• barua pepe
  • Maswali ya Mara kwa Mara
  • Wasiliana Nasi
Mwanza Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Prime Minister's Office Regional Administration and Local Government
Mkoa wa Mwanza

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Dira na Mwelekeo
    • Historia ya Mkoa
    • Muundo
  • Wilaya
    • Babati
    • Mbulu
    • Hanang
    • Kiteto
    • Simanjiro
  • Idara
    • Utawala na Rasilimali Watu
    • Planning and Management
    • Fedha na Uhasibu
    • Ukaguzi wa Ndani
    • ununuzi na Ugavi
    • Uchumi na Uzalishaji
    • Miundombinu
    • Serikali za Mitaa
    • Social Welfare
    • Tehama
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
  • Machapisho
    • Fomu
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
  • Investments
    • Investment One
    • Investment Two
    • Investment Three
    • Investment Four
    • Investment Five
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Matangazo
    • Maktaba ya Picha
    • Sports and Games
    • Hotuba
    • Taarifa Kwa vyombo vya habari
    • Maktaba ya Video

Wilaya ya Misungwi yang'ara kwa upandaji Miti Shuleni

Posted on: January 15th, 2023


Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. Adam Malima amezitaka Halmashauri zote mkoani humo kuiga mfano wa Halmashauri ya Wikaya ya Misungwi na Magu kwa kupanda miti katika maeneo yote ya shule ili kurejesha Uoto wa asili  na kusaidia katika kukabiliana na hewa ya ukaa.

Ametoa wito huo  wakati wa uzinduzi wa vyumba 44 vya Madarasa vyenye thamani ya shilingi milioni 880 katika shule ya Sekondari Idetemya ambapo pamoja na mambo mengine amebaini hali ya kuridhisha katika upandaji wa miti na utunzaji wa mazingira shuleni hapo.

Aidha, ametoa rai kwa Uongozi wa Halmashauri hiyo kuongeza eneo kwenye shule mpya ya Jitihada ili kusaidia shule hiyo kuwa na uwezo wa kupanuliwa kwa kuongeza miundombinu mingine ikiwa ni pamoja na madarasa kutokana na shule hiyo kuwa katika maeneo ya mjini yenye ongezeko kubwa la watu.

"Hamuwezi kuwa na shule mpya leo hii yenye hekari sita pekee, fanyeni jitihada kuongeza eneo ili kuiwezesha kumudu ongezeko la wanafunzi  kwa mipango ya sasa na baadae na msitegemee kuanzisha shule mpya mbali kwani zitakua na gharama ya usafiri kwa wazazi katika kuhakikisha watoto wao wanafika shuleni" amesema Malima.

Kwa upande wake katibu Tawala Mkoa, Ndugu Balandya Elikana amewataka wazazi kuwapeleka watoto shule wakaanze kidato cha kwanza kwani Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan tayari ameshawajengea madarasa na miundombinu mingine.

"Ujenzi wa vyumba hivi vya madarasa umeenda sambamba na matengenezo ya Samani kwa wanafunzi ambapo Seti za viti na meza 1760 zimetengenezwa na wanafunzi 1767 watanufaika." Amesema Mkuu wa Idara Mipango na Uratibu, Peniel Titus.

Latest Announcements

  • Tangazo la kukutana na Mhe. Mkuu wa Mkoa wa Mwanza kwa shida mbalimbali.

    soma zaidi
  • TANGAZO LA NANENANE TAREHE 8.8.2025

    soma zaidi
  • View More

Habari Mpya

  • SIKU 100 ZA RAIS DKT. SAMIA: UKEREWE YAPATA AJIRA 127
  • RC MTANDA AWASILI WILAYANI UKEREWE KWA ZIARA YA KIKAZI
  • MWANZA YAIMARISHA UTETEZI WA WATU WENYE ULEMAVU
  • SERIKALI YAAHIDI KUENDELEA KUTOA USHIRIKIANO KWA WADAU WA SEKTA YA BIASHARA
  • CHOROKO KWENYE RAMANI YA UCHUMI WA TAIFA
  • soma zaidi

Wasiliana Nasi

Prime Minister's Office Regional Administration and Local Government Mkoa wa Mwanza
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, Mkoa wa Mwanza, 2 Regional Drive
S.L.P: 119, Mwanza.
Simu: 028-2501037
Barua Pepe: ras@mwanza.go.tz
Simu ya Mkononi: 028-2501037
Balewa/Machemba Road Street
S.L.P: S.L.P 1333, Mwanza
Simu: +255 28 250 1375
Barua Pepe: cd@mwanzacc.go.tz
Simu ya Mkononi: 0768520195
Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela
S.L.P: S.L.P 735, Mwanza
Simu: + 255 736 200910
Barua Pepe: md@ilemelamc.go.tz
Simu ya Mkononi:
Halmashauri ya Wilaya ya Magu
S.L.P: S.L.P 200, Magu
Simu: 028-2530035/2530003
Barua Pepe: ded@magudc.go.tz
Simu ya Mkononi:

Viunganishi vya Haraka

  • Maswali Yaulizwayo Mara kwa Mara
  • Makusanyo ya Ndani ya Halmashauri za Mkoa wa Mwanza
  • PReM
  • Fomu ya Ugonjwa
  • Opras fomu
  • Miongozo ya mfumo wa bajeti na Mipango
  • FFARS User Guidelines
  • OFISI MTANDAO

Viunganishi Linganishi

  • Tamisemi
  • Utumishi
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Salary Slips Portal
  • Tovuti ya Sekreatarieti ya Ajira Tanzania
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu Tanzania
  • Tovuti ya Ikulu
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Rasmi ya Wananchi
  • Tovuti Kuu ya Takwimu Huria

Social Media

  • Like us on Facebook
  • Follow us on Twitter
  • Find us on Youtube
  • Follow us on Instagram

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.

  • Kanusho
  • Sera ya faragha
  • Maswali ya Mara kwa Mara
  • Ramani ya Tovuti