• barua pepe
  • Maswali ya Mara kwa Mara
  • Wasiliana Nasi
Mwanza Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Prime Minister's Office Regional Administration and Local Government
Mkoa wa Mwanza

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Dira na Mwelekeo
    • Historia ya Mkoa
    • Muundo
  • Wilaya
    • Babati
    • Mbulu
    • Hanang
    • Kiteto
    • Simanjiro
  • Idara
    • Utawala na Rasilimali Watu
    • Planning and Management
    • Fedha na Uhasibu
    • Ukaguzi wa Ndani
    • ununuzi na Ugavi
    • Uchumi na Uzalishaji
    • Miundombinu
    • Serikali za Mitaa
    • Social Welfare
    • Tehama
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
  • Machapisho
    • Fomu
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
  • Investments
    • Investment One
    • Investment Two
    • Investment Three
    • Investment Four
    • Investment Five
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Matangazo
    • Maktaba ya Picha
    • Sports and Games
    • Hotuba
    • Taarifa Kwa vyombo vya habari
    • Maktaba ya Video

WATUMISHI WA RS MWANZA WAPEWA SOMO SAMIA INFRASTRUCTURE BONDI

Posted on: January 10th, 2025

WATUMISHI WA RS MWANZA WAPEWA SOMO SAMIA INFRASTRUCTURE BONDI


Benki ya CRDB imetoa wito kwa watumishi wa Ofisi ya Mkuu wa mkoa wa Mwanza kuchangamkia fursa za kununua Bondi za Samia ili kutanua wigo wa kipato chao kwa kiwango kikubwa.


Akizungumza na wafanyakazi hao mapema leo asubuhi Januari 10, 2025 kwenye Ukumbi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, Meneja mahusiano  biashara za Serikali, Bi. Joyce Mruba amebainisha kuwa bado watu wengi hawajafahamu umuhimu na faida za kununua bondi lakini ni utaratibu wa uhakika wa kujiongezea fedha kutegemeana na fedha uliyoweka.

"Wengi tuna kasumba ya kukimbilia kununua magari ya kifahari au nyumba mara tunapopata fedha, hiyo siyo njia sahihi ni sawa na kutupa fedha lakini bandi ni biashara nzuri ya kuzungusha fedha." Amesema.

Ameongeza kuwa unapoweka bondi ya Samia Tshs. Milioni kumi unaweza kupata mkopo wa Tshs.  Milioni 8 hivyo kuweza kufanya shughuli zako za kiuchumi kwa uhakika na baada ya muda wa miaka miaka mitano unarudishiwa fedha zako za bondi.

"Benki ya CRDB ni taasisi imara yenye mtaji mkubwa hivyo hakuna sababu ya watu wenye nia ya kuwekeza na benki hiyo kuingia shaka pengine kufilisika hivyo wachangamkie fursa." Ameongeza.

Akitoa neno fupi la shukrani kwa benki hiyo,Katibu Tawala Msaidizi Rasilimali watu na Utawala Bw.Daniel Machunda ameishukuru taasisi hiyo kwa kuzidi kuwa wabunifu hali inayoletwa tija kwa wateja wake na kuzidi kuaminiwa.

"Leo mmetupa somo la Bondi ni dhahiri utaratibu mzuri ambao utawafanya wafanyakazi wasiishi kinyonge na badala yake kuwa na uhakika wa kujiongezea zaidi vipato vyao kwa njia hiyo ya kisasa,"Machunda


Benki ya CRDB imeshinda zabuni ya miaka mitano ya Samia Infrastructure bond mwishoni mwa mwaka jana.

Latest Announcements

  • Tangazo la kukutana na Mhe. Mkuu wa Mkoa wa Mwanza kwa shida mbalimbali.

    soma zaidi
  • TANGAZO LA NANENANE TAREHE 8.8.2025

    soma zaidi
  • View More

Habari Mpya

  • SIKU 100 ZA RAIS DKT. SAMIA: UKEREWE YAPATA AJIRA 127
  • RC MTANDA AWASILI WILAYANI UKEREWE KWA ZIARA YA KIKAZI
  • MWANZA YAIMARISHA UTETEZI WA WATU WENYE ULEMAVU
  • SERIKALI YAAHIDI KUENDELEA KUTOA USHIRIKIANO KWA WADAU WA SEKTA YA BIASHARA
  • CHOROKO KWENYE RAMANI YA UCHUMI WA TAIFA
  • soma zaidi

Wasiliana Nasi

Prime Minister's Office Regional Administration and Local Government Mkoa wa Mwanza
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, Mkoa wa Mwanza, 2 Regional Drive
S.L.P: 119, Mwanza.
Simu: 028-2501037
Barua Pepe: ras@mwanza.go.tz
Simu ya Mkononi: 028-2501037
Balewa/Machemba Road Street
S.L.P: S.L.P 1333, Mwanza
Simu: +255 28 250 1375
Barua Pepe: cd@mwanzacc.go.tz
Simu ya Mkononi: 0768520195
Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela
S.L.P: S.L.P 735, Mwanza
Simu: + 255 736 200910
Barua Pepe: md@ilemelamc.go.tz
Simu ya Mkononi:
Halmashauri ya Wilaya ya Magu
S.L.P: S.L.P 200, Magu
Simu: 028-2530035/2530003
Barua Pepe: ded@magudc.go.tz
Simu ya Mkononi:

Viunganishi vya Haraka

  • Maswali Yaulizwayo Mara kwa Mara
  • Makusanyo ya Ndani ya Halmashauri za Mkoa wa Mwanza
  • PReM
  • Fomu ya Ugonjwa
  • Opras fomu
  • Miongozo ya mfumo wa bajeti na Mipango
  • FFARS User Guidelines
  • OFISI MTANDAO

Viunganishi Linganishi

  • Tamisemi
  • Utumishi
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Salary Slips Portal
  • Tovuti ya Sekreatarieti ya Ajira Tanzania
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu Tanzania
  • Tovuti ya Ikulu
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Rasmi ya Wananchi
  • Tovuti Kuu ya Takwimu Huria

Social Media

  • Like us on Facebook
  • Follow us on Twitter
  • Find us on Youtube
  • Follow us on Instagram

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.

  • Kanusho
  • Sera ya faragha
  • Maswali ya Mara kwa Mara
  • Ramani ya Tovuti