• barua pepe
  • Maswali ya Mara kwa Mara
  • Wasiliana Nasi
Mwanza Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Prime Minister's Office Regional Administration and Local Government
Mkoa wa Mwanza

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Dira na Mwelekeo
    • Historia ya Mkoa
    • Muundo
  • Wilaya
    • Babati
    • Mbulu
    • Hanang
    • Kiteto
    • Simanjiro
  • Idara
    • Utawala na Rasilimali Watu
    • Planning and Management
    • Fedha na Uhasibu
    • Ukaguzi wa Ndani
    • ununuzi na Ugavi
    • Uchumi na Uzalishaji
    • Miundombinu
    • Serikali za Mitaa
    • Social Welfare
    • Tehama
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
  • Machapisho
    • Fomu
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
  • Investments
    • Investment One
    • Investment Two
    • Investment Three
    • Investment Four
    • Investment Five
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Matangazo
    • Maktaba ya Picha
    • Sports and Games
    • Hotuba
    • Taarifa Kwa vyombo vya habari
    • Maktaba ya Video

Chama cha Ushirika Nyanza chatakiwa kujiimarisha kiuchumi

Posted on: February 10th, 2023


Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe.Adam Malima amekitaka Chama cha Ushirika Nyanza kupiga hatua kwa kuwa na nguvu ya kiuchumi kwa kumiliki Benki,Viwanda na Mashamba.

Akizungumza leo kwenye  Mkutano mkuu wa 31 wa Chama hicho uliofanyika Chuo cha ualimu Butiama, Mhe.Malima amewataka wajumbe wa Mkutano huo kuwa chachu ya maendeleo ya Chama hicho kwa kuwa na sura mpya ya kiuchumi kila mwaka.

"Kupiga hatua si Jambo lele mama ni lazima kwanza mjenge nidhamu ya uwajibikaji na bila kuoneana aibu kuwajibishana mkifanya hayo matunda ya maendeleo mtayaona". Amesisitiza Mkuu huyo wa Mkoa.

Amewahakikishia fedha yao Shs Bilioni 1.4 ambayo imetolewa maelekezo na Serikali ipo salama na kuwataka kuondokana na fikra za kuzichukua na kuzifanyia matumizi ndani ya Ushirika huo badala yake fedha hizo ziwe mtaji wa kukopesheka kwenye Taasisi za mabenki.

Amemuagiza Mrajisi wa Ushirika Mkoa Lucas Kiondele kuunda timu hiyo itakayomletea taarifa  ya mwelekeo wa Ushirika huo na mkakati wao ujao wa kiuchumi.

"Chama cha Ushirika Nyanza kwa kuwashirikisha wanachoma wake kina utaumia vizuri Uchumi wa bluu kwa kufanya Uvuvi wa  kisasa wa kutumia Vizimba ambao umekuwa na tija kwa kutumia gharama ndogo na kupata faida kubwa"Emil Kasagara,Katibu Tawala Msaidizi Uchumi na Uzalishaji.

Latest Announcements

  • Tangazo la kukutana na Mhe. Mkuu wa Mkoa wa Mwanza kwa shida mbalimbali.

    soma zaidi
  • TANGAZO LA NANENANE TAREHE 8.8.2025

    soma zaidi
  • View More

Habari Mpya

  • SIKU 100 ZA RAIS DKT. SAMIA: UKEREWE YAPATA AJIRA 127
  • RC MTANDA AWASILI WILAYANI UKEREWE KWA ZIARA YA KIKAZI
  • MWANZA YAIMARISHA UTETEZI WA WATU WENYE ULEMAVU
  • SERIKALI YAAHIDI KUENDELEA KUTOA USHIRIKIANO KWA WADAU WA SEKTA YA BIASHARA
  • CHOROKO KWENYE RAMANI YA UCHUMI WA TAIFA
  • soma zaidi

Wasiliana Nasi

Prime Minister's Office Regional Administration and Local Government Mkoa wa Mwanza
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, Mkoa wa Mwanza, 2 Regional Drive
S.L.P: 119, Mwanza.
Simu: 028-2501037
Barua Pepe: ras@mwanza.go.tz
Simu ya Mkononi: 028-2501037
Balewa/Machemba Road Street
S.L.P: S.L.P 1333, Mwanza
Simu: +255 28 250 1375
Barua Pepe: cd@mwanzacc.go.tz
Simu ya Mkononi: 0768520195
Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela
S.L.P: S.L.P 735, Mwanza
Simu: + 255 736 200910
Barua Pepe: md@ilemelamc.go.tz
Simu ya Mkononi:
Halmashauri ya Wilaya ya Magu
S.L.P: S.L.P 200, Magu
Simu: 028-2530035/2530003
Barua Pepe: ded@magudc.go.tz
Simu ya Mkononi:

Viunganishi vya Haraka

  • Maswali Yaulizwayo Mara kwa Mara
  • Makusanyo ya Ndani ya Halmashauri za Mkoa wa Mwanza
  • PReM
  • Fomu ya Ugonjwa
  • Opras fomu
  • Miongozo ya mfumo wa bajeti na Mipango
  • FFARS User Guidelines
  • OFISI MTANDAO

Viunganishi Linganishi

  • Tamisemi
  • Utumishi
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Salary Slips Portal
  • Tovuti ya Sekreatarieti ya Ajira Tanzania
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu Tanzania
  • Tovuti ya Ikulu
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Rasmi ya Wananchi
  • Tovuti Kuu ya Takwimu Huria

Social Media

  • Like us on Facebook
  • Follow us on Twitter
  • Find us on Youtube
  • Follow us on Instagram

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.

  • Kanusho
  • Sera ya faragha
  • Maswali ya Mara kwa Mara
  • Ramani ya Tovuti