WAZIRI WA ULINZI DKT.STERGOMENA AFIKA OFISI YA MKUU WA MKOA NA KUFANYA MAZUNGUMZO MAFUPI
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt. Stergomena Tax akisaini Kitabu cha Wageni leo tarehe 23 Mei, 2024 kwenye Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Mwanza na kupokelewa na Kaimu Katibu Tawala Mkoa Ndugu Daniel Machunda kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa.

