• barua pepe
  • Maswali ya Mara kwa Mara
  • Wasiliana Nasi
Mwanza Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Prime Minister's Office Regional Administration and Local Government
Mkoa wa Mwanza

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Dira na Mwelekeo
    • Historia ya Mkoa
    • Muundo
  • Wilaya
    • Babati
    • Mbulu
    • Hanang
    • Kiteto
    • Simanjiro
  • Idara
    • Utawala na Rasilimali Watu
    • Planning and Management
    • Fedha na Uhasibu
    • Ukaguzi wa Ndani
    • ununuzi na Ugavi
    • Uchumi na Uzalishaji
    • Miundombinu
    • Serikali za Mitaa
    • Social Welfare
    • Tehama
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
  • Machapisho
    • Fomu
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
  • Investments
    • Investment One
    • Investment Two
    • Investment Three
    • Investment Four
    • Investment Five
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Matangazo
    • Maktaba ya Picha
    • Sports and Games
    • Hotuba
    • Taarifa Kwa vyombo vya habari
    • Maktaba ya Video

Mhe. Majaliwa aagiza Miradi ya Kimkakati ikamilike kwa wakati

Posted on: May 7th, 2022

Waziri Mkuu Mhe.Kassim Majaliwa amewataka Wananchi kuendelea kuwa na Imani na Serikali ya awamu ya Sita inayosimamia Miradi yote nchini ambayo itakamilika kwa wakati.


Akizungumza Mkoani Mwanza katika ziara yake ya siku moja Mhe Majaliwa amesema licha ya kuwepo changamoto za hapa na pale katika baadhi ya Miradi lakini Serikali imesimama imara kuona Miradi ikikamilika kwa mujibu wa miongozo ya Mikataba.


"Nimefika hapa Mwanza  nimekagua ujenzi wa Meli mpya Meli ya MV Mwanza HAPA KAZI  sijaridhishwa na  mwenendo wa Mkandarasi upo ubabaishaji  niwaondoe shaka Wananchi hakuna kitakacho kwamisha kukamilika kwa Mradi"


"Hapa hatoki mtu hadi tunakabidhiwa Meli hii tulimpa muda wa miezi 22 baada ya kutokea changamoto ya Uviko19" amesisitiza Mhe Waziri Mkuu.


Aidha Mhe Majaliwa ameonesha kuridhishwa na Maendeleo ya ujenzi wa Daraja la JP Magufuli lililopo Kigongo Busisi na kuwataka Wafanyakazi kutanguliza uzalendo kwa kuepuka vitendo vya hujuma katika Miradi ya Maendeleo.

Meli ya Mv Mwanza HAPA KAZI TU inafanyiwa ujenzi na Kampuni ya Gas/Entec kutoka Korea kwa gharama ya zaidi ya Shilingi Bilioni 90.


Akiwa Wilayani Sengerema katika kikao na Watumishi wa Halmashauri za Sengerema na Buchosha,Waziri Mkuu Mhe Majaliwa amewakumbusha Watumishi wote nchini kufanya kazi kwa Uaminifu,Uadilifu na Uwajibikaji.


Amewataka kuwa makini na fedha za Serikali zinazoelekezwa katika Miradi mbalimbali yenye lengo la kuwaletea Maendeleo Wananchi.


Naye Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe Mhandisi Robert Gabriel amemuhakikishia Waziri Mkuu usimamizi imara wa Miradi yote ya  Kimkakati na kuzikabili hujuma zote zinazofanywa na baadhi ya Wafanyakazi.

Latest Announcements

  • Tangazo la kukutana na Mhe. Mkuu wa Mkoa wa Mwanza kwa shida mbalimbali.

    soma zaidi
  • TANGAZO LA NANENANE TAREHE 8.8.2025

    soma zaidi
  • View More

Habari Mpya

  • SIKU 100 ZA RAIS DKT. SAMIA: UKEREWE YAPATA AJIRA 127
  • RC MTANDA AWASILI WILAYANI UKEREWE KWA ZIARA YA KIKAZI
  • MWANZA YAIMARISHA UTETEZI WA WATU WENYE ULEMAVU
  • SERIKALI YAAHIDI KUENDELEA KUTOA USHIRIKIANO KWA WADAU WA SEKTA YA BIASHARA
  • CHOROKO KWENYE RAMANI YA UCHUMI WA TAIFA
  • soma zaidi

Wasiliana Nasi

Prime Minister's Office Regional Administration and Local Government Mkoa wa Mwanza
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, Mkoa wa Mwanza, 2 Regional Drive
S.L.P: 119, Mwanza.
Simu: 028-2501037
Barua Pepe: ras@mwanza.go.tz
Simu ya Mkononi: 028-2501037
Balewa/Machemba Road Street
S.L.P: S.L.P 1333, Mwanza
Simu: +255 28 250 1375
Barua Pepe: cd@mwanzacc.go.tz
Simu ya Mkononi: 0768520195
Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela
S.L.P: S.L.P 735, Mwanza
Simu: + 255 736 200910
Barua Pepe: md@ilemelamc.go.tz
Simu ya Mkononi:
Halmashauri ya Wilaya ya Magu
S.L.P: S.L.P 200, Magu
Simu: 028-2530035/2530003
Barua Pepe: ded@magudc.go.tz
Simu ya Mkononi:

Viunganishi vya Haraka

  • Maswali Yaulizwayo Mara kwa Mara
  • Makusanyo ya Ndani ya Halmashauri za Mkoa wa Mwanza
  • PReM
  • Fomu ya Ugonjwa
  • Opras fomu
  • Miongozo ya mfumo wa bajeti na Mipango
  • FFARS User Guidelines
  • OFISI MTANDAO

Viunganishi Linganishi

  • Tamisemi
  • Utumishi
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Salary Slips Portal
  • Tovuti ya Sekreatarieti ya Ajira Tanzania
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu Tanzania
  • Tovuti ya Ikulu
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Rasmi ya Wananchi
  • Tovuti Kuu ya Takwimu Huria

Social Media

  • Like us on Facebook
  • Follow us on Twitter
  • Find us on Youtube
  • Follow us on Instagram

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.

  • Kanusho
  • Sera ya faragha
  • Maswali ya Mara kwa Mara
  • Ramani ya Tovuti