• barua pepe
  • Maswali ya Mara kwa Mara
  • Wasiliana Nasi
Mwanza Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Prime Minister's Office Regional Administration and Local Government
Mkoa wa Mwanza

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Dira na Mwelekeo
    • Historia ya Mkoa
    • Muundo
  • Wilaya
    • Babati
    • Mbulu
    • Hanang
    • Kiteto
    • Simanjiro
  • Idara
    • Utawala na Rasilimali Watu
    • Planning and Management
    • Fedha na Uhasibu
    • Ukaguzi wa Ndani
    • ununuzi na Ugavi
    • Uchumi na Uzalishaji
    • Miundombinu
    • Serikali za Mitaa
    • Social Welfare
    • Tehama
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
  • Machapisho
    • Fomu
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
  • Investments
    • Investment One
    • Investment Two
    • Investment Three
    • Investment Four
    • Investment Five
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Matangazo
    • Maktaba ya Picha
    • Sports and Games
    • Hotuba
    • Taarifa Kwa vyombo vya habari
    • Maktaba ya Video

WAZIRI KIKWETE ATOA ZAWADI KWA SHULE/WALIMU WALIOFANYA VIZURI KITAALUMA MWANZA

Posted on: September 26th, 2024

WAZIRI KIKWETE ATOA ZAWADI KWA SHULE/WALIMU WALIOFANYA VIZURI KITAALUMA MWANZA


Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu - Kazi Vijana Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Ridhiwani Kikwete ameipongeza Serikali ya Mkoa wa Mwanza kwa kujiwekea mkakati mzuri wa kuzipongeza halmashauri, walimu na shule za msingi na sekondari zilizofanya vizuri katika mitihani ya kujipima ya Mkoa.

Ametoa pongezi hizo wakati akizungumza na wakuu wa shule pamoja na wadau wa elimu  katika kikao kilichofanyika kwenye Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Mwanza leo Septemba 26, 2024,na kuongeza kuwa motisha hiyo iwe chachu ya kufanya vizuri zaidi.

Aidha Mhe. Kikwete amezipongeza Halmashauri za Kwimba na Sengerema kwa kufanya vizuri na kuongoza Halmashauri zingine kwenye mitihani ya kujipima ya Mkoa kwa shule za msingi na sekondari,kitendo ambacho kinaonesha kumuunga mkono kwa vitendo Mhe.Ris Dkt.Samia Suluhu Hassan ambaye ametoa fedha nyingi katika sekta ya elimu nchini

"Kwa upekee kabisa niipongeze sana wilaya ya kwimba na Sengerema kwa kuvunja rekodi ukiachilia wilaya za Ilemela na Nyamagana ambazo ndio zilikua zikishindana lakini mwaka huu wamepata ushindani". Amesema Mhe. Kikwete wakati akizungumza na na viongozi hao

Naye Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. Said Mtanda amemuagiza Katibu Tawala wa Mkoa wa Mwanza na Afisa elimu kukaa na kupanga mikakati ya motisha za juu lengo likiwa  Mkoa huo uzidi kung'ara katika ufaulu wa wanafunzi kuanzia kimkoa hadi Taifa.

"Maafisa elimu chini ya Katibu Tawala wakakae waboreshe nyaraka hii inayoonesha mkakati wa Mkoa katika kuboresha elimu halafu tuweke siku maalumu na wadau wa elimu ya kuuzindua kuelekea mwaka 2025". Amesema Mhe. Mtanda.

Kikao hicho cha utoaji wa zawadi kwa Halmashauri, Walimu na shule za sekondari na msingi kimeambatana na zoezi la kukabidhi madawati  Arobaini (40) kwa shule ya Msingi Uhuru iliyopo Wilaya ya Nyamagana kata ya Igoma iliyokabiliwa na upungufu huo.

Latest Announcements

  • Tangazo la kukutana na Mhe. Mkuu wa Mkoa wa Mwanza kwa shida mbalimbali.

    soma zaidi
  • TANGAZO LA NANENANE TAREHE 8.8.2025

    soma zaidi
  • View More

Habari Mpya

  • SIKU 100 ZA RAIS DKT. SAMIA: UKEREWE YAPATA AJIRA 127
  • RC MTANDA AWASILI WILAYANI UKEREWE KWA ZIARA YA KIKAZI
  • MWANZA YAIMARISHA UTETEZI WA WATU WENYE ULEMAVU
  • SERIKALI YAAHIDI KUENDELEA KUTOA USHIRIKIANO KWA WADAU WA SEKTA YA BIASHARA
  • CHOROKO KWENYE RAMANI YA UCHUMI WA TAIFA
  • soma zaidi

Wasiliana Nasi

Prime Minister's Office Regional Administration and Local Government Mkoa wa Mwanza
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, Mkoa wa Mwanza, 2 Regional Drive
S.L.P: 119, Mwanza.
Simu: 028-2501037
Barua Pepe: ras@mwanza.go.tz
Simu ya Mkononi: 028-2501037
Balewa/Machemba Road Street
S.L.P: S.L.P 1333, Mwanza
Simu: +255 28 250 1375
Barua Pepe: cd@mwanzacc.go.tz
Simu ya Mkononi: 0768520195
Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela
S.L.P: S.L.P 735, Mwanza
Simu: + 255 736 200910
Barua Pepe: md@ilemelamc.go.tz
Simu ya Mkononi:
Halmashauri ya Wilaya ya Magu
S.L.P: S.L.P 200, Magu
Simu: 028-2530035/2530003
Barua Pepe: ded@magudc.go.tz
Simu ya Mkononi:

Viunganishi vya Haraka

  • Maswali Yaulizwayo Mara kwa Mara
  • Makusanyo ya Ndani ya Halmashauri za Mkoa wa Mwanza
  • PReM
  • Fomu ya Ugonjwa
  • Opras fomu
  • Miongozo ya mfumo wa bajeti na Mipango
  • FFARS User Guidelines
  • OFISI MTANDAO

Viunganishi Linganishi

  • Tamisemi
  • Utumishi
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Salary Slips Portal
  • Tovuti ya Sekreatarieti ya Ajira Tanzania
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu Tanzania
  • Tovuti ya Ikulu
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Rasmi ya Wananchi
  • Tovuti Kuu ya Takwimu Huria

Social Media

  • Like us on Facebook
  • Follow us on Twitter
  • Find us on Youtube
  • Follow us on Instagram

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.

  • Kanusho
  • Sera ya faragha
  • Maswali ya Mara kwa Mara
  • Ramani ya Tovuti