutoa elimu kwa watu wamakundi yote kwani kuna baadhi yao  bado wanamini na wanaichukuliabima kama gharama na  kusahau  kuwa unapokuwa na bimaunakuwa kwenye mikono salama.

"Labda tu niwakumbushe wananchi wa Mwanza na Tanzania kwa ujumla bimani gharama ila unapokuwa nayo  unakuwa na amani muda wote, hatalikitokea janga au ajali yeyote kwenye biashara, vyombo vya usafiri na hatakwenye nyumba yako hautahangaika sana.

"Lakini pia kuna changamoto moja taasisi hizi za bima nanyimmerundikana mjini, ofisi zenu zipo Dar es salaam huku mikoani haumpo, ilimuwafikie wananchi wengi zaidi basi mjitahidi kuwekeza nguvunyingi  maeneo ya vijijini, mkifanya hivyo elimu ya bima itaenea nchinzima na itakuwa na msaada kwa watu wote," alisema Mongella.

Mongela alisema  ni ukweliusiopingika  juhudi  za elimu kwa bima zinaonyesha matundayake katikati ya mijini ispokuwa vijijini  ambapoalisisitiza  wakuu wa taasisi  hizo kubadili mwelekeo nakuifuata jamii inapoishi.

Alisema kama mkuu wa mkoa amekuwa akitembelea vijiji  na kuonahalisi ya jamii kutokuwa na elimu ya bima na wanapoelezwa wanaonyesha kuwa nauhitaji, hivyo  ni wakati muafaka taasisi hizo kutambua asilimia 80ya watanzania wapo vijijini  na kusisitiza kuwa lengo la Serikali nikufikia asilimia 50 kila mtanzania kuwa na bima ifikapo 2028.

Kwa Upande wake Rais wa Taasisi za Bima Tanzania (TIRA), James Bosco alisemakuwa ameguswa na maneno ya Mongela na kuahidi kwamba kuanzia sasa ataelekezanguvu kubwa  ikiwa lengo ni kuhakikisha wanaifikisha elimu ya bimakwa kila mtanzania.

"Kuwa na  bima ni kitu muhimu kwenye maendeleo ya uchumi wataifa lakini tumegundua kuwa katika pato la taifa bima bado haina mchangomkubwa, sasa ni wajibu wetu tulio ndani ya bima kutoa elimu ili watu wengizaidi waweze kuelewa shughuli zetu.

"Pamoja na kuyatumia maonyesho haya pia tunaahidi tutayafikia maeneoyote nchini ikiwamo vijijini ambavyo  kwa kiasifulani  hatujawahi kuonekana,  hapa Mwanza tunatambua kuwakuna wavuvi na wakulima wengi hivyo watu kama hao wasijihisi kama bima haiwahusubali wanatakiwa wakate bima ili yanapotokea majanga yasiyotarajiwa na kupotezamali zao wasije wakaanza upya," alisema Bosco.

Kwa upande wake Kamishina wa Bima Tanzania, Musa Juma alieleza kuwa hadisasa asilimia 34 tu ya Watanzania ndio wenye uelewa na bima hivyo wao kamataasisi za bima wanaendelea kutumia njia mbadala hasa mitandao ya kijamii naujumbe wa simu ili kuongeza uelewa zaidi kuhusu bima nchini.

Latest Announcements

  • Tangazo la kukutana na Mhe. Mkuu wa Mkoa wa Mwanza kwa shida mbalimbali.

    soma zaidi
  • TANGAZO LA NANENANE TAREHE 8.8.2025

    soma zaidi
  • View More

Habari Mpya

  • SIKU 100 ZA RAIS DKT. SAMIA: UKEREWE YAPATA AJIRA 127
  • RC MTANDA AWASILI WILAYANI UKEREWE KWA ZIARA YA KIKAZI
  • MWANZA YAIMARISHA UTETEZI WA WATU WENYE ULEMAVU
  • SERIKALI YAAHIDI KUENDELEA KUTOA USHIRIKIANO KWA WADAU WA SEKTA YA BIASHARA
  • CHOROKO KWENYE RAMANI YA UCHUMI WA TAIFA
  • soma zaidi

Wasiliana Nasi

Prime Minister's Office Regional Administration and Local Government Mkoa wa Mwanza
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, Mkoa wa Mwanza, 2 Regional Drive
S.L.P: 119, Mwanza.
Simu: 028-2501037
Barua Pepe: ras@mwanza.go.tz
Simu ya Mkononi: 028-2501037
Balewa/Machemba Road Street
S.L.P: S.L.P 1333, Mwanza
Simu: +255 28 250 1375
Barua Pepe: cd@mwanzacc.go.tz
Simu ya Mkononi: 0768520195
Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela
S.L.P: S.L.P 735, Mwanza
Simu: + 255 736 200910
Barua Pepe: md@ilemelamc.go.tz
Simu ya Mkononi:
Halmashauri ya Wilaya ya Magu
S.L.P: S.L.P 200, Magu
Simu: 028-2530035/2530003
Barua Pepe: ded@magudc.go.tz
Simu ya Mkononi:

Viunganishi vya Haraka

  • Maswali Yaulizwayo Mara kwa Mara
  • Makusanyo ya Ndani ya Halmashauri za Mkoa wa Mwanza
  • PReM
  • Fomu ya Ugonjwa
  • Opras fomu
  • Miongozo ya mfumo wa bajeti na Mipango
  • FFARS User Guidelines
  • OFISI MTANDAO

Viunganishi Linganishi

  • Tamisemi
  • Utumishi
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Salary Slips Portal
  • Tovuti ya Sekreatarieti ya Ajira Tanzania
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu Tanzania
  • Tovuti ya Ikulu
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Rasmi ya Wananchi
  • Tovuti Kuu ya Takwimu Huria

Social Media

  • Like us on Facebook
  • Follow us on Twitter
  • Find us on Youtube
  • Follow us on Instagram

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.

  • Kanusho
  • Sera ya faragha
  • Maswali ya Mara kwa Mara
  • Ramani ya Tovuti