• barua pepe
  • Maswali ya Mara kwa Mara
  • Wasiliana Nasi
Mwanza Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Prime Minister's Office Regional Administration and Local Government
Mkoa wa Mwanza

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Dira na Mwelekeo
    • Historia ya Mkoa
    • Muundo
  • Wilaya
    • Babati
    • Mbulu
    • Hanang
    • Kiteto
    • Simanjiro
  • Idara
    • Utawala na Rasilimali Watu
    • Planning and Management
    • Fedha na Uhasibu
    • Ukaguzi wa Ndani
    • ununuzi na Ugavi
    • Uchumi na Uzalishaji
    • Miundombinu
    • Serikali za Mitaa
    • Social Welfare
    • Tehama
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
  • Machapisho
    • Fomu
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
  • Investments
    • Investment One
    • Investment Two
    • Investment Three
    • Investment Four
    • Investment Five
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Matangazo
    • Maktaba ya Picha
    • Sports and Games
    • Hotuba
    • Taarifa Kwa vyombo vya habari
    • Maktaba ya Video

Wasimamaizi wa Uchaguzi wala kiapo cha Uadilifu

Posted on: September 12th, 2019


Wasimamizi wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2019 kwa Mkoa wa Mwanza wamekula kiapo cha uadilifu na usimamizi wa uchaguzi huo.

Akitoa maelezo kuhusu viapo hivyo Hakimu Mkazi wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Mwanza Mhe. Andrew Kabuka amewataka wasimamizi hao wa uchaguzi kuzingatia viapo na kufanya kazi hiyo kwa uadilifu na uaminifu mkubwa.

"Nimepewa jukumu la kuwaapisha wasimamisizi wa Serikali za mitaa nina imani kila mmoja anajua nini maana ya kiapo kwamba ukiishaapa unaahidi kufanya kazi kwa weledi,uaminifu na kwa kutunza siri kwa manufaa ya nchi yetu,"aliseme Kabuka.

Awali akifungua kikao hicho cha wasimamizi wa uchaguzi kula kiapo Katibu Tawala wa Mkoa wa Mwanza Christopher Kadio amewataka wasimamzi hao  kuzingatia Kanunu za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa za mwaka 2019 na Mwongozo wa Uchaguzi ili kuhakikisha kazi hii ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa inafanyika kwa kufuata Kanuni na Mwongozo huo.

"Wasimamizi wa uchaguzi hawa  tunawategemea sana kwa sababu ni nguzo ya kupata kile tunachokitegemea katika uchaguzi wa Serikali za mitaa,"alisema Kadio.

"Ni mategemeo yetu sote na mategemeo ya Ofisi ya Rais TAMISEMI kama mamalaka ya uchaguzi wa Serikali za mitaa kuwa wasimamizi hawa walioapishwa leo hii watashiriki katika Uchaguzi kwa Maslahi mapana ya Nchi yetu kama amani,demokrasia, mshikamano na umoja."alisema Kadio.

Hata hivyo Kadio amewakabidhi vitendea kazi ili waweze kufanya kazi yao kwa uadilifu ambavyo ni Nakala ya kanuni za Uchaguzi, na Mwongozo wa uchaguzi wa Serikali za mitaa ambapo uchaguzi huo utafanyika Novemba 24 mwaka huu.

Latest Announcements

  • Tangazo la kukutana na Mhe. Mkuu wa Mkoa wa Mwanza kwa shida mbalimbali.

    soma zaidi
  • TANGAZO LA NANENANE TAREHE 8.8.2025

    soma zaidi
  • View More

Habari Mpya

  • SIKU 100 ZA RAIS DKT. SAMIA: UKEREWE YAPATA AJIRA 127
  • RC MTANDA AWASILI WILAYANI UKEREWE KWA ZIARA YA KIKAZI
  • MWANZA YAIMARISHA UTETEZI WA WATU WENYE ULEMAVU
  • SERIKALI YAAHIDI KUENDELEA KUTOA USHIRIKIANO KWA WADAU WA SEKTA YA BIASHARA
  • CHOROKO KWENYE RAMANI YA UCHUMI WA TAIFA
  • soma zaidi

Wasiliana Nasi

Prime Minister's Office Regional Administration and Local Government Mkoa wa Mwanza
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, Mkoa wa Mwanza, 2 Regional Drive
S.L.P: 119, Mwanza.
Simu: 028-2501037
Barua Pepe: ras@mwanza.go.tz
Simu ya Mkononi: 028-2501037
Balewa/Machemba Road Street
S.L.P: S.L.P 1333, Mwanza
Simu: +255 28 250 1375
Barua Pepe: cd@mwanzacc.go.tz
Simu ya Mkononi: 0768520195
Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela
S.L.P: S.L.P 735, Mwanza
Simu: + 255 736 200910
Barua Pepe: md@ilemelamc.go.tz
Simu ya Mkononi:
Halmashauri ya Wilaya ya Magu
S.L.P: S.L.P 200, Magu
Simu: 028-2530035/2530003
Barua Pepe: ded@magudc.go.tz
Simu ya Mkononi:

Viunganishi vya Haraka

  • Maswali Yaulizwayo Mara kwa Mara
  • Makusanyo ya Ndani ya Halmashauri za Mkoa wa Mwanza
  • PReM
  • Fomu ya Ugonjwa
  • Opras fomu
  • Miongozo ya mfumo wa bajeti na Mipango
  • FFARS User Guidelines
  • OFISI MTANDAO

Viunganishi Linganishi

  • Tamisemi
  • Utumishi
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Salary Slips Portal
  • Tovuti ya Sekreatarieti ya Ajira Tanzania
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu Tanzania
  • Tovuti ya Ikulu
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Rasmi ya Wananchi
  • Tovuti Kuu ya Takwimu Huria

Social Media

  • Like us on Facebook
  • Follow us on Twitter
  • Find us on Youtube
  • Follow us on Instagram

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.

  • Kanusho
  • Sera ya faragha
  • Maswali ya Mara kwa Mara
  • Ramani ya Tovuti