• barua pepe
  • Maswali ya Mara kwa Mara
  • Wasiliana Nasi
Mwanza Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Prime Minister's Office Regional Administration and Local Government
Mkoa wa Mwanza

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Dira na Mwelekeo
    • Historia ya Mkoa
    • Muundo
  • Wilaya
    • Babati
    • Mbulu
    • Hanang
    • Kiteto
    • Simanjiro
  • Idara
    • Utawala na Rasilimali Watu
    • Planning and Management
    • Fedha na Uhasibu
    • Ukaguzi wa Ndani
    • ununuzi na Ugavi
    • Uchumi na Uzalishaji
    • Miundombinu
    • Serikali za Mitaa
    • Social Welfare
    • Tehama
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
  • Machapisho
    • Fomu
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
  • Investments
    • Investment One
    • Investment Two
    • Investment Three
    • Investment Four
    • Investment Five
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Matangazo
    • Maktaba ya Picha
    • Sports and Games
    • Hotuba
    • Taarifa Kwa vyombo vya habari
    • Maktaba ya Video

Watumieni wataalam, watafiti ili mjihakikishie kilimo bora na chenye tija: RC Mwasa

Posted on: August 3rd, 2023


Watanzania wametakiwa kutumia wataalam wa kilimo wakiwemo watafiti Kwa ajili ya kuongeza uzalishaji wa mazao mbalimbali ya kilimo na yenye tija kwa ukuaji wa uchumi wa nchi.

                                                                       Akizungumza leo kwenye ufunguzi wa maonesho ya Nane nane  kwenye uwanja ya Nyamhongolo kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Kagera Mhe. Fatma Mwasa, Mkuu wa wilaya ya Muleba Dkt. Abel Nyamahanga amesema kuwa hatua hiyo itasaidia kilimo kubadilisha hali ya maisha ya wananchi.

"Hii ni fursa ya pekee kwa wadau, wajasiriamali na wananchi kwa ujumla kutumia vizuri jukwaa hili kwa kufanya mageuzi kwenye shughuli za kilimo na biashara kwa ujumla kwani hata Taasisi za kifedha sasa zinawakopesha wakulima tofauti na hapo awali,"Dkt.Nyamahanga

Mwenyekiti wa kamati ya maandalizi ya maonesho hayo Ndg.Emily Kasagara amesema kuwa maonesho hayo ambayo yanawashirikisha washiriki kutoka mikoa ya Mwanza, Geita na Kagera yanasaidia kuleta mabadiliko katika sekta mbalimbali ikiwemo kilimo na ufugaji  Kwa wananchi wa mikoa hiyo.

"Tunajivunia namna wananchi wanavyopata hamasa na maonesho haya kwani yanazidi kuwa na faida kwao, Serikali imetenga fedha nyingi kuhakikisha kilimo kinakuwa mkombozi wa ajira hasa kwa vijana,"Kasagara

Kwa upande wake Mkuu wa wilaya ya Ilemela Mhe.Hassan Masalla ametoa rai kwa wadau kuunganisha nguvu na kutatua changamoto zilizopo uwanjani hapo.

Mikoa ya Mwanza,Geita na Mara inaunda Kanda ya Ziwa Magharibi kwa kushirikiana kwenye maonesho hayo ya Nanenane kila mwaka.

Latest Announcements

  • Tangazo la kukutana na Mhe. Mkuu wa Mkoa wa Mwanza kwa shida mbalimbali.

    soma zaidi
  • TANGAZO LA NANENANE TAREHE 8.8.2025

    soma zaidi
  • View More

Habari Mpya

  • SIKU 100 ZA RAIS DKT. SAMIA: UKEREWE YAPATA AJIRA 127
  • RC MTANDA AWASILI WILAYANI UKEREWE KWA ZIARA YA KIKAZI
  • MWANZA YAIMARISHA UTETEZI WA WATU WENYE ULEMAVU
  • SERIKALI YAAHIDI KUENDELEA KUTOA USHIRIKIANO KWA WADAU WA SEKTA YA BIASHARA
  • CHOROKO KWENYE RAMANI YA UCHUMI WA TAIFA
  • soma zaidi

Wasiliana Nasi

Prime Minister's Office Regional Administration and Local Government Mkoa wa Mwanza
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, Mkoa wa Mwanza, 2 Regional Drive
S.L.P: 119, Mwanza.
Simu: 028-2501037
Barua Pepe: ras@mwanza.go.tz
Simu ya Mkononi: 028-2501037
Balewa/Machemba Road Street
S.L.P: S.L.P 1333, Mwanza
Simu: +255 28 250 1375
Barua Pepe: cd@mwanzacc.go.tz
Simu ya Mkononi: 0768520195
Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela
S.L.P: S.L.P 735, Mwanza
Simu: + 255 736 200910
Barua Pepe: md@ilemelamc.go.tz
Simu ya Mkononi:
Halmashauri ya Wilaya ya Magu
S.L.P: S.L.P 200, Magu
Simu: 028-2530035/2530003
Barua Pepe: ded@magudc.go.tz
Simu ya Mkononi:

Viunganishi vya Haraka

  • Maswali Yaulizwayo Mara kwa Mara
  • Makusanyo ya Ndani ya Halmashauri za Mkoa wa Mwanza
  • PReM
  • Fomu ya Ugonjwa
  • Opras fomu
  • Miongozo ya mfumo wa bajeti na Mipango
  • FFARS User Guidelines
  • OFISI MTANDAO

Viunganishi Linganishi

  • Tamisemi
  • Utumishi
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Salary Slips Portal
  • Tovuti ya Sekreatarieti ya Ajira Tanzania
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu Tanzania
  • Tovuti ya Ikulu
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Rasmi ya Wananchi
  • Tovuti Kuu ya Takwimu Huria

Social Media

  • Like us on Facebook
  • Follow us on Twitter
  • Find us on Youtube
  • Follow us on Instagram

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.

  • Kanusho
  • Sera ya faragha
  • Maswali ya Mara kwa Mara
  • Ramani ya Tovuti