• barua pepe
  • Maswali ya Mara kwa Mara
  • Wasiliana Nasi
Mwanza Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Prime Minister's Office Regional Administration and Local Government
Mkoa wa Mwanza

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Dira na Mwelekeo
    • Historia ya Mkoa
    • Muundo
  • Wilaya
    • Babati
    • Mbulu
    • Hanang
    • Kiteto
    • Simanjiro
  • Idara
    • Utawala na Rasilimali Watu
    • Planning and Management
    • Fedha na Uhasibu
    • Ukaguzi wa Ndani
    • ununuzi na Ugavi
    • Uchumi na Uzalishaji
    • Miundombinu
    • Serikali za Mitaa
    • Social Welfare
    • Tehama
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
  • Machapisho
    • Fomu
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
  • Investments
    • Investment One
    • Investment Two
    • Investment Three
    • Investment Four
    • Investment Five
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Matangazo
    • Maktaba ya Picha
    • Sports and Games
    • Hotuba
    • Taarifa Kwa vyombo vya habari
    • Maktaba ya Video

TUMESHINDA LAKINI BADO SIJARIDHISHWA NA KIWANGO DIMBANI:RC MTANDA

Posted on: April 13th, 2024

TUMESHINDA LAKINI BADO SIJARIDHISHWA NA KIWANGO DIMBANI:RC MTANDA


Ushindi wa bao 1-0 waliopata Pamba Jiji FC leo hii dhidi ya Fountain Gate haujamridhisha Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe.Said Mtanda na kuwataka wachezaji na dawati la ufundi kuongeza nguvu ya ziada kabla ya michezo miwili ya ugenini ya kuhitimisha ligi ya Championship.

Akizungumza na wachezaji hao mara baada ya mpambano huo uliopigwa kwenye uwanja mkongwe wa Nyamagana,Mkuu huyo wa Mkoa amesema michezo miwili iliyobaki ni migumu na inahitaji kazi ya ziada ya kujituma ili kutimiza lengo la kupanda ligi kuu msimu ujao.

"Hongereni kwa ushindi lakini ukweli hamkuonesha kiwango nilichokitarajia haiwezekani mnapata nafasi mara tatu za wazi tunashindwa kuzitumia,"Mkuu wa Mkoa.

Mhe.Mtanda amewakabidhi wachezaji hao shs milioni kumi na laki nne ukiwa ni muendelezo wa kuwapa motisha katika kila mchezo wanaoibuka na ushindi.

"Kocha Makatta tafadhali sana kaa na wachezaji wako kasoro zote za kiufundi mzifanyie kazi,wana Mwanza hawatatuelewa tumefanya vizuri karibu michezo yote halafu tunashindwa miwili iliyobaki,"amesisitiza Mhe.Mtanda

Nahodha wa timu hiyo Roland Msonjo akizungumza kwa niaba ya wenzake mara baada ya kukabidhiwa kitita hicho cha fedha amemuhaidi Mkuu wa Mkoa wataongeza bidii na kushinda michezo ya ugenini.

Bao pekee la Pamba Jiji FC limefungwa na mchezaji Suma Ally na kuifikishia timu hiyo pointi  61 ikiwa nafasi ya pili katika msimamo wa ligi ya Championship.

Latest Announcements

  • Tangazo la kukutana na Mhe. Mkuu wa Mkoa wa Mwanza kwa shida mbalimbali.

    soma zaidi
  • TANGAZO LA NANENANE TAREHE 8.8.2025

    soma zaidi
  • View More

Habari Mpya

  • SIKU 100 ZA RAIS DKT. SAMIA: UKEREWE YAPATA AJIRA 127
  • RC MTANDA AWASILI WILAYANI UKEREWE KWA ZIARA YA KIKAZI
  • MWANZA YAIMARISHA UTETEZI WA WATU WENYE ULEMAVU
  • SERIKALI YAAHIDI KUENDELEA KUTOA USHIRIKIANO KWA WADAU WA SEKTA YA BIASHARA
  • CHOROKO KWENYE RAMANI YA UCHUMI WA TAIFA
  • soma zaidi

Wasiliana Nasi

Prime Minister's Office Regional Administration and Local Government Mkoa wa Mwanza
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, Mkoa wa Mwanza, 2 Regional Drive
S.L.P: 119, Mwanza.
Simu: 028-2501037
Barua Pepe: ras@mwanza.go.tz
Simu ya Mkononi: 028-2501037
Balewa/Machemba Road Street
S.L.P: S.L.P 1333, Mwanza
Simu: +255 28 250 1375
Barua Pepe: cd@mwanzacc.go.tz
Simu ya Mkononi: 0768520195
Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela
S.L.P: S.L.P 735, Mwanza
Simu: + 255 736 200910
Barua Pepe: md@ilemelamc.go.tz
Simu ya Mkononi:
Halmashauri ya Wilaya ya Magu
S.L.P: S.L.P 200, Magu
Simu: 028-2530035/2530003
Barua Pepe: ded@magudc.go.tz
Simu ya Mkononi:

Viunganishi vya Haraka

  • Maswali Yaulizwayo Mara kwa Mara
  • Makusanyo ya Ndani ya Halmashauri za Mkoa wa Mwanza
  • PReM
  • Fomu ya Ugonjwa
  • Opras fomu
  • Miongozo ya mfumo wa bajeti na Mipango
  • FFARS User Guidelines
  • OFISI MTANDAO

Viunganishi Linganishi

  • Tamisemi
  • Utumishi
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Salary Slips Portal
  • Tovuti ya Sekreatarieti ya Ajira Tanzania
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu Tanzania
  • Tovuti ya Ikulu
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Rasmi ya Wananchi
  • Tovuti Kuu ya Takwimu Huria

Social Media

  • Like us on Facebook
  • Follow us on Twitter
  • Find us on Youtube
  • Follow us on Instagram

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.

  • Kanusho
  • Sera ya faragha
  • Maswali ya Mara kwa Mara
  • Ramani ya Tovuti