• barua pepe
  • Maswali ya Mara kwa Mara
  • Wasiliana Nasi
Mwanza Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Prime Minister's Office Regional Administration and Local Government
Mkoa wa Mwanza

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Dira na Mwelekeo
    • Historia ya Mkoa
    • Muundo
  • Wilaya
    • Babati
    • Mbulu
    • Hanang
    • Kiteto
    • Simanjiro
  • Idara
    • Utawala na Rasilimali Watu
    • Planning and Management
    • Fedha na Uhasibu
    • Ukaguzi wa Ndani
    • ununuzi na Ugavi
    • Uchumi na Uzalishaji
    • Miundombinu
    • Serikali za Mitaa
    • Social Welfare
    • Tehama
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
  • Machapisho
    • Fomu
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
  • Investments
    • Investment One
    • Investment Two
    • Investment Three
    • Investment Four
    • Investment Five
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Matangazo
    • Maktaba ya Picha
    • Sports and Games
    • Hotuba
    • Taarifa Kwa vyombo vya habari
    • Maktaba ya Video

Zoezi la uokoaji ajali ya MV Nyerere laendelea

Posted on: September 21st, 2018


Zoezi la uokoaji wa miili iliyozama katika meli ya Mv. Nyerere katika kisiwa cha Ukara linaendelea ambapo mpaka asubuhi ya leo ambapo Mhe. Mhandisi Isack Kamwelwe Waziri wa Uchukuzi Ujenzi na Mawasiliano (MB) anawasili eneo la tukio kuna watu takribani 75 walikuwa wamekwisha okolewa wakiwa wamekufa.

Zoezi la uokoaji linaendelea kufanyika kwa kusaidiana na kamati ya ulinzi na usalama ya mkoa wa Mwanza na Mkoa wa Mara, Jeshi la Wananchi wa Tanzania, wapigambizi mbali mbali toka mkoa wa mwanza, kwa kushirikiana na Kamanda Wa Polisi Tanzania IGP Simon Sirro.

"Taratibu za kimila na za kidini zitafuatwa katika kuwasitiri waliofariki kwani msiba huu ni wa kitaifa, hivyo nawaomba wananchi waendelee kuwa wavumilivu na kuanza kuja kuwatambua ndugu zao. Na viongozi mbali mbali wanaendelea kuwasili na kuongeza nguvu katika kusaidia uokoaji  Waziri mwenye dhaman ya kamati ya Maafa  Mhe. Jenista Muhagama. Maiti nyingi zimejulikana na baada ya muda mfupi miili itaanza kutambuliwa na ndugu zao," alisema Kamwelwe.

Meneja wa TAMESA Mkoa wa Mwanza Eng.  Hassan Kalonda ameeleza kuwa Meli hiyo inauwezo wa kubeba uzito wa Tani 25 na ameeleza kuwa wafanyakazi wa kivuko waliokuwepo melini walikua nane (8), na watatu wameokolewa wakiwa wazima na watano wanahofiwa kufariki. Watano hao wanaotajwa kufariki ni Abel Mahatane Nahodha, Agustino Cherehani Fundi, Emmanuel Shinga Karani, Blastus Bundala Mkuu wa Feri na Mathias Thomas Mlinzi.

IGP Simoni Sirro amewataka wananchi kuendelea kuwa watulivu katika shughuli zinazoendelea za uokoaji na amewataka kutojaribu kufanya matukio yakihalifu kwani jeshi la polisi limejipanda na linahakikisha ulinzi unaimarika muda wote.

Miili yote  iliyookolewa imehifadhiwa katika kituo cha afya Bwisya kisiwa cha Ukara. Na zoezi la uokoaji linaendelea.

Latest Announcements

  • Tangazo la kukutana na Mhe. Mkuu wa Mkoa wa Mwanza kwa shida mbalimbali.

    soma zaidi
  • TANGAZO LA NANENANE TAREHE 8.8.2025

    soma zaidi
  • View More

Habari Mpya

  • SIKU 100 ZA RAIS DKT. SAMIA: UKEREWE YAPATA AJIRA 127
  • RC MTANDA AWASILI WILAYANI UKEREWE KWA ZIARA YA KIKAZI
  • MWANZA YAIMARISHA UTETEZI WA WATU WENYE ULEMAVU
  • SERIKALI YAAHIDI KUENDELEA KUTOA USHIRIKIANO KWA WADAU WA SEKTA YA BIASHARA
  • CHOROKO KWENYE RAMANI YA UCHUMI WA TAIFA
  • soma zaidi

Wasiliana Nasi

Prime Minister's Office Regional Administration and Local Government Mkoa wa Mwanza
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, Mkoa wa Mwanza, 2 Regional Drive
S.L.P: 119, Mwanza.
Simu: 028-2501037
Barua Pepe: ras@mwanza.go.tz
Simu ya Mkononi: 028-2501037
Balewa/Machemba Road Street
S.L.P: S.L.P 1333, Mwanza
Simu: +255 28 250 1375
Barua Pepe: cd@mwanzacc.go.tz
Simu ya Mkononi: 0768520195
Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela
S.L.P: S.L.P 735, Mwanza
Simu: + 255 736 200910
Barua Pepe: md@ilemelamc.go.tz
Simu ya Mkononi:
Halmashauri ya Wilaya ya Magu
S.L.P: S.L.P 200, Magu
Simu: 028-2530035/2530003
Barua Pepe: ded@magudc.go.tz
Simu ya Mkononi:

Viunganishi vya Haraka

  • Maswali Yaulizwayo Mara kwa Mara
  • Makusanyo ya Ndani ya Halmashauri za Mkoa wa Mwanza
  • PReM
  • Fomu ya Ugonjwa
  • Opras fomu
  • Miongozo ya mfumo wa bajeti na Mipango
  • FFARS User Guidelines
  • OFISI MTANDAO

Viunganishi Linganishi

  • Tamisemi
  • Utumishi
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Salary Slips Portal
  • Tovuti ya Sekreatarieti ya Ajira Tanzania
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu Tanzania
  • Tovuti ya Ikulu
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Rasmi ya Wananchi
  • Tovuti Kuu ya Takwimu Huria

Social Media

  • Like us on Facebook
  • Follow us on Twitter
  • Find us on Youtube
  • Follow us on Instagram

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.

  • Kanusho
  • Sera ya faragha
  • Maswali ya Mara kwa Mara
  • Ramani ya Tovuti