Tamasha la Urithi wetu lafanyika Mwanza Kitaifa
Tamashsha la Urthi festival Kitaifa litafanyika Mkoa wa Mwanza kuanzia tarehe 31.10 hadi tarehe 2.11.2019.Mgeni Rasmi anatarajiwa kuwa Mhe.Kassim Majaliwa Majaliwa (Mb)Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.