• barua pepe
  • Maswali ya Mara kwa Mara
  • Wasiliana Nasi
Mwanza Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Prime Minister's Office Regional Administration and Local Government
Mkoa wa Mwanza

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Dira na Mwelekeo
    • Historia ya Mkoa
    • Muundo
  • Wilaya
    • Babati
    • Mbulu
    • Hanang
    • Kiteto
    • Simanjiro
  • Idara
    • Utawala na Rasilimali Watu
    • Planning and Management
    • Fedha na Uhasibu
    • Ukaguzi wa Ndani
    • ununuzi na Ugavi
    • Uchumi na Uzalishaji
    • Miundombinu
    • Serikali za Mitaa
    • Social Welfare
    • Tehama
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
  • Machapisho
    • Fomu
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
  • Investments
    • Investment One
    • Investment Two
    • Investment Three
    • Investment Four
    • Investment Five
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Matangazo
    • Maktaba ya Picha
    • Sports and Games
    • Hotuba
    • Taarifa Kwa vyombo vya habari
    • Maktaba ya Video

Waziri TAMISEMI Awafunda wakuu wa Mikoa

Posted on: October 23rd, 2019

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mhe. Selemani Jafo (Mb) amezungumza na wakuu wa Mikoa na Wilaya kwa njia ya "Video Conference" leo tarehe 23/10/2019 moja kwa moja akiwa Dodoma.

Lengo la mkutano ilikuwa ni kutoa maelekezo mbalimbali kuhusu utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo katika sekta za Afya,Elimu miundombinu pamoja na ukusanyaji wa mapato.

Katika sekta ya afya amepokea taarifa kutoka kwa Waheshimiwa Wakuu wa Mikoa kuhusu  ujenzi wa hospitali za wilaya na vituo vya afya vilivyopatiwa fedha na Serikali na maendeleo ya ujenzi yaliyofikiwa sasa.

Aidha katika Sekta ya Elimu taarifa ya hali ya ukarabati wa shule kongwe na ujenzi wa vyumba vya madarasa imetolewa.

Mhe.Jafo amempongeza Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe.John Mongella  kwa utekelezaji wa miradi ya afya kwa kiwango kikubwa na kutaka mikoa mingine kuiga mfano huo.

 " Nakupongeza sana Mhe.Mkuu wa Mkoa wa Mwanza kwa uhamasishaji  mkubwa wa uandikishaji wa orodha ya wapiga kura kwa ajili ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2019 kwani Mwanza mmefanya vizuri sana," alisema Jafo.

Aidha, Mhe. Jafo ametoa maelekezo  kuwa Viongozi wa Mikoa na Wilaya kuhakikisha kuwa ukusanyaji wa mapato kwenye Halmashauri zote unasimamiwa kikamilifu, pia kuhamasisha wananchi kujitokeza kupiga kura kwenye Uchaguzi wa Serikali za  Mitaa utakaofanyika tarehe 24/11/2019 na kuwataka  viongozi kuhakikisha wanafunzi wote watakaochaguliwa kujiunga kidato cha kwanza wanajiunga na masomo ya Sekondari na  kuhakikisha uwepo wa miundombinu kwa ajili hiyo.

Latest Announcements

  • Tangazo la kukutana na Mhe. Mkuu wa Mkoa wa Mwanza kwa shida mbalimbali.

    soma zaidi
  • TANGAZO LA NANENANE TAREHE 8.8.2025

    soma zaidi
  • View More

Habari Mpya

  • SIKU 100 ZA RAIS DKT. SAMIA: UKEREWE YAPATA AJIRA 127
  • RC MTANDA AWASILI WILAYANI UKEREWE KWA ZIARA YA KIKAZI
  • MWANZA YAIMARISHA UTETEZI WA WATU WENYE ULEMAVU
  • SERIKALI YAAHIDI KUENDELEA KUTOA USHIRIKIANO KWA WADAU WA SEKTA YA BIASHARA
  • CHOROKO KWENYE RAMANI YA UCHUMI WA TAIFA
  • soma zaidi

Wasiliana Nasi

Prime Minister's Office Regional Administration and Local Government Mkoa wa Mwanza
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, Mkoa wa Mwanza, 2 Regional Drive
S.L.P: 119, Mwanza.
Simu: 028-2501037
Barua Pepe: ras@mwanza.go.tz
Simu ya Mkononi: 028-2501037
Balewa/Machemba Road Street
S.L.P: S.L.P 1333, Mwanza
Simu: +255 28 250 1375
Barua Pepe: cd@mwanzacc.go.tz
Simu ya Mkononi: 0768520195
Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela
S.L.P: S.L.P 735, Mwanza
Simu: + 255 736 200910
Barua Pepe: md@ilemelamc.go.tz
Simu ya Mkononi:
Halmashauri ya Wilaya ya Magu
S.L.P: S.L.P 200, Magu
Simu: 028-2530035/2530003
Barua Pepe: ded@magudc.go.tz
Simu ya Mkononi:

Viunganishi vya Haraka

  • Maswali Yaulizwayo Mara kwa Mara
  • Makusanyo ya Ndani ya Halmashauri za Mkoa wa Mwanza
  • PReM
  • Fomu ya Ugonjwa
  • Opras fomu
  • Miongozo ya mfumo wa bajeti na Mipango
  • FFARS User Guidelines
  • OFISI MTANDAO

Viunganishi Linganishi

  • Tamisemi
  • Utumishi
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Salary Slips Portal
  • Tovuti ya Sekreatarieti ya Ajira Tanzania
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu Tanzania
  • Tovuti ya Ikulu
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Rasmi ya Wananchi
  • Tovuti Kuu ya Takwimu Huria

Social Media

  • Like us on Facebook
  • Follow us on Twitter
  • Find us on Youtube
  • Follow us on Instagram

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.

  • Kanusho
  • Sera ya faragha
  • Maswali ya Mara kwa Mara
  • Ramani ya Tovuti