• barua pepe
  • Maswali ya Mara kwa Mara
  • Wasiliana Nasi
Mwanza Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Prime Minister's Office Regional Administration and Local Government
Mkoa wa Mwanza

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Dira na Mwelekeo
    • Historia ya Mkoa
    • Muundo
  • Wilaya
    • Babati
    • Mbulu
    • Hanang
    • Kiteto
    • Simanjiro
  • Idara
    • Utawala na Rasilimali Watu
    • Planning and Management
    • Fedha na Uhasibu
    • Ukaguzi wa Ndani
    • ununuzi na Ugavi
    • Uchumi na Uzalishaji
    • Miundombinu
    • Serikali za Mitaa
    • Social Welfare
    • Tehama
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
  • Machapisho
    • Fomu
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
  • Investments
    • Investment One
    • Investment Two
    • Investment Three
    • Investment Four
    • Investment Five
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Matangazo
    • Maktaba ya Picha
    • Sports and Games
    • Hotuba
    • Taarifa Kwa vyombo vya habari
    • Maktaba ya Video

Wahamiaji haramu watakiwa kujisalimisha

Posted on: February 13th, 2020

Wahamiaji haramu waliopo katika maeneo ya visiwa kutoka nje ya nchi watakiwa kujisalimisha na kufuata taratibu za kisheria kabla ya kuanza kwa zoezi la kuwabaini wote na kuwachulia hatua kali za kisheria ikiwa sambamba na kuwafikisha mahakamani.

Akizungumza  katika mkutano wa hadhara alipokuwa akiongea na wananchi pamoja na wavuvi wa kitongoji cha kisiwa kidogo  Ghana kata ya Ilangala wilaya ya Ukerewe  Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. John Mongella alisema hawawezi kukimbia wajibu wao, hivyo wahamiaji hao wajitokeze kabla hawajakamatwa, wanapokimbia huko kwao wanakimbilia visiwani wakihitaji kuishi nchini wafuate taratibu zote na wataishi wa amani.

Pia aliwataka wananchi hao kuacha tabia ya kujifanya waungwana kwa kuwakaribisha wageni hao wasiokuwa na vibali hivyo watambue hiyo ni hatari na siku wakibainika sheria nayo itawaingiza hatiani.

“Hapa Ghana wahamiaji haramu wanapependa sana mtu akisha kurupushwa huko Burundi au Rwanda kituo cha kwanza ni Ghana na nyinyi waswahili wanafiki kwa kujifanya waungwana mnawakarbisha mjue hiyo ni hatari inawakabili siku za usoni taarifa zote tunazo”alisema Mongella.

 Aidha mkuu huyo ametoa kipindi cha miezi mitatu kwa uongozi wa kijiji hicho kuandaa taharifa ya mapato na matumizi baada ya kuonekana ubadhilfu wa fedha za wananchi za kuchangia shughuli za maendeleo.

Naye Mkuu wa Wilaya hiyo Cornel Magembe akizungumzia changamoto ya viongozi wakijiji kuwa na marumbano aliitaka tamati ya siasa ya kata hiyo kupata taarifa ya kuwajadili mwenyekiti wa kitongoji na wakijiji kwa sababu hawawezi kufanya kazi na watu wenye maslahi yao binafsi .

“Tunahitaji taarifa ya hawa watu wawili,hatuwezi ukakaa na watu ambao sisi tunakazana kwenda mbele wao wanapigana kwa maslahi yao binafsi tutakapobaini mmoja wao ana matatizo tutamuondoa tutaleta mwingine na atachaguliwa hapa”alisema Magembe.

Latest Announcements

  • Tangazo la kukutana na Mhe. Mkuu wa Mkoa wa Mwanza kwa shida mbalimbali.

    soma zaidi
  • TANGAZO LA NANENANE TAREHE 8.8.2025

    soma zaidi
  • View More

Habari Mpya

  • SIKU 100 ZA RAIS DKT. SAMIA: UKEREWE YAPATA AJIRA 127
  • RC MTANDA AWASILI WILAYANI UKEREWE KWA ZIARA YA KIKAZI
  • MWANZA YAIMARISHA UTETEZI WA WATU WENYE ULEMAVU
  • SERIKALI YAAHIDI KUENDELEA KUTOA USHIRIKIANO KWA WADAU WA SEKTA YA BIASHARA
  • CHOROKO KWENYE RAMANI YA UCHUMI WA TAIFA
  • soma zaidi

Wasiliana Nasi

Prime Minister's Office Regional Administration and Local Government Mkoa wa Mwanza
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, Mkoa wa Mwanza, 2 Regional Drive
S.L.P: 119, Mwanza.
Simu: 028-2501037
Barua Pepe: ras@mwanza.go.tz
Simu ya Mkononi: 028-2501037
Balewa/Machemba Road Street
S.L.P: S.L.P 1333, Mwanza
Simu: +255 28 250 1375
Barua Pepe: cd@mwanzacc.go.tz
Simu ya Mkononi: 0768520195
Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela
S.L.P: S.L.P 735, Mwanza
Simu: + 255 736 200910
Barua Pepe: md@ilemelamc.go.tz
Simu ya Mkononi:
Halmashauri ya Wilaya ya Magu
S.L.P: S.L.P 200, Magu
Simu: 028-2530035/2530003
Barua Pepe: ded@magudc.go.tz
Simu ya Mkononi:

Viunganishi vya Haraka

  • Maswali Yaulizwayo Mara kwa Mara
  • Makusanyo ya Ndani ya Halmashauri za Mkoa wa Mwanza
  • PReM
  • Fomu ya Ugonjwa
  • Opras fomu
  • Miongozo ya mfumo wa bajeti na Mipango
  • FFARS User Guidelines
  • OFISI MTANDAO

Viunganishi Linganishi

  • Tamisemi
  • Utumishi
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Salary Slips Portal
  • Tovuti ya Sekreatarieti ya Ajira Tanzania
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu Tanzania
  • Tovuti ya Ikulu
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Rasmi ya Wananchi
  • Tovuti Kuu ya Takwimu Huria

Social Media

  • Like us on Facebook
  • Follow us on Twitter
  • Find us on Youtube
  • Follow us on Instagram

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.

  • Kanusho
  • Sera ya faragha
  • Maswali ya Mara kwa Mara
  • Ramani ya Tovuti