• barua pepe
  • Maswali ya Mara kwa Mara
  • Wasiliana Nasi
Mwanza Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Prime Minister's Office Regional Administration and Local Government
Mkoa wa Mwanza

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Dira na Mwelekeo
    • Historia ya Mkoa
    • Muundo
  • Wilaya
    • Babati
    • Mbulu
    • Hanang
    • Kiteto
    • Simanjiro
  • Idara
    • Utawala na Rasilimali Watu
    • Planning and Management
    • Fedha na Uhasibu
    • Ukaguzi wa Ndani
    • ununuzi na Ugavi
    • Uchumi na Uzalishaji
    • Miundombinu
    • Serikali za Mitaa
    • Social Welfare
    • Tehama
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
  • Machapisho
    • Fomu
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
  • Investments
    • Investment One
    • Investment Two
    • Investment Three
    • Investment Four
    • Investment Five
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Matangazo
    • Maktaba ya Picha
    • Sports and Games
    • Hotuba
    • Taarifa Kwa vyombo vya habari
    • Maktaba ya Video

WATAFITI WA KILIMO WATAKIWA KUFANYA UWE NA TIJA KWA WAKULIMA

Posted on: September 26th, 2024

WATAFITI WA KILIMO WATAKIWA KUFANYA UWE NA TIJA KWA WAKULIMA


Kaimu Katibu Tawala Msaidizi  Uchumi na Uzalishaji Mkoa wa Mwanza Ndg. Peter Kasele ametoa rai kwa watafiti wa maswala ya kilimo kuhakikisha wanafanya utafiti wenye faida ili kuweza kutatua changamoto za mbegu kwa wakulima na kuimarisha sekta ya kilimo.

Ametoa rai hiyo leo Septemba 26, 2024 akimuwakilisha Katibu Tawala wa Mkoa wa Mwanza  katika ukumbi wa Victoria palace  wakati akifungua mafunzo ya siku mbili ya uzalishaji wa mbegu za vipando vya muhogo, viazi vitamu na migomba kwa njia ya haraka.

Amesema ujio wa teknolojia hiyo mpya ya uzalishaji wa mbegu italeta mabadiliko makubwa kwa wakulima na wananchi kwa ujumla na kuhakikisha usalama wa chakula na mazao.

"Kuja kwa hii teknolojia ni kama mkombozi kwa wakulima itasaidia kwa asilimia kubwa kuzalisha mazao kwa kiwango kikubwa ambapo tutakuwa na uhakika wa kuongeza usalama wa chakula". Amesema Kasele


Aidha amewataka wakulima nao kuwa tayari kuipokea teknolojia hiyo mpya ambayo inakuja kuleta mabadiliko katika kilimo na kuachana na teknolojia za zamani.

Naye mkurugenzi wa Taasisi ya utafiti wa kilimo Tanzania (TIRA) Ukirigiru Dr. Paul Saidia amesema Taasisi ya TIRA inamchango mkubwa katika kusimamia na kuendesha shughuli za kilimo kwa wananchi na wakulima.

Mafunzo hayo yameandaliwa na Taasisi ya kilimo Tanzania (TIRA) na Taasisi ya kimataifa ya utafiti wa maendeleo (CIAT) ambazo zinatekeleza mradi wa kuboresha mfumo wa upatikanaji wa mbegu Bora za vipando Africa (PROSSIVA).

Latest Announcements

  • Tangazo la kukutana na Mhe. Mkuu wa Mkoa wa Mwanza kwa shida mbalimbali.

    soma zaidi
  • TANGAZO LA NANENANE TAREHE 8.8.2025

    soma zaidi
  • View More

Habari Mpya

  • SIKU 100 ZA RAIS DKT. SAMIA: UKEREWE YAPATA AJIRA 127
  • RC MTANDA AWASILI WILAYANI UKEREWE KWA ZIARA YA KIKAZI
  • MWANZA YAIMARISHA UTETEZI WA WATU WENYE ULEMAVU
  • SERIKALI YAAHIDI KUENDELEA KUTOA USHIRIKIANO KWA WADAU WA SEKTA YA BIASHARA
  • CHOROKO KWENYE RAMANI YA UCHUMI WA TAIFA
  • soma zaidi

Wasiliana Nasi

Prime Minister's Office Regional Administration and Local Government Mkoa wa Mwanza
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, Mkoa wa Mwanza, 2 Regional Drive
S.L.P: 119, Mwanza.
Simu: 028-2501037
Barua Pepe: ras@mwanza.go.tz
Simu ya Mkononi: 028-2501037
Balewa/Machemba Road Street
S.L.P: S.L.P 1333, Mwanza
Simu: +255 28 250 1375
Barua Pepe: cd@mwanzacc.go.tz
Simu ya Mkononi: 0768520195
Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela
S.L.P: S.L.P 735, Mwanza
Simu: + 255 736 200910
Barua Pepe: md@ilemelamc.go.tz
Simu ya Mkononi:
Halmashauri ya Wilaya ya Magu
S.L.P: S.L.P 200, Magu
Simu: 028-2530035/2530003
Barua Pepe: ded@magudc.go.tz
Simu ya Mkononi:

Viunganishi vya Haraka

  • Maswali Yaulizwayo Mara kwa Mara
  • Makusanyo ya Ndani ya Halmashauri za Mkoa wa Mwanza
  • PReM
  • Fomu ya Ugonjwa
  • Opras fomu
  • Miongozo ya mfumo wa bajeti na Mipango
  • FFARS User Guidelines
  • OFISI MTANDAO

Viunganishi Linganishi

  • Tamisemi
  • Utumishi
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Salary Slips Portal
  • Tovuti ya Sekreatarieti ya Ajira Tanzania
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu Tanzania
  • Tovuti ya Ikulu
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Rasmi ya Wananchi
  • Tovuti Kuu ya Takwimu Huria

Social Media

  • Like us on Facebook
  • Follow us on Twitter
  • Find us on Youtube
  • Follow us on Instagram

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.

  • Kanusho
  • Sera ya faragha
  • Maswali ya Mara kwa Mara
  • Ramani ya Tovuti