• barua pepe
  • Maswali ya Mara kwa Mara
  • Wasiliana Nasi
Mwanza Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Prime Minister's Office Regional Administration and Local Government
Mkoa wa Mwanza

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Dira na Mwelekeo
    • Historia ya Mkoa
    • Muundo
  • Wilaya
    • Babati
    • Mbulu
    • Hanang
    • Kiteto
    • Simanjiro
  • Idara
    • Utawala na Rasilimali Watu
    • Planning and Management
    • Fedha na Uhasibu
    • Ukaguzi wa Ndani
    • ununuzi na Ugavi
    • Uchumi na Uzalishaji
    • Miundombinu
    • Serikali za Mitaa
    • Social Welfare
    • Tehama
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
  • Machapisho
    • Fomu
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
  • Investments
    • Investment One
    • Investment Two
    • Investment Three
    • Investment Four
    • Investment Five
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Matangazo
    • Maktaba ya Picha
    • Sports and Games
    • Hotuba
    • Taarifa Kwa vyombo vya habari
    • Maktaba ya Video

CCM kuadhimisha miaka Ishirini ya kifo cha Mwalimu kwa kutangaza mafanikio makubwa yaliyofikiwa na serikali ya awamu ya Tano chini ya Dkt Magufuli

Posted on: January 8th, 2019

Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Tanzania CCM amefanya ziara ya kikazi mkoani Mwanza ikiwa ni ziara yake ya Kwanza tangu ateuliwe kuchukua nafasi hiyo kitaifa

Akiwa Katunguru wilayani Sengerema Dkt Bashiru amekagua eneo ambalo wanatarajia kujenga chuo cha uongozi. Hata hivyo pia Katibu Mkuu amewahasa wana CCM wote Nchini kuwa na Umoja na kumaliza makundi na migogoro ya kimaslai ambayo hupelekea CCM kuvurugika na kuwafanya wananchi kukichukia Chama.

Dkt Bashiru amesema CCM kwa sasa hivi kimekuwa ni chama ambacho heshima yake ya awali inarudi kutokana na Viongozi wakuu wa Chama kusimamia misingi iliyowekwa na waasisi wa Chama Mwl Nyerere na Sheik Abeid Aman Karume.

"Kama chama tumejipanga kuadhimisha miaka Ishirini ya Kifo cha Mwl Nyerere kwa kutangaza  ndani na Nje ya Nchimafanikio makubwa yaliyofikiwa na serikali ya awamu ya Tano .Mengi Miradi mikubwa na mambo makubwa yanayotekelezwa yalikuwa ni maono ya Baba wa Taifa Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere " alisema Dkt Bashiru

Miradi mikubwa inayotekelezwa ni Pamoja na Ujenzi mkubwa wa Mradi wa Umeme Mto rufiji "Stiglers Gauge" ujenzi wa reli ya kisasa , ufufuaji wa shirika la Ndege, utoaji wa elimu Bure,Ulinzi wa rasilimali zetu, Maadili ya Viongozi na watumishi wa Umma.

Hata hivyo Katibu Mkuu amepata fursa ya kutembelea upanuzi wa Barabara Mjini mpaka Uwanja wa Ndege, Upanuzi wa kiwanja cha ndege

 .                                                         

                                                           


Latest Announcements

  • Tangazo la kukutana na Mhe. Mkuu wa Mkoa wa Mwanza kwa shida mbalimbali.

    soma zaidi
  • TANGAZO LA NANENANE TAREHE 8.8.2025

    soma zaidi
  • View More

Habari Mpya

  • SIKU 100 ZA RAIS DKT. SAMIA: UKEREWE YAPATA AJIRA 127
  • RC MTANDA AWASILI WILAYANI UKEREWE KWA ZIARA YA KIKAZI
  • MWANZA YAIMARISHA UTETEZI WA WATU WENYE ULEMAVU
  • SERIKALI YAAHIDI KUENDELEA KUTOA USHIRIKIANO KWA WADAU WA SEKTA YA BIASHARA
  • CHOROKO KWENYE RAMANI YA UCHUMI WA TAIFA
  • soma zaidi

Wasiliana Nasi

Prime Minister's Office Regional Administration and Local Government Mkoa wa Mwanza
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, Mkoa wa Mwanza, 2 Regional Drive
S.L.P: 119, Mwanza.
Simu: 028-2501037
Barua Pepe: ras@mwanza.go.tz
Simu ya Mkononi: 028-2501037
Balewa/Machemba Road Street
S.L.P: S.L.P 1333, Mwanza
Simu: +255 28 250 1375
Barua Pepe: cd@mwanzacc.go.tz
Simu ya Mkononi: 0768520195
Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela
S.L.P: S.L.P 735, Mwanza
Simu: + 255 736 200910
Barua Pepe: md@ilemelamc.go.tz
Simu ya Mkononi:
Halmashauri ya Wilaya ya Magu
S.L.P: S.L.P 200, Magu
Simu: 028-2530035/2530003
Barua Pepe: ded@magudc.go.tz
Simu ya Mkononi:

Viunganishi vya Haraka

  • Maswali Yaulizwayo Mara kwa Mara
  • Makusanyo ya Ndani ya Halmashauri za Mkoa wa Mwanza
  • PReM
  • Fomu ya Ugonjwa
  • Opras fomu
  • Miongozo ya mfumo wa bajeti na Mipango
  • FFARS User Guidelines
  • OFISI MTANDAO

Viunganishi Linganishi

  • Tamisemi
  • Utumishi
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Salary Slips Portal
  • Tovuti ya Sekreatarieti ya Ajira Tanzania
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu Tanzania
  • Tovuti ya Ikulu
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Rasmi ya Wananchi
  • Tovuti Kuu ya Takwimu Huria

Social Media

  • Like us on Facebook
  • Follow us on Twitter
  • Find us on Youtube
  • Follow us on Instagram

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.

  • Kanusho
  • Sera ya faragha
  • Maswali ya Mara kwa Mara
  • Ramani ya Tovuti