RC MTANDA AWASILI WILAYANI UKEREWE KWA ZIARA YA KIKAZI
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. Said Mtanda mapema leo Februari 09, 2026 amewasili Wilayani Ukerewe kwa ziara ya kikazi, lengo likiwa ni kukagua miradi ya Maendeleo ya Sekta ya Afya na Elimu pamoja na Uandikishaji wa Wanafunzi.
