• barua pepe
  • Maswali ya Mara kwa Mara
  • Wasiliana Nasi
Mwanza Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Prime Minister's Office Regional Administration and Local Government
Mkoa wa Mwanza

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Dira na Mwelekeo
    • Historia ya Mkoa
    • Muundo
  • Wilaya
    • Babati
    • Mbulu
    • Hanang
    • Kiteto
    • Simanjiro
  • Idara
    • Utawala na Rasilimali Watu
    • Planning and Management
    • Fedha na Uhasibu
    • Ukaguzi wa Ndani
    • ununuzi na Ugavi
    • Uchumi na Uzalishaji
    • Miundombinu
    • Serikali za Mitaa
    • Social Welfare
    • Tehama
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
  • Machapisho
    • Fomu
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
  • Investments
    • Investment One
    • Investment Two
    • Investment Three
    • Investment Four
    • Investment Five
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Matangazo
    • Maktaba ya Picha
    • Sports and Games
    • Hotuba
    • Taarifa Kwa vyombo vya habari
    • Maktaba ya Video

Wajasiliamali wajengewa uwezo kuzalisha kwa ubora

Posted on: June 13th, 2018


Mashirika yanayojihusisha na utoaji wa elimu kwa wajasiriamali Nchini na usajili wa bidhaa zao yametakiwa kwenda vijijini na kutoa elimu ili wajasiriamali wa pembezoni waweze kushiriki kwenye uzalishaji wenye ubora na kusaidia kukuza uchumi wa Nchi.    

Amos Msakamali mshiriki wa mafunzo ya utoaji wa elimu kwa wajasiriamali yenye lengo la kuwasaidia wajasiriamali kuzalisha bidhaa zenye ubora ambazo zitaweza kuuzwa ndani na nje ya nchi,wamesema kuwa baadhi ya wajasiriamali walioko pembezoni wanapopata mafunzo ya kuzalisha bidhaa hawafahamu kama kuna vyombo vingine vinavyopaswa kuthibitisha ubora wa bidhaa zao kabla ya kuingia sokoni.

“Elimu ndogo lakini tunatakiwa kwenda kuzalisha kwa viwango,leo mimi nimejifunza mengi, hii itanisaidia kwenda kuzalisha kwa ubora zaidi,ushauri kwa Serikali wawafikie watu ambao wapo nje ya miji maana kule nako kuna wajasiliamali wengi ila hawapati elimu hii”,alisema Amos.                             .
 

Naye Nuru Mwasulama ambaye ni Mkaguzi wa chakula na dawa kutoka TFDA amesema kuwa TFDA inashiriki kikamilifu katika kuwajenga wajasiriamali  na kuhakikisha kuwa uzalishaji wa bidhaa zao unakuwa salama kwa ajili ya matumizi ya binadamu.

“Kwetu sisi TFDA usalama wa bidhaa ni kitu cha kwanza ambacho tunasema hakiwezi kufumbiwa macho wakati tunaendelea kuwahudumia wajasiliamali tunahakikisha watanzania wanapata bidhaa salama kwa kuwa rasilimali ya Nchi ni watu hivyo lazima wawe salama”,alisema Nuru.

Nickonia Mwambene ni Kaimu Mkurugenzi wa Udhibiti wa Ubora kutoka Shirika la Viwango Tanzania TBS amesema kuwa Serikali imewarahisishia wajasiriamali kupata huduma mbalimbali ili kuhakikisha wanafikia malengo ya kuzalisha bidhaa zao na kukuza uchumi wa Nchi.

Mafunzo hayo yametolewa kwa wajasiriamali wapatao 100 kutoka katika Mkoa wa Mwanza na imetolewa na TBS kwa kushirikiana na mamlaka ya chakula na dawa (TFDA), Shirika la viwanda vidogo vidogo (SIDO) na Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Mwanza.

Latest Announcements

  • Tangazo la kukutana na Mhe. Mkuu wa Mkoa wa Mwanza kwa shida mbalimbali.

    soma zaidi
  • TANGAZO LA NANENANE TAREHE 8.8.2025

    soma zaidi
  • View More

Habari Mpya

  • SIKU 100 ZA RAIS DKT. SAMIA: UKEREWE YAPATA AJIRA 127
  • RC MTANDA AWASILI WILAYANI UKEREWE KWA ZIARA YA KIKAZI
  • MWANZA YAIMARISHA UTETEZI WA WATU WENYE ULEMAVU
  • SERIKALI YAAHIDI KUENDELEA KUTOA USHIRIKIANO KWA WADAU WA SEKTA YA BIASHARA
  • CHOROKO KWENYE RAMANI YA UCHUMI WA TAIFA
  • soma zaidi

Wasiliana Nasi

Prime Minister's Office Regional Administration and Local Government Mkoa wa Mwanza
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, Mkoa wa Mwanza, 2 Regional Drive
S.L.P: 119, Mwanza.
Simu: 028-2501037
Barua Pepe: ras@mwanza.go.tz
Simu ya Mkononi: 028-2501037
Balewa/Machemba Road Street
S.L.P: S.L.P 1333, Mwanza
Simu: +255 28 250 1375
Barua Pepe: cd@mwanzacc.go.tz
Simu ya Mkononi: 0768520195
Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela
S.L.P: S.L.P 735, Mwanza
Simu: + 255 736 200910
Barua Pepe: md@ilemelamc.go.tz
Simu ya Mkononi:
Halmashauri ya Wilaya ya Magu
S.L.P: S.L.P 200, Magu
Simu: 028-2530035/2530003
Barua Pepe: ded@magudc.go.tz
Simu ya Mkononi:

Viunganishi vya Haraka

  • Maswali Yaulizwayo Mara kwa Mara
  • Makusanyo ya Ndani ya Halmashauri za Mkoa wa Mwanza
  • PReM
  • Fomu ya Ugonjwa
  • Opras fomu
  • Miongozo ya mfumo wa bajeti na Mipango
  • FFARS User Guidelines
  • OFISI MTANDAO

Viunganishi Linganishi

  • Tamisemi
  • Utumishi
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Salary Slips Portal
  • Tovuti ya Sekreatarieti ya Ajira Tanzania
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu Tanzania
  • Tovuti ya Ikulu
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Rasmi ya Wananchi
  • Tovuti Kuu ya Takwimu Huria

Social Media

  • Like us on Facebook
  • Follow us on Twitter
  • Find us on Youtube
  • Follow us on Instagram

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.

  • Kanusho
  • Sera ya faragha
  • Maswali ya Mara kwa Mara
  • Ramani ya Tovuti