• barua pepe
  • Maswali ya Mara kwa Mara
  • Wasiliana Nasi
Mwanza Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Prime Minister's Office Regional Administration and Local Government
Mkoa wa Mwanza

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Dira na Mwelekeo
    • Historia ya Mkoa
    • Muundo
  • Wilaya
    • Babati
    • Mbulu
    • Hanang
    • Kiteto
    • Simanjiro
  • Idara
    • Utawala na Rasilimali Watu
    • Planning and Management
    • Fedha na Uhasibu
    • Ukaguzi wa Ndani
    • ununuzi na Ugavi
    • Uchumi na Uzalishaji
    • Miundombinu
    • Serikali za Mitaa
    • Social Welfare
    • Tehama
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
  • Machapisho
    • Fomu
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
  • Investments
    • Investment One
    • Investment Two
    • Investment Three
    • Investment Four
    • Investment Five
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Matangazo
    • Maktaba ya Picha
    • Sports and Games
    • Hotuba
    • Taarifa Kwa vyombo vya habari
    • Maktaba ya Video

Elimu ya Tahadhari na kinga ya moto Yatolewa Mwanza

Posted on: September 3rd, 2019


Watumishi wa ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Makao Makuu wamepata elimu juu ya  tahadhari ya majanga ya moto iliyotolewa  na Kaimu  Kamanda wa   jeshi la zima moto A.S.F. Aguatino Magere kwa kushirikiana na timu ya wataalamu kutoka Ofisi ya Zimamoto Mkoa wa Mwanza.

Akizungumza wakati wa kutoa mafunzo hayo kamanda Magere amesema  lengo ni kuhakikisha wanatoa elimu hii ili kupunguza ajali za moto maeneo  mbalimbali.

" Kazi yetu ni kuhakikiaha tunatoa elimu ya kukabiliana na majanga ya moto pamoja na ukaguzi na kuishauri serikali kwani tumepewa dhamana kwa niaba ya Kamishna  Jenerali,alisema Kamanda Magere.

Naye Katibu Tawala  Mkoa wa Mwanza Christopher Kadio akielezea juu ya kunufaika na elimu ya kukabiliana na majanga ya  moto amesema  amefurahia sana mafunzo hayo kwani yamewajengea uwezo wa ufahamu wa namna ya kukabiliana na majanga hayo pindi yanapotokea kuomba  mafunzo yawe endelevu.

Aidha Kadio amemwagaiza Kaimu Katibu Tawala Msaidizi Utawala na Rasilimali watu Baraka  kuweka mpango mkakati kwa ajili ya madereva ili kujiweka sawa katika kukabiliana na majanga ya moto yanayoyoweza kutokea  katika vyombo vya moto wanapokuwa wakitekeleza majukumu yao.

Akizungumza baada ya kupata mafunzo hayo mmoja wa watumishi wa Ofisi hiyo ambaye ni afisa Manunuzi Josepha Tarimo amesema ni mazuri kwani kabla ya elimu hiyo walikuwa hawajui matumizi sahihi ya vifaa vya uokoaji.

"Kwa sasa tumepata elimu, mafunzo tuliyopata tumeelekezwa vizuri sana namna ya  kujiokoa na kuwaokoa watu wengine wakati  yanapotokea majanga ya moto pia naomba elimu hii iwafikie   makundi mengine,alisema Tarimo.

Latest Announcements

  • Tangazo la kukutana na Mhe. Mkuu wa Mkoa wa Mwanza kwa shida mbalimbali.

    soma zaidi
  • TANGAZO LA NANENANE TAREHE 8.8.2025

    soma zaidi
  • View More

Habari Mpya

  • SIKU 100 ZA RAIS DKT. SAMIA: UKEREWE YAPATA AJIRA 127
  • RC MTANDA AWASILI WILAYANI UKEREWE KWA ZIARA YA KIKAZI
  • MWANZA YAIMARISHA UTETEZI WA WATU WENYE ULEMAVU
  • SERIKALI YAAHIDI KUENDELEA KUTOA USHIRIKIANO KWA WADAU WA SEKTA YA BIASHARA
  • CHOROKO KWENYE RAMANI YA UCHUMI WA TAIFA
  • soma zaidi

Wasiliana Nasi

Prime Minister's Office Regional Administration and Local Government Mkoa wa Mwanza
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, Mkoa wa Mwanza, 2 Regional Drive
S.L.P: 119, Mwanza.
Simu: 028-2501037
Barua Pepe: ras@mwanza.go.tz
Simu ya Mkononi: 028-2501037
Balewa/Machemba Road Street
S.L.P: S.L.P 1333, Mwanza
Simu: +255 28 250 1375
Barua Pepe: cd@mwanzacc.go.tz
Simu ya Mkononi: 0768520195
Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela
S.L.P: S.L.P 735, Mwanza
Simu: + 255 736 200910
Barua Pepe: md@ilemelamc.go.tz
Simu ya Mkononi:
Halmashauri ya Wilaya ya Magu
S.L.P: S.L.P 200, Magu
Simu: 028-2530035/2530003
Barua Pepe: ded@magudc.go.tz
Simu ya Mkononi:

Viunganishi vya Haraka

  • Maswali Yaulizwayo Mara kwa Mara
  • Makusanyo ya Ndani ya Halmashauri za Mkoa wa Mwanza
  • PReM
  • Fomu ya Ugonjwa
  • Opras fomu
  • Miongozo ya mfumo wa bajeti na Mipango
  • FFARS User Guidelines
  • OFISI MTANDAO

Viunganishi Linganishi

  • Tamisemi
  • Utumishi
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Salary Slips Portal
  • Tovuti ya Sekreatarieti ya Ajira Tanzania
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu Tanzania
  • Tovuti ya Ikulu
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Rasmi ya Wananchi
  • Tovuti Kuu ya Takwimu Huria

Social Media

  • Like us on Facebook
  • Follow us on Twitter
  • Find us on Youtube
  • Follow us on Instagram

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.

  • Kanusho
  • Sera ya faragha
  • Maswali ya Mara kwa Mara
  • Ramani ya Tovuti