• barua pepe
  • Maswali ya Mara kwa Mara
  • Wasiliana Nasi
Mwanza Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Prime Minister's Office Regional Administration and Local Government
Mkoa wa Mwanza

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Dira na Mwelekeo
    • Historia ya Mkoa
    • Muundo
  • Wilaya
    • Babati
    • Mbulu
    • Hanang
    • Kiteto
    • Simanjiro
  • Idara
    • Utawala na Rasilimali Watu
    • Planning and Management
    • Fedha na Uhasibu
    • Ukaguzi wa Ndani
    • ununuzi na Ugavi
    • Uchumi na Uzalishaji
    • Miundombinu
    • Serikali za Mitaa
    • Social Welfare
    • Tehama
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
  • Machapisho
    • Fomu
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
  • Investments
    • Investment One
    • Investment Two
    • Investment Three
    • Investment Four
    • Investment Five
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Matangazo
    • Maktaba ya Picha
    • Sports and Games
    • Hotuba
    • Taarifa Kwa vyombo vya habari
    • Maktaba ya Video

Taasisis ya Mkapa Yawajengea uwezo Wahudumu wa Afya

Posted on: June 25th, 2018

Taasisi ya Benjamini  Mkapa  kwa kushirikiana na Serikali imeahidi kuendelea  kutoa huduma za afya, kujenga vyumba vya upasuaji na kujenga nyumba za watumishi wa afya katika maeneo mbalimbali nchini   ili kuboresha mifumo na huduma bora za afya kwa jamii.

Akiongea katika warsha ya ufunguzi wa mafunzo ya kuwajengea uwezo wahudumu wa afya  ngazi ya jamii yatakayodumu kwa siku mbili jijini mwanza, Afisa sera na uraghabishi Bi. Christina Godfrey alisema, mafunzo hayo yatawawezesha wahudumu hao kufanya kazi kwa ufanisi na kuleta matokeo tarajia katika jamii.

“ Matarajio ya mafunzo haya ni kutoka na mkakati utakao wahusisha viongozi wa jamii,namna ya kutatua changamoto zitakazo ibuka baada ya kuwaweka wahudumu katika ngazi ya jamii na njia watakazo tumia katika kutatua changamoto hizo katika halmashauri zao” alisema Godfrey.

Naye Mratibu wa huduma za afya ngazi ya jamii Dokta Shaba Kelasi alisema kuwa mafunzo hayo yanatolewa kwa muda wa mwaka mmoja ili kuwajengea uwezo wahudumu wa afya kutoa huduma hizo katika vipengele tofauti tofauti kama programu ya mama na mtoto ,ukusanyaji taarifa, ukimwi, lishe,uzazi wa mpango, takwimu na magonjwa ya mlipuko kwa wakati mmoja.

“ Mafunzo haya yanatolewa kwa mwaka mmoja kwa lengo la kuwawezesha wahudumu wa afya ili kuwabadilisha wale wahudumu wa afya ngazi ya jamii ambao walikuwa wakifundishwa kwa muda mfupi ili wawe na uwezo mkubwa wa kutoa huduma za jamii ukilinganisha na wale wanaosoma programu husika” alisema Kelasi.

Akimuwakilisha Mganga mkuu wa Mkoa wa Mwanza Thomas Rutachunzibwa, Dokta Sailas Wambura alisema, mafunzo hayo yatasaidia kupunguza ongezeko la maambukizi ya virusi vya Ukimwi na vifo vya mama na mtoto suala ambalo limekuwa changamoto kwa Mkoa wa Mwanza.

 

Latest Announcements

  • Tangazo la kukutana na Mhe. Mkuu wa Mkoa wa Mwanza kwa shida mbalimbali.

    soma zaidi
  • TANGAZO LA NANENANE TAREHE 8.8.2025

    soma zaidi
  • View More

Habari Mpya

  • SIKU 100 ZA RAIS DKT. SAMIA: UKEREWE YAPATA AJIRA 127
  • RC MTANDA AWASILI WILAYANI UKEREWE KWA ZIARA YA KIKAZI
  • MWANZA YAIMARISHA UTETEZI WA WATU WENYE ULEMAVU
  • SERIKALI YAAHIDI KUENDELEA KUTOA USHIRIKIANO KWA WADAU WA SEKTA YA BIASHARA
  • CHOROKO KWENYE RAMANI YA UCHUMI WA TAIFA
  • soma zaidi

Wasiliana Nasi

Prime Minister's Office Regional Administration and Local Government Mkoa wa Mwanza
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, Mkoa wa Mwanza, 2 Regional Drive
S.L.P: 119, Mwanza.
Simu: 028-2501037
Barua Pepe: ras@mwanza.go.tz
Simu ya Mkononi: 028-2501037
Balewa/Machemba Road Street
S.L.P: S.L.P 1333, Mwanza
Simu: +255 28 250 1375
Barua Pepe: cd@mwanzacc.go.tz
Simu ya Mkononi: 0768520195
Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela
S.L.P: S.L.P 735, Mwanza
Simu: + 255 736 200910
Barua Pepe: md@ilemelamc.go.tz
Simu ya Mkononi:
Halmashauri ya Wilaya ya Magu
S.L.P: S.L.P 200, Magu
Simu: 028-2530035/2530003
Barua Pepe: ded@magudc.go.tz
Simu ya Mkononi:

Viunganishi vya Haraka

  • Maswali Yaulizwayo Mara kwa Mara
  • Makusanyo ya Ndani ya Halmashauri za Mkoa wa Mwanza
  • PReM
  • Fomu ya Ugonjwa
  • Opras fomu
  • Miongozo ya mfumo wa bajeti na Mipango
  • FFARS User Guidelines
  • OFISI MTANDAO

Viunganishi Linganishi

  • Tamisemi
  • Utumishi
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Salary Slips Portal
  • Tovuti ya Sekreatarieti ya Ajira Tanzania
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu Tanzania
  • Tovuti ya Ikulu
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Rasmi ya Wananchi
  • Tovuti Kuu ya Takwimu Huria

Social Media

  • Like us on Facebook
  • Follow us on Twitter
  • Find us on Youtube
  • Follow us on Instagram

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.

  • Kanusho
  • Sera ya faragha
  • Maswali ya Mara kwa Mara
  • Ramani ya Tovuti