• barua pepe
  • Maswali ya Mara kwa Mara
  • Wasiliana Nasi
Mwanza Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Prime Minister's Office Regional Administration and Local Government
Mkoa wa Mwanza

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Dira na Mwelekeo
    • Historia ya Mkoa
    • Muundo
  • Wilaya
    • Babati
    • Mbulu
    • Hanang
    • Kiteto
    • Simanjiro
  • Idara
    • Utawala na Rasilimali Watu
    • Planning and Management
    • Fedha na Uhasibu
    • Ukaguzi wa Ndani
    • ununuzi na Ugavi
    • Uchumi na Uzalishaji
    • Miundombinu
    • Serikali za Mitaa
    • Social Welfare
    • Tehama
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
  • Machapisho
    • Fomu
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
  • Investments
    • Investment One
    • Investment Two
    • Investment Three
    • Investment Four
    • Investment Five
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Matangazo
    • Maktaba ya Picha
    • Sports and Games
    • Hotuba
    • Taarifa Kwa vyombo vya habari
    • Maktaba ya Video

Viongozi wa Umma watakiwa kutekeleza kwa wakati maagizo kutoka Tume ya Utumishi wa Umma

Posted on: May 16th, 2023

*Viongozi wanaosimamia mamlaka za nidhamu watakiwa kutekeleza maagizo kutoka Tume ya Utumishi wa Umma*


Katibu Tawala wa Mkoa wa Mwanza Ndg.Balandya Elikana amewataka viongozi wanaosimamia mamlaka za nidhamu kutekeleza kwa wakati maagizo kutoka Tume ya Utumishi wa Umma ili kuepuka migogoro isiyo ya lazima.

Akifungua kikao kazi leo kwenye ukumbi wa Rock City Mall kilichowahusisha viongozi na watendajii wa Mamlaka za Serikali za Mitaa, Elikana amesema wapo baadhi ya viongozi wamekuwa wakichangia uwepo wa migogoro kutokana na kukaidi maagizo ya Tume.

"Nimefurahi kuwaona viongozi mnaosimamia mamlaka za nidhamu kutoka Mikoa ya Mwanza,Geita,Mara na Simiyu,naamini kupitia kikao kazi hiki tutakumbushana haki na wajibu lengo ni watumishi wafanye kazi katika mazingira rafiki ili  ufanisi wa kazi uongezeke,"Amesisitiza Mtendaji huyo wa Mkoa.

Balandya ameongeza kuwa Mhe.Dkt.Samia ndoto zake siku zote ni kuwaona watumishi wanafanya kazi katika mazingira mazuri ili kuongeza ari ya uwajibikaji  pia anataka kuwaona  wakipewa elimu za mara kwa mara ambayo itachangia kuwajengea uwezo.

"Ndugu viongozi tutumie vizuri kikao kazi hiki kupata uelewa wa kutosha na muulize maswali pale mnapoona kuna utata wa tafsiri za miongozo,Tume hii imekuwa ikipokea mashauri mengi ambayo yamechangiwa na viongozi wa maeneo husika kushindwa kuzitafsiri vizuri Sheria zilizopo,"Mhe.Balozi Adadi Rajabu,kamishna wa Tume.

Kikao kazi hicho kimewahusisha Wakurugenzi wa Halmashauri,Wakuu wa Taasisi,wenyeviti wa Halmashauri na Mameya kutoka Mikoa ya Mwanza,Geita,Mara,na Simiyu.

Latest Announcements

  • Tangazo la kukutana na Mhe. Mkuu wa Mkoa wa Mwanza kwa shida mbalimbali.

    soma zaidi
  • TANGAZO LA NANENANE TAREHE 8.8.2025

    soma zaidi
  • View More

Habari Mpya

  • SIKU 100 ZA RAIS DKT. SAMIA: UKEREWE YAPATA AJIRA 127
  • RC MTANDA AWASILI WILAYANI UKEREWE KWA ZIARA YA KIKAZI
  • MWANZA YAIMARISHA UTETEZI WA WATU WENYE ULEMAVU
  • SERIKALI YAAHIDI KUENDELEA KUTOA USHIRIKIANO KWA WADAU WA SEKTA YA BIASHARA
  • CHOROKO KWENYE RAMANI YA UCHUMI WA TAIFA
  • soma zaidi

Wasiliana Nasi

Prime Minister's Office Regional Administration and Local Government Mkoa wa Mwanza
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, Mkoa wa Mwanza, 2 Regional Drive
S.L.P: 119, Mwanza.
Simu: 028-2501037
Barua Pepe: ras@mwanza.go.tz
Simu ya Mkononi: 028-2501037
Balewa/Machemba Road Street
S.L.P: S.L.P 1333, Mwanza
Simu: +255 28 250 1375
Barua Pepe: cd@mwanzacc.go.tz
Simu ya Mkononi: 0768520195
Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela
S.L.P: S.L.P 735, Mwanza
Simu: + 255 736 200910
Barua Pepe: md@ilemelamc.go.tz
Simu ya Mkononi:
Halmashauri ya Wilaya ya Magu
S.L.P: S.L.P 200, Magu
Simu: 028-2530035/2530003
Barua Pepe: ded@magudc.go.tz
Simu ya Mkononi:

Viunganishi vya Haraka

  • Maswali Yaulizwayo Mara kwa Mara
  • Makusanyo ya Ndani ya Halmashauri za Mkoa wa Mwanza
  • PReM
  • Fomu ya Ugonjwa
  • Opras fomu
  • Miongozo ya mfumo wa bajeti na Mipango
  • FFARS User Guidelines
  • OFISI MTANDAO

Viunganishi Linganishi

  • Tamisemi
  • Utumishi
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Salary Slips Portal
  • Tovuti ya Sekreatarieti ya Ajira Tanzania
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu Tanzania
  • Tovuti ya Ikulu
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Rasmi ya Wananchi
  • Tovuti Kuu ya Takwimu Huria

Social Media

  • Like us on Facebook
  • Follow us on Twitter
  • Find us on Youtube
  • Follow us on Instagram

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.

  • Kanusho
  • Sera ya faragha
  • Maswali ya Mara kwa Mara
  • Ramani ya Tovuti